PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Uzi nyingine ni za kutufanya tujiskie vibaya, au tujisikie hatuna bahati.btw hongera sana.
Mpelekee mama yake zawadi mwambie "asante mama kunizalia mme mwema"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi nyingine ni za kutufanya tujiskie vibaya, au tujisikie hatuna bahati.btw hongera sana.
Mpelekee mama yake zawadi mwambie "asante mama kunizalia mme mwema"
Mama G anahitaji baby shower kwakweli..😂😂.
Am happy for you my dear..Mungu wetu azidi kuwalinda na mzeeke pamoja wallah..💞
Hivi G ana kaka ake ?🤔😂😂
Yule Daktari wa Kenya ameshauri mwanamke asinyoe vuuu kuongeza radha.
Zingatia mremboo zingatiaaaaa aaah
Naamini siku yangu itaenda poa kwa kukutana na uzi huu asubuhi hii,
Hongera sana best yangu kwa kupata kile moyo wako unapenda, ukamtunze, ukamuheshimu, ukambeleze mwanaume wako, wanaume aina hiyo hawapatikani kwa dunia hi tuliyomo, nimefurahi sana pamoja na wewe,
Kawe mwaminifu kwa gharama yoyote ile, hata ukiomba chochote kwa muumba wako utakipata Tena kwa wakati, usikubali kulala pasipo kusawazisha mgogoro wowote wewe na G, hata uwe ni mdogo vipi, jinyenyekeze kwake na kwa hakika kifo ndo kitawatenganisha
Kila la heri kwenu
Tatizo la wanawake ukishamzoea utachepuka tu tena na house boy wenu
Najifariji?
Hapana mpendwa wangu Bali G ananipa faraja.
Please be nice and humble.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Ana cousin wake.
Ahsante mpenzi nakumbuka ulikuwa unaniuliza kama kweli au natania.
Nilikuwa namaanisha na Mungu akanipendelea akanipa zaidi ya nilichoomba.
Kuna watu tunakutanishwa nao kwa sababu maalum.
Natamani uone jinsi mwanangu alivyo na furaha.
Mpaka nimelia rafiki yangu.
Sijawahi kukutana na mahusiano ya aina hii.
Nazingatia huu ushauri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa dozi ninayopewa hata nguvu na house boy inatoka wap?
Mimi na G.
G na mimi.
Ukifahamu jinsi tulivyoanza mawasiliano utazimia kabisa.
Lakini amini wanaume wazuri bado wapo na wapo humu humu jf.
Angalia asikuongezee maumivu
Haiwezekani.
Yeye ni pain relief wangu.
Hawezi kuwa hivyo.
Labda ngoja nikuambie ukweli ambao hakuna wa kukuambia!Kama hutaki kurudi tena Misri achana na kuwekeza imani yako,moyo wako,mapenzi yako,muda wako na nguvu zako kwa mwanaume badala yake jikite kwenye kuondoa umasikini wa kipato.Kwenye dunia hii hakuna kinachotesa kama umasikini wa kipato.Mwanaume anaweza kubadilika anytime.
Waache wachezee bahati tu 🤣🤣🤣 mie nawacheki af nasema hii!!!
True story bro...Siongelei vibaya ila kinachomsibu mtoa mada kwa kuwa hakuwa kwenye situation ya mapenzi for a long time that seems like "infatuation" atleast for my understanding.
Umemshauri vizuri na pia nashauri tu focus katika kujijenga kiuchumi.
View attachment 1584062
Huwa sichukuliagi watu wa humu serious! 😁😁😁 Najua wengi miyeyusho maigizo mengi.
Mkigombana pia uje kufungua uzi hapa,naona umeshindwa kabisa kuweka akiba ya maneno,sikuombei mabaya ila mapenzi yana mengi,
Good luck.
Mtoto wako ni rafiki yangu lakini ukinikubalia ombi langu sitajali kuwa Baba yake wa kambo pia