Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

Acha kuremba mwandiko humu, mwaka unapita sasa, anza kumtengenezea familia. ...
( sisi wanaume mama yetu ni mmoja.) ..akili zetu tunazijua wenyewe.

Pin those few words on the brackets.


Sent from my SM-P605 using JamiiForums mobile app
Inabidi G sasa anioe.

Maana wengine wamesema nisizae, wewe unasema nitengeneze familia na yeye.

G baba inabidi unioe sasa.
 
Amina dada, yaani ukiniona sasa hivi ninavyowaka heshima ninayopewa hatariiiiii, wale wote waliokuwa kando na walionipa matusi na kejeli wanajirudisha ila nimewaweka kando.



G baba "miminimama" nakupenda sana.
Makopa yananizunguka kichwani nnaposoma haya, kumbe na mm ipo sku ntacheka
 
Basi hivi viumbe huwa navielewa, baada ya hapo Ataanza mawasiliano na baba wa mtoto wake na atacheat au atapata na mchepuko huko nje.
 
Ukiona mwanamke anakupenda lazima kuna sababu, hapa nimependwa kwa sababu ya kumsaidia malezi ya mtoto wake na kumlindia heshima kama singo mama ambaye alishajikatia tamaa… hakutarajia haya.
 
Basi hivi viumbe huwa navielewa, baada ya hapo Ataanza mawasiliano na baba wa mtoto wake na atacheat au atapata na mchepuko huko nje.
Sina hiyo nafasi.
Huwa tunacheat kwa sababu lakini kwake nimefika penzi lipo ninakojozwa nakojozwaaaaa nakojozwa tena mpaka ninazimiaaaa, pesa iko tele, ninapewa zaidi ya furaha.


Yaani G ni kiboko yangu kama treni imeshafika kigoma.
 
Back
Top Bottom