Hatimaye nimerudiana na mpenzi tulieachana naye

Npe location
Ukitoka hapo kwa mangi, njoo na hii bara bara ya toroka uje, utanikuta nimesimama bara bara ya kushoto nikiwa nimevaa tisheti nyeusi πŸ˜€
 
Ukitoka hapo kwa mangi, njoo na hii bara bara ya toroka uje, utanikuta nimesimama bara bara ya kushoto nikiwa nimevaa tisheti nyeusi πŸ˜€
Nmekuona aya vuka huku nmevaa pama la babu yangu
 
Nmekuona aya vuka huku nmevaa pama la babu yangu
Nimekuona, kwa pigo hilo ulilovaa utaniharibia siku, rudi nyumbani ukavae lile pigo lingine la ubarikio ndio uje πŸ˜€ πŸ˜€
 
Ashakumu si matusi, "hatimaye mavi imerudi kwa matako baada kunya"
 
Genuine and well made
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…