Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 5,082
- 8,368
Uhaini wa kusema ukweli alishaapa na kuahidi atailinda nchi yake mpaka kufa nani kakwambia mwanajeshi anaogopa issue km hizo mpaka ametoka na amesema anaijua hatari ya kitu anachofanya elewa kwamba yeye mwenyewe anajua finally anafanya nini na kwa maslahi ya nani umenielewa wewe umeiangalia video au umekurupuka shimoni?Huo ni uhaini huo.
Watamfunga huyu kama ni mwanajeshi kweli.