fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,526
- 10,192
Kwa jinsi hali ya mambo ilivyo hadi sasa, usalama wa wenzetu wachache waliojitoa kuongea waziwazi kwa niaba ya taifa dhidi ya udhalimu wa ccm na serikali yake uko mikononi mwetu. Ikitokea tumeshindwa kutokea barabarani oktoba 29, basi tutakuwa tumewasaliti big time.