Hatimaye nimetukanwa sana jambo linatimia sasa

Hatimaye nimetukanwa sana jambo linatimia sasa

hakuna chama bora afrika nzima zaidi ya ccm
Ongezea pia chama bora kwa wingi wa majizi na mafisadi.

KANU ilikuwa hivyo na walisema hivyo walau hao walikubali kukabidhi nchi bila machafuko ila CCM mnataka muipeleke nchi katika machafuko sababu ya tamaa ya majizi wachache na familia zao.

View: https://youtu.be/A9zlzOuqDAg?si=iclnyu2HyE-RexyL

Gadaffi aliwaita waandamanaji na wakosoaji wake panya sababu aliamini ana jeshi la kumlinda siku zote.

Ona kilichomkuta.

View: https://youtu.be/So1yYR7hghw?si=nmbp_cFmi8ZcdRPy
 
mzee ccm ni dude lingine, KANU walizingua wao wenyewe ila ccm ni lidude likubwa kutoka sio leo wala kesho, and unaweza cheki list ya vyama vyenye nguvu duniani ccm ipo apo #10
 
Nimemsikiliza captain speach yake yote, kimsingi kama kapindua nchi tayari, huyo mama kama hajatoroka na familia ya msoga sijui, maana hapo nani atamuamini? Na nani ana uhakika kundi la wanajeshi halipo njiani kuelekea alipo? Hope ikulu imemarishwa ulinzi na pia ulinzi wenyewe nani atawaamini waliotumwa kulinda? Sidhani kuna mtawala atalala usingizi leo na atakuwepo alipozoea, hakuna certainty ya kitu chochote kwa sasa kwa kila mwenye akili, tayari nchi haitakuwa the same kuanzia baada ya speech ya Capt Tesha hakuna mtu atamwamini mtu tena! Nawakilisha
 
mzee ccm ni dude lingine, KANU walizingua wao wenyewe ila ccm ni lidude likubwa kutoka sio leo wala kesho, and unaweza cheki list ya vyama vyenye nguvu duniani ccm ipo apo #10
Ndio nimekueleza tu dude kubwa lililofungia majizi na mafisadi huku likisaidiwa na dola iliyotekwa na mafisadi hayo hayo na majizi.

Unajua kusoma kwa ufahamu?
 
Hee wafute Mahakama tena?

Sasa kesi zetu tutapeleka wapi?
1753255227503.jpg
 
Ndio nimekueleza tu dude kubwa lililofungia majizi na mafisadi huku likisaidiwa na dola iliyotekwa na mafisadi hayo hayo na majizi.

Unajua kusoma kwa ufahamu?
uizi ni hulka ya binadam sio swala la kua ccm
 
Kwahiyo na wewe ni kamwizi kadogo unayeogopa mabadiliko baada ya kusikia katiba itabadilika na viongozi wezi wataanza kufungwa rasmi.

Si ndio unachoogopa ?
hakuna sehem amna uizi utafunga kila mtu amna mtu hataki ela nyingi
 
hakuna sehem amna uizi utafunga kila mtu amna mtu hataki ela nyingi
Basi usiwe na shaka kwanini uwe mtu wa kupinga mabadiliko?

Kama hujaiba una wasiwasi gani?

Tanzania sio lazima iongozwe na CCM acha nature ifanye kazi yake kama muda wa mabadiliko umefika hakuna kitakachozuia nimekuwekea hapo clip ya Gadaffi aliyewaita watu wake panya maana hata majuzi watanzania waliitwa kenge.
 
Kwa ramli hizi hadi uchaguzi huru upite utakua umekua mganga kamili wa kienyeji
 
Back
Top Bottom