stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
vitakuja vyama vyote afrika hii unavovijua ila ccm kutoka ni ngumu mno! infact ni chama cha 10 duniani kina mchango mkubwa sana kwenye siasa za afrika, kama unasubiria kitoke aisee we andaa tu sehem ya kuzikwaBasi usiwe na shaka kwanini uwe mtu wa kupinga mabadiliko?
Kama hujaiba una wasiwasi gani?
Tanzania sio lazima iongozwe na CCM acha nature ifanye kazi yake kama muda wa mabadiliko umefika hakuna kitakachozuia nimekuwekea hapo clip ya Gadaffi aliyewaita watu wake panya maana hata majuzi watanzania waliitwa kenge.