Killa Cam
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,980
- 8,321
Yule mwanawe wa kike niachilie mie nimkule kabla hujapiga risasiš¤£Hii ni nzuri.
Na mimi mnipe SMG nianze safari kuelekea pwani.
Yule jamaa mniachie mimi nipige risasi moja ya chogo, halafu namalizia kumtandika makalio risasi mbili. Moja kushoto, moja kulia.
TATU BORA.