King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Leo nimemuelewa polepole alivyokua anasema kwamba mama ajitafakari kuachia ngazi asishupaze shingo! Kitendo cha balozi na capt kumkataa mama na genge lake la WAHUNI ni inshara mbaya sana kwake!! bado ana muda kuanza upya siyo ujinga ,kwa miaka 9 aliyokula shushu inamtosha.
Yaani mtu kama Gwajima kupinga utekaji wamemjia juu means SIRIKALI yake ndiyo inateka na kuua watu ,mzee kibao kosa lake ni lipi? Tangu awe Chadema kuna kitu kibaya alifanya cha kuhatarisha nchi mpaka mmemuua kwa ushauri tu wa mchumia tumbo mchungaji feki kinyambe?
Kijana mdogo chaula na soka ni hatari kweli kwa usalama wetu mpaka mmewaua? Sativa kuunga mkono mgomo wa wamachinga alistahili "chuma" cha kisogo? Mafwele ndiyo mtekaji mkuu lakini ndiyo kwanza anzidi kuongezewa cheo! Capt Tesha Traore ameuliza tangu muanze kuteka na kuua wakosoaji mmepata nini? Je wakosoaji wameisha?
39.Baadhi ya Mafarisayo waliokuwamo miongoni mwa umati ule wa watu wakamwambia, “Mwalimu, waamuru wanafunzi wako wanyamaze.”
40.Yesu akawajibu, “Nawaambia ninyi, kama hawa watanyamaza, mawe yatapaza sauti.”