Hatimaye nimetukanwa sana jambo linatimia sasa

Huo ni uhaini huo.

Watamfunga huyu kama ni mwanajeshi kweli.
Uhaini wa kusema ukweli alishaapa na kuahidi atailinda nchi yake mpaka kufa nani kakwambia mwanajeshi anaogopa issue km hizo mpaka ametoka na amesema anaijua hatari ya kitu anachofanya elewa kwamba yeye mwenyewe anajua finally anafanya nini na kwa maslahi ya nani umenielewa wewe umeiangalia video au umekurupuka shimoni?
 
Tatizo hii nchi viongozi wanatuona wananchi wote ni wajinga. Linaibuliwa jambo zito badala kulitolea ufafanuzi ila wao wanakaa kimya wakiamini muda ukipita, tutasahau na maisha yataendelea kama kawaida. Na huu upuuzi aliuanzisha JK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…