King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Hii nchi ilishajifia, acha tu Jeshi waikomboeLeo nimemuelewa polepole alivyokua anasema kwamba mama ajitafakari kuachia ngazi asishupaze shingo! Kitendo cha balozi na capt kumkataa mama na genge lake la WAHUNI ni inshara mbaya sana kwake!! bado ana muda kuanza upya siyo ujinga ,kwa miaka 9 aliyokula shushu inamtosha.
Yaani mtu kama Gwajima kupinga utekaji wamemjia juu means SIRIKALI yake ndiyo inateka na kuua watu ,mzee kibao kosa lake ni lipi? Tangu awe Chadema kuna kitu kibaya alifanya cha kuhatarisha nchi mpaka mmemuua kwa ushauri tu wa mchumia tumbo mchungaji feki kinyambe?
Kijana mdogo chaula na soka ni hatari kweli kwa usalama wetu mpaka mmewaua? Sativa kuunga mkono mgomo wa wamachinga alistahili "chuma" cha kisogo? Mafwele ndiyo mtekaji mkuu lakini ndiyo kwanza anzidi kuongezewa cheo! Capt ameuliza tangu muanze kuteka na kuua wakosoaji mmepata nini? Je wakosoaji wameisha?
39.Baadhi ya Mafarisayo waliokuwamo miongoni mwa umati ule wa watu wakamwambia, “Mwalimu, waamuru wanafunzi wako wanyamaze.”
40.Yesu akawajibu, “Nawaambia ninyi, kama hawa watanyamaza, mawe yatapaza sauti.”
Kwa kauli hii hata mwijaku anakuchekahakuna chama bora afrika nzima zaidi ya ccm
Keep going JWTZ
Britanicca
Baada ya majaribio ya kumpindua Nyerere kufanyika.Siyo tahisi kiasi jicho. Unajua wapo wangapi? Au unafikiri yupo pekee yake?
Hatuendi kwa ajili ya kupambana na polisi. Tunaenda kuchukuwa madaraka tuliowapa hawa watawala ambao wameshindwa kuongoza.Tarehe 29 October ni siku ya kuangamiza na kuchoma moto kitu au mtu yeyote anaye fungamana na ccm. Jamani kila mtu ajitahidi aue hata polisi wawili, nyumba za polisi za mitaani zichomwe moto .
huyo fala sijui kaandika nini...Hatuendi kwa ajili ya kupambana na polisi. Tunaenda kuchukuwa madaraka tuliowapa hawa watawala ambao wameshindwa kuongoza.
Ibara ya 8 ya katiba. Mamlaka yote ni mali ya wananchi.
Sio ccm ni majambazi aka wahuniLeo sisiem lazima wafanye mavikao yao ya dharura ya kutosha yani!
mbna data zipo: List of largest political parties - WikipediaKwa kauli hii hata mwijaku anakucheka
Acha kuandika utoto wewe.Tarehe 29 October ni siku ya kuangamiza na kuchoma moto kitu au mtu yeyote anaye fungamana na ccm. Jamani kila mtu ajitahidi aue hata polisi wawili, nyumba za polisi za mitaani zichomwe moto .
Acha kutisha watu weweBaada ya majaribio ya kumpindua Nyerere kufanyika.
Mfumo umekuwa mgumu sana, ndio maana zimekuja awamu nyingine nyingi tu baada yake.
Jamaa, wasijaribu watajikuta pabaya sana.
Hakuna kitu kitatokea. Huyo jamaa ni jasiri lakini ni panzi mbele ya mfumo. Nothing is going to happen besides captivating headers for gossiping. The only thing Tanzanians are incredibly good at.This is very serious. Please God have mercy on us Tanzanians
Endelea kuishi kwa kukaririHakuna kitu kitatokea. Huyo jamaa ni jasiri lakini ni panzi mbele ya mfumo. Nothing is going to happen besides captivating headers for gossiping. The only thing Tanzanians are incredibly good at.
Wala mkuu, mimi nimefulia nje ndani wala sio fisadi au mdhalimu. Ni mwananchi mwenye mtazamo neutral na uhalisia.Endelea kuishi kwa kukariri
Mungu anaikomboa Tanzania mwaka huu kutoka mikononi mwenu madhalimu na mafisadi.
Wewe unajitoa mhanga kwenye nini ?Katika hali tuliyomo sasa, any move that helps bring about change is worth taking, including self sacrifice.. That's what term patriotism.