Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Unatakiwa ufahamu kwamba kama hizo galaxies zimeoneka leo, basi mwanga umetumia miaka hiyo bilioni 4.5 kutoka huko hadi hapa dunia.Jamaa yuko good..ingawa kwa hapa nafikiri alitakiwa kusema "hizo galaxy zipo umbali wa ambao mwanga unatakiwa kusafiri miaka Bilioni 4.5 ili kufika huko."
"Katika picha hii unaweza kuona maelfu ya galaxy yakiwa umbali wa 4.5 billion light years away. Yaani tunaona leo hizo galaxy jinsi zilivyokuwa miaka billion 4.5 iliyopita."
Mkuu hayo maelezo hapo yana kiuchachu fulani hivi.
YES. Kwa sababu every time mwanga unaendelea kutoka huko kuja kwetu (kama ilivyo tabia ya mwanga kokote). So, ili kuziona zilivyo leo, lazima tungoje miaka hizo bilioni 4 hadi ufike hapa duniani.Hapo zinavyo onekana ndiyo ndivyo zilivyokuwa miaka 4.5billion sasa nikitaka kuona zilivyo leo hii nafanyaje au nasubiri tena miaka 4.5billion ijayo?
Lazima kitu hicho kiwe mbali kiasi kwamba mwanga kutoka hapo hadi duniani usafiri kwa muda wa miaka 300.Hivi mfano wewe ukitaka kujua miaka 300 hali ilivyo kuwa ni lazima utumie hiki kifaa au upate taarifa kutoka kwenye the "Primary Source"?
Unless uko kwenye gimba fulani nje ya dunia iliyoko umbali ambao mwanga unaweza kusafiri kwa muda wa miaka unayotaka kujua historia husika ya dunia.Hapa akili zetu zinatakiwa zitumike vizuri. Yaani unawezaje kujua hali ya dunia kutokea au kuwepo pasi na kuwa na taarifa za walio shuhudia tukio hilo?
United State of America ni taifa lenye muunganiko wa nchi 52. taifa lenye raia zaidi ya million 352. Taifa hili lina umri wa zaidi ya miaka 300 kasoro. kila mwaka wanazalisha Wataalam wa masomo ya science, mathematics, technology zaidi ya 600k kwa mwaka mmoja tu. Wakati wewe mtanzania bado serikali imeshindwa kutatua tatizo la madawati ilhali miti iko hapahapa nchini. Hawa Tayari wana shirika linalojihusisha na anga exploration na mwaka huu wamelitengea 24$ billions ambayo kibongobongo ni 53 Trillion shillings.Marekani waliwahi kutudanganya wameenda mwezini na wakaexpose mapicha kama hayo kabla ya mwishi wa siku Russia kuja kuwaumbua kuwa ni waongo..lengo lao la kudanganya si lingine bali wapewe sifa tu na kuogopwa
Tatu zote za nini, elezea kwanza mbingu saba ni kitu gani kipo wapi location yake ni wapi?Naomba unitajie "Assumptions" hata tatu katika ile safari ya Mtume kwenda mbingu ya saba. Kingine uonyeshe ya kuwa lile tujio siyo uhalisia.
Pili, ushawahi kuhoji kuhusu habari za mwanga kwa mujibu wa Sayansi ?
Tatu, kwenye hili unatakiwa ujipange kuhadiliana na mimi. Kama huna hoja fanya shughuli nyingine.
Sijaelewa umeandika nini ? Kwa itifaki za kimjadala, ili niendelee hapo nilipo ishia, inabidi maswali yangu yajibiwe.Tatu zote za nini, elezea kwanza mbingu saba ni kitu gani kipo wapi location yake ni wapi?
Ni kweli kabisa, maanake unaweza ukafunga safari kwenda huko (which is absolutely impossible) usiikute. Au ukakuta ipo katika hali nyingine tofauti.Kama huo mwanga umetravel 4.5 light billion years! Je kuna uwezekano baadhi ya stars zimeshakua dwarfs, na nyingine zimekufa na nyingine zimezaliwa? Bdo tuna safari ndefu sana!
Ndio unatakiwa kuwa amini kwasababu walichoona kinaendana na neno la MunguTangu NASA waseme wameiona yesulemu angan sina nao imani
Chumvi kuntu hizi, si tuonyweshe picha ya Sasa, hizo za zamani hazitusaidii sisi, naona wanatuchosha na kamaliza mb zetu"Katika picha hii unaweza kuona maelfu ya galaxy yakiwa umbali wa 4.5 billion light years away. Yaani tunaona leo hizo galaxy jinsi zilivyokuwa miaka billion 4.5 iliyopita."
Mkuu hayo maelezo hapo yana kiuchachu fulani hivi.
Hatusogei KoloMambo yana wenyewe haya,Wale Mashabiki wa Simba na Yanga msisogee Huku.
Sawa, nyie mnaotembea mavi kwny chupi.Hatusogei Kolo
Nimesoma mwanzo mwisho, very very interesting. Hii dunia kuna watu wanafanya kazi za maana kwa ajili ya ulimwengu mzima, ninaimagine watanzania na wa afrika kwa ujumla project kama hizi sijui tutufanya lini!
Si tuendelee kuchakata mbususu kwa hasira kaliNimesoma mwanzo mwisho, very very interesting. Hii dunia kuna watu wanafanya kazi za maana kwa ajili ya ulimwengu mzima, ninaimagine watanzania na wa afrika kwa ujumla project kama hizi sijui tutufanya lini!
Hapana mkuu, yuko sahihi! Lengo mojawapo la project hii ni kufikia mwanzo wa ulimwengu, yaani uumbaji ulipoanzia! Hivyo miaka ya mwanga ndo inayotumika!"Katika picha hii unaweza kuona maelfu ya galaxy yakiwa umbali wa 4.5 billion light years away. Yaani tunaona leo hizo galaxy jinsi zilivyokuwa miaka billion 4.5 iliyopita."
Mkuu hayo maelezo hapo yana kiuchachu fulani hivi.
Nimeanzisha uzi wake mkuu kama hutojari naomba utililike kuhusu hili bara coz binafsi sielewi ni kwanini halizungumziwi kabisa wakati kwa kipindi hiki nilitegemea kuwepo attempts kadhaa za kuishi huko.
Yaani tunataka kuishi Mars ilhali hapahapa duniani kuna mahali hakuna watu kabisa, inafikirisha hii.
Mwenye ile picha ya mtu ameshikilia simu mbili anajichatisha aweke hapa!Antarctica ina vingi sana.
Ila NASA wanalitumia eneo hili kuchungua anga coz hakuna light pollution
Mkubwa sisi tuendelee na royotua, haya mengine waachie wanyewe. Taifa haliwezi kuwa na fikra za mambo haya wakati bado kuna malaria, kichocho kipindupindu na na magonjwa ya ajabu kama hayo. Plus njaa, ukame, kwa ufupi sisi bado tinasumbuka na magonjwa, food and shelter.Nimesoma mwanzo mwisho, very very interesting. Hii dunia kuna watu wanafanya kazi za maana kwa ajili ya ulimwengu mzima, ninaimagine watanzania na wa afrika kwa ujumla project kama hizi sijui tutufanya lini!
Nimesoma mwanzo mwisho, very very interesting. Hii dunia kuna watu wanafanya kazi za maana kwa ajili ya ulimwengu mzima, ninaimagine watanzania na wa afrika kwa ujumla project kama hizi sijui tutufanya lini!