Una kubali kwamba Sayansi haijawahi kuthibitisha juu ya hizi nadharia ulizo ziandika hapa ? Mfano wewe unaweza kunithibitishia ya kuwa Dunia inazunguka ?
4.5 billion light years ni parefu sana swali kwako ni je wamewezaje kuona huo mwanga wake? Na je hiyo teknolojia haiwezi kuongezwa zaidi ili kuzoom kilichopo ndani yake?
4.5 billion light years ni parefu sana swali kwako ni je wamewezaje kuona huo mwanga wake? Na je hiyo teknolojia haiwezi kuongezwa zaidi ili kuzoom kilichopo ndani yake?
Katika picha ya SMACs tunaweza kuziona hizo galaxies zilivyokuwa 4.5 billions years ago.
Tukiwa karibu na wakati huu galaxies huwa zina emmit different wavelength kuanzia gamma ray
mpka radio waves yaani wavelength yote katika electromagnetic spectrum ikiwemo visible wavelength ambazo tungeweza kuziona kwa macho ya kibinadamu lakini kwa sababu ulimwengu unatanuka baada ya mabilioni ya miaka
The light from the most distant galaxies, as we see it now, has been stretched to longer and redder wavelengths due to the expansion of the universe.
This means some of the light that would have been visible to our eyes when it was first emitted has since lost energy as the universe expanded. It’s now in a completely different region of the electromagnetic spectrum. This is a phenomenon called “cosmological redshift”.
And this is where the JWST really shines. The broad range of infrared wavelengths detectable by JWST allow it to see galaxies Hubble never could. Combine this capability with the JWST’s enormous mirror and superb pixel resolution, and you have the most powerful time machine in the known universe.
Jibu swali langu kwa mujibu wa Sayansi yenu inavyo waambia. Akili yako inaonyesha ni ndogo sana mpaka ukajenga swali kwa mtindo huu, jua tunaliona kila siku, kinachowashwa sifa zake zinajulikana, ila jua halina sifa za kitu kinachowashwa.
Hiyo speed ilipimwa before French revolution. Cassini aliobserve irregularities kwa eclipse ya mwezi mmoja wa jupiter ile hygiène ndio aliobserve tena akapata majibu yale yale ila wakaangalia zaidi wakagundua hiyo tofauti huwa unatokana kipindi dunia inapokuwa mbali na jupiter. So mwanga pia unatumia muda kusafiri maana zamani idea ilikua speed ya mwanga infinity. So kama walipata time ya mwanga kutoka jupiter kufika duniani na umbali wa jupita kutoka duniani unajulikana ndio hapo walipopata speed ya mwanga
Unajua hujaeleza jibu kwa mujibu wa, Sayansi inavyoelezea mambo, bali umeleezea kifalsafa sababu kuna maswali hujajibu. Mfano hujaonyesha starting point kama marejeo ni ipi ?
Alitumia kifaa gani kujua hiloi, je alifika kwenye Sayari ya Jupiter ? Sababu ili ujue mwendo lazima ujue umbali husika kuanzia mwanzo na mwisho. Hili walilijuaje ?
Dunia inakuwa mbali na Jupiter kivipi na kipindi gani na kwa sababu gani ?
Huwezi kuona hata cha leo hata jua tuu unaloliona ni jinsi lilivyo dakika 8 zilizopita kitu pekee unacho weza ona now ni mtu aliye karibu yako [emoji23][emoji23][emoji23]
Leo tarehe 12/7/2022 ni siku muhimu sana kwa wapenzi wa space exploration.
Furaha hii inachangiwa na NASA wakishirikiana na agencies wengine kuweza kutoa rasmi picha na tafiti za kwanza kabisa kutoka katika darubini 🔭 ya JWST.
Kabla ya kuendelea ningependa kushare na wewe msemo huu kuwa ili civilization yoyote iweze ku survive ina wajibu wa kuwekeza kwenye space exploration.
Kwa kulijua hilo kazi hii ya kipekee ya NASA imekuja na majibu ya kuvutia na kuweza kuisaidia tasnia ya Astronomy.
Picha za kwanza za JWST zilizotoka ni
SMACS 0723 View attachment 2288405
Hii ni picha ya kwanza kabisa ambayo inaonyesha eneo la mbali zaidi kabisa kuweza kuonekana na binadamu.
Picha hii inaitwa Web first deep field.
Katika picha hii unaweza kuona maelfu ya galaxy yakiwa umbali wa 4.5 billion light years away. Yaani tunaona leo hizo galaxy jinsi zilivyokuwa miaka billion 4.5 iliyopita.
Camera iliyotumika kupata hii picha inaitwa Web near infrared camera.
The NASA/ESA/CSA James Webb Space Telescope has produced the deepest and sharpest infrared image of the distant Universe to date. Known as Webb’s First Deep Field, this image of galaxy cluster SMACS 0723 is overflowing with detail.
SMACS 0723: Webb has delivered the deepest and sharpest infrared image of the distant universe so far – and in only 12.5 hours. For a person standing on Earth looking up, the field of view for this new image, a color composite of multiple exposures each about two hours long, is approximately the size of a grain of sand held at arm’s length.
This deep field uses a lensing galaxy cluster to find some of the most distant galaxies ever detected. This image only scratches the surface of Webb’s capabilities in studying deep fields and tracing galaxies back to the beginning of cosmic time.
Picha hii na taarifa zote zinazokisanywa zinaenda kutusaidia kutupa majibu ya maswali kuhusu mwanzo wa ulimwengu huu. Namna galaxy zilivyokuwa formed etc. Early Universe
WASP-96b (spectrum): View attachment 2288410
A transmission spectrum made from a single observation using Webb’s Near-Infrared Imager and Slitless Spectrograph (NIRISS) reveals atmospheric characteristics of the hot gas giant exoplanet WASP-96 b. ILLUSTRATION: NASA, ESA, CSA, STScI.
James Web Space Telescope imetuletea details za hii exoplanet na imetuonyesha kuwa anga lake lina H20 yaani lina maji. Hii tafiti inataka kutupa majibu kuwa kuna uwezekano wa uhai katika exoplanet hii?
Tafiti za mwanzo hatukuweza kuona mawingu na aina ya anga hewa la exoplanet hii lakini sasa tumeweza kuona na kujifunza zaidi kuhusu exoplanet hii iliyoko umbali wa zaidi ya 1000 light years away.
James web Telescope inaenda kutafiti uwepo wa sayari zenye sifa kama dunia yetu. Na kazi ya kwanza ndo hiyo imeanza.
This side-by-side comparison shows observations of the Southern Ring Nebula in near-infrared light, at left, and mid-infrared light, at right, from NASA’s Webb Telescope. IMAGE: NASA, ESA, CSA, STScI
JWST Imetupa nafasi ya kuweza kuona namna ambavyo nyota zinavyokufa polepole.
Southern Ring Nebula:
This planetary nebula, an expanding cloud of gas that surrounds a dying star, is approximately 2,000 light years away. Here, Webb’s powerful infrared eyes bring a second dying star into full view for the first time. From birth to death as a planetary nebula, Webb can explore the expelling shells of dust and gas of aging stars that may one day become a new star or planet. Webb: Southern Ring Nebula comes into full view – Astronomy Now
Stephan’s Quintet: View attachment 2288510
Hili ni kundi la galaxy 5 kuwahi kuonekana na sayansi ya bindamu. Webb imetusaidia kuweza kuliona karibu na kutupa nafasi ya kujifunza. Kupitia Stephans Quintet tutaweza kujifunza namna interaction ya galaxies inavyokuwa na ilileta impact gani cosmically kwenye formaton of early universe.
Webb’s view of this compact group of galaxies, located in the constellation Pegasus, pierced through the shroud of dust surrounding the center of one galaxy, to reveal the velocity and composition of the gas near its supermassive black hole. Now, scientists can get a rare look, in unprecedented detail, at how interacting galaxies are triggering star formation in each other and how the gas in these galaxies is being disturbed.
Pembeni ya Stephan’s Quintet WEBBS imeweza kutuonesha uwepo wa black hole yenye mass ya 24 million equivalent to our sun mass.
Carina Nebula: Webb’s look at the ‘Cosmic Cliffs’ in the Carina Nebula unveils the earliest, rapid phases of star formation that were previously hidden. Looking at this star-forming region in the southern constellation Carina, as well as others like it, Webb can see newly forming stars and study the gas and dust that made them. View attachment 2288416
Carina Nebula hapa ndipo ambapo nyota huumbwa. Webbs imeweza kutupatia picha kutoka katika eneo hili umbali wa miaka 7200 ya speed ya mwanga.
Kupitia ujifunzaji wa eneo hili tutaweza kufahamu namna ambavyo nyota zinavyokuwa formed.
The Galactic habitable zone au Goldlocks zone ni eneo karibu na nyota (sunli-like) ambapo hakuna joto sana na sio baridi sana kwa maji kuweza kuwepo kwenye uso wa sayari zinazozunguka. Fikiria ikiwa Dunia ingelikuwa mahali ambapo Pluto ipo. Jua lingeonekana kwa shida sana (karibu saizi ya apple...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.