Hatimaye picha kutoka James Web telescope zimetolewa rasmi kwa umma

Una kubali kwamba Sayansi haijawahi kuthibitisha juu ya hizi nadharia ulizo ziandika hapa ? Mfano wewe unaweza kunithibitishia ya kuwa Dunia inazunguka ?

Jua linazunguka au linatembea ?
Unafikiri kutokea kwa usiku asubuhi, mchana na jioni ni kwa sababu jua linawashwa na kuzimwa na mtu fulani ??
 
Ndo ilivyo mkuu. Kuna star zilisha potea zamani sana tu
4.5 billion light years ni parefu sana swali kwako ni je wamewezaje kuona huo mwanga wake? Na je hiyo teknolojia haiwezi kuongezwa zaidi ili kuzoom kilichopo ndani yake?
 
4.5 billion light years ni parefu sana swali kwako ni je wamewezaje kuona huo mwanga wake? Na je hiyo teknolojia haiwezi kuongezwa zaidi ili kuzoom kilichopo ndani yake?




Katika picha ya SMACs tunaweza kuziona hizo galaxies zilivyokuwa 4.5 billions years ago.

Tukiwa karibu na wakati huu galaxies huwa zina emmit different wavelength kuanzia gamma ray
mpka radio waves yaani wavelength yote katika electromagnetic spectrum ikiwemo visible wavelength ambazo tungeweza kuziona kwa macho ya kibinadamu lakini kwa sababu ulimwengu unatanuka baada ya mabilioni ya miaka



The light from the most distant galaxies, as we see it now, has been stretched to longer and redder wavelengths due to the expansion of the universe.

This means some of the light that would have been visible to our eyes when it was first emitted has since lost energy as the universe expanded. It’s now in a completely different region of the electromagnetic spectrum. This is a phenomenon called “cosmological redshift”.

And this is where the JWST really shines. The broad range of infrared wavelengths detectable by JWST allow it to see galaxies Hubble never could. Combine this capability with the JWST’s enormous mirror and superb pixel resolution, and you have the most powerful time machine in the known universe.
 
Justification tu. Kwani iliandikwa wapi ama una uhakika kuwa umeumbwa ivyo kweli mkuu Ila bana brains kwa kukwepa ukweli tu haijambo ujue.
Unasubiri uandikiwe? Angalia uhalisia
 
Wewe unawezaje kujua mwezi uliwahi kupasuka katikaki kisha ukarudi ulivyokuwa??
Swali rahisi sana,mimi najua kupitia chain mpaka kwenye Primary Source.

Wewe unajuaje ukweli wa miaka elfu moja iliyo pita juu ya kutokea kwa jambo fulani ?
 
Wewe ulihakiki mwezi kupasuka katikati vipande viwili na kujirudia? Uliwahi kuhakiki kuna mbingu saba na kuna amefika huko mbinguni kwa farasi ??
Naam nimewahi kuhakiki hili.
 
Unafikiri kutokea kwa usiku asubuhi, mchana na jioni ni kwa sababu jua linawashwa na kuzimwa na mtu fulani ??
Jibu swali langu kwa mujibu wa Sayansi yenu inavyo waambia. Akili yako inaonyesha ni ndogo sana mpaka ukajenga swali kwa mtindo huu, jua tunaliona kila siku, kinachowashwa sifa zake zinajulikana, ila jua halina sifa za kitu kinachowashwa.
 
Unajua hujaeleza jibu kwa mujibu wa, Sayansi inavyoelezea mambo, bali umeleezea kifalsafa sababu kuna maswali hujajibu. Mfano hujaonyesha starting point kama marejeo ni ipi ?

Alitumia kifaa gani kujua hiloi, je alifika kwenye Sayari ya Jupiter ? Sababu ili ujue mwendo lazima ujue umbali husika kuanzia mwanzo na mwisho. Hili walilijuaje ?

Dunia inakuwa mbali na Jupiter kivipi na kipindi gani na kwa sababu gani ?
 
Huwezi kuona hata cha leo hata jua tuu unaloliona ni jinsi lilivyo dakika 8 zilizopita kitu pekee unacho weza ona now ni mtu aliye karibu yako [emoji23][emoji23][emoji23]
Nithibishie ya kuwa jua ninalo liona muda huu ni la dakika 8 zilizo pita.
 
JWST imefanikiwa kupiga picha hii galaxy ambayo iliundwa miaka milioni 300 baada ya bigbang ambapo ni sawa tu na miaka billion 13.5 baada ya bigbang.

Galaxy hiyo inaitwa GLASS-z13.
 
NASA huwa wanajitahidi Sana kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…