Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Hahahaha naona mmeamua kijifariji unauliza Putin anataka nini tena?Kazi ameshaifanya na amegundua islamic state ndiyo waliohusika,islamic state wamekiri kuhusika,unataka nini tena?
Putin, kaishaweka wazi wanafanya uchunguzi wao na upo karibu kufahamu wote walihusika na nchi ambayo waliwatuma ataanza na viongozi wao na watatoa adhabu ya wazi na dunia yote itaona.
Huyo ndiyo Putin 😂