Hatimaye Putin akubali shambulio lilifanywa na magaidi wa kiislamu ila asema Ukraine ilihusika kiaina

Hatimaye Putin akubali shambulio lilifanywa na magaidi wa kiislamu ila asema Ukraine ilihusika kiaina

Kazi ameshaifanya na amegundua islamic state ndiyo waliohusika,islamic state wamekiri kuhusika,unataka nini tena?
Hahahaha naona mmeamua kijifariji unauliza Putin anataka nini tena?

Putin, kaishaweka wazi wanafanya uchunguzi wao na upo karibu kufahamu wote walihusika na nchi ambayo waliwatuma ataanza na viongozi wao na watatoa adhabu ya wazi na dunia yote itaona.

Huyo ndiyo Putin 😂
 
Nioneshe mwanamke mmoja Tu wa kikristo aliyesilimu Kwa ajili ya kuolewa na mwanaume fukara wa kiislamu.

Mara zote mwanamke anasilimu Kwa sababu za kiuchumi au kulewa penzi na siyo sababu za kiimani, hapa ndipo dini hii ilipoingizwa mkenge, wanawake wote waliosilimu wakiacha au hao waliowasikimisha kufa urudi kwenye dini zao za awali, ushshidi upo mwingi tu.
Na kwa kumongezea tu mke wa pm majaliwa Ni mkatoliki mpaka kesho mke wa mzee makamba ni mkatoliki daima
 
Rais wa Urusi Vladimir Putin amehutubia Taifa lake kwa mara nyingine leo akitoa msimamo kuhusu shambulizi la kigaidi lililoua zaidi ya Watu 130 Crocus City Hall ambapo amesema ni kweli Waislamu wenye itikadi kali wamehusika na shambulio kama Marekani na Washirika wake wanavyosema lakini Putin amesema bado kuna maswali mengi ya kujiuliza ili kumjua aliyewatuma Wahalifu hao, moja ya swali hilo likiwa ‘inawezekanaje Waislamu wa kweli wakaua Watu ndani ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani!!”.

Putin amenukuliwa akisema “Huu uhalifu umefanywa na Waislamu wenye msimamo mkali , Marekani wanatumia hii fursa kujaribu kwa makusudi kuficha ukweli kuhusu wanaohusika na shambulizi na wanasema ISIS ndio wanahusika moja kwa moja na shambulizi lakini tunajua ambaye amepanga na kutekeleza shambulizi lakini tunachotamani kwa sasa ni kumjua aliyewatuma na kutoa amri wafanye shambulizi”

“Vyombo vyetu vya uchunguzi na vya kisheria vinatakiwa kujiuliza na kupata majibu ya maswali mengi ikiwemo kwamba ‘inawezekanaje?, Waislamu wenye msimamo mkali ambao wanajinasibu kuwa ni Waislamu wa kweli wanawezaje kufanya dhambi kubwa kama ile ya kuua Watu ndani ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan!?’, swali hili na mengine ya kitaalamu yatasaidia kwenye uchunguzi wa shambulizi hili na tutapata majibu, tutajua nani ananufaika na shambulizi lile”

“Shambulizi hili linaweza kuwa lina mahusiano ya karibu kabisa na Mataifa/Watu ambao wanaipiga vita Urusi tangu kwaka 2014, maumivu ambayo wote tunayahisi na hamu tuliyonayo ya kumuadhibu kila aliyehusika tunatakiwa kuhakikisha uchunguzi unafanyika kwa viwango vya juu vya kitaalamu bila kumuonea Mtu au kuegemea upande wowote kwa sababu za kisiasa”

Huyu Putin🤣

Haya maneo ya kishogoa sijui hatimaye sijui kiana ni yenu eti unamuuliza maswali Putin nimecheka sana..
Si alikua anayakumbatia magaidi ya Hamas sasa ni zamu yake kuonja joto ya jiwe.
 
Usimpangie Putin cha kufanya yeye anaanzia magaidi walipokuwa wanakimbilia baada ya tukio wamenasa mawasiliano muacheni Putin afanye kazi yake.
Lukashenko contradicts Putin, says Moscow terrorists were fleeing to Belarus, not Ukraine

Belarusian President Alexander Lukashenko has said the men who allegedly attacked the Crocus music hall in Moscow on Friday were initially headed to Belarus, not Ukraine — contradicting a previous claim by Russian President Vladimir Putin.

“We placed our units on high alert to prepare for a combat situation,” Lukashenko said at a Tuesday press conference. “As a result they were unable to enter Belarus by any means. Recognizing this, they diverted their course and headed toward the Ukrainian-Russian border.”
Lukashenko contradicts Putin, says Moscow terrorists were fleeing to Belarus, not Ukraine
 
Usijidanganye!

Ukatoliki kamwe hauwezi kubadilika hata siku moja -- labda kuzidi kuwa mwovu zaidi, katili zaidi, na kukufuru zaidi.

Angalia hivi sasa ushoga unaenda kusimamiwa kwa dhati na kuenezwa kwa kasi sana kama haki mojawapo ya binadamu ulimwenguni kote chini ya hisani ya Mvatikano!

Hivi huoni mkono wa Ukatoliki kwenye sera, kanuni, utawala na sheria za nchi mbalimbali?

Hilo lenyewe linakwambia nini?

Mvatikano amehodhi karibu kila taasisi binafsi na ya umma, ndogo na kubwa, nyumbani na ughaibuni!

Asilimia kubwa ya watumishi husika wanatenda kazi kwa kutekeleza misingi na mipango ya Ukatoliki, kwa kujua ama kutojua!

Kama unadhani Ukatoliki umebadilika, tafakari tena!

^Yule Ibilisi ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi, akijua kwamba ana wakati mchache tu.^ ~Ufunuo 12:12
Biblia inasema alitubu uongo vifo vya watakatifu aliowaua
 
Lukashenko contradicts Putin, says Moscow terrorists were fleeing to Belarus, not Ukraine

Belarusian President Alexander Lukashenko has said the men who allegedly attacked the Crocus music hall in Moscow on Friday were initially headed to Belarus, not Ukraine — contradicting a previous claim by Russian President Vladimir Putin.

“We placed our units on high alert to prepare for a combat situation,” Lukashenko said at a Tuesday press conference. “As a result they were unable to enter Belarus by any means. Recognizing this, they diverted their course and headed toward the Ukrainian-Russian border.”
Lukashenko contradicts Putin, says Moscow terrorists were fleeing to Belarus, not Ukraine
Na bado kila moja atasema lake 🤣
 
Putin alisoma apa ndio maana anashangaa kashambuliwa na waislamu kipindi Cha ramadhani

Koran 9:5. Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia...

Alwaz
Lahaula[emoji3064]
Nilidhani wanasimgiziwa, kumbe ni kweli tupu.
 
Ukiona mtu anamwita mtu mwingine "Kafiri" bila sababu ujue kuna kitu kime mharibu akili yake.

Mtu aliyeharibiwa akili anaweza kufanya chochote kibaya muda wowote ule.
 
Back
Top Bottom