Hatimaye Putin akubali shambulio lilifanywa na magaidi wa kiislamu ila asema Ukraine ilihusika kiaina

Kazi ameshaifanya na amegundua islamic state ndiyo waliohusika,islamic state wamekiri kuhusika,unataka nini tena?
Hahahaha naona mmeamua kijifariji unauliza Putin anataka nini tena?

Putin, kaishaweka wazi wanafanya uchunguzi wao na upo karibu kufahamu wote walihusika na nchi ambayo waliwatuma ataanza na viongozi wao na watatoa adhabu ya wazi na dunia yote itaona.

Huyo ndiyo Putin 😂
 
Na kwa kumongezea tu mke wa pm majaliwa Ni mkatoliki mpaka kesho mke wa mzee makamba ni mkatoliki daima
 
Si alikua anayakumbatia magaidi ya Hamas sasa ni zamu yake kuonja joto ya jiwe.
 
Usimpangie Putin cha kufanya yeye anaanzia magaidi walipokuwa wanakimbilia baada ya tukio wamenasa mawasiliano muacheni Putin afanye kazi yake.
Lukashenko contradicts Putin, says Moscow terrorists were fleeing to Belarus, not Ukraine

Belarusian President Alexander Lukashenko has said the men who allegedly attacked the Crocus music hall in Moscow on Friday were initially headed to Belarus, not Ukraine — contradicting a previous claim by Russian President Vladimir Putin.

“We placed our units on high alert to prepare for a combat situation,” Lukashenko said at a Tuesday press conference. “As a result they were unable to enter Belarus by any means. Recognizing this, they diverted their course and headed toward the Ukrainian-Russian border.”
Lukashenko contradicts Putin, says Moscow terrorists were fleeing to Belarus, not Ukraine
 
Biblia inasema alitubu uongo vifo vya watakatifu aliowaua
 
Na bado kila moja atasema lake 🤣
 
Putin alisoma apa ndio maana anashangaa kashambuliwa na waislamu kipindi Cha ramadhani

Koran 9:5. Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia...

Alwaz
Lahaula[emoji3064]
Nilidhani wanasimgiziwa, kumbe ni kweli tupu.
 
Ukiona mtu anamwita mtu mwingine "Kafiri" bila sababu ujue kuna kitu kime mharibu akili yake.

Mtu aliyeharibiwa akili anaweza kufanya chochote kibaya muda wowote ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…