Hatimaye Rais wa FIFA akiri, ataja sababu ya Argentina kushinda kombe la Dunia

View attachment 2451867
Kwa Tafsiri ya Kiswahili ni " Ingekuwa sio haki Kama Messi angestaafu bila kushinda kombe la Dunia"

Kumbuka na Hawa walishatabiri Argentina itabeba kombe baada ya kuona Mambo yalivyokuwa yakienda

View attachment 2451868
Usingetaafsiri mimi nilielewa kwamba mkuu kuyasema hayo ni katika kusifia timu yote kwa ujumla imetoa ushirikiano mkubwa ktk kumtendea haki mstaafu wao pamoja na jitihada zake mwenyewe.
 
Kuna watu team Ronaldo wameumia sana..
Was unfair kumweka mezani moja Messi vs Ronaldo
Kwa kipaji halisi cha soka ronaldo hajamfikia messi hat kidogo kikubwa kilichombeba ronaldo kuweza kula sahani moja na messi kwa miaka kadhaa ni juhudi zake wanasema hard work beat talent yaani messi kipaji ronaldo msongo mwisho wa zama kipaji kimeshinda
 
Ndiyo waliohamia kwa Mbappe...
Ila Binadamu sisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waliona Portugal wametolewa wakatafuta mbadala wa Ronaldo.

Sijui guts za kumlinganisha Messi na Mbappe walikuwa wanapata wapi...
Mashabiki wa messi mnalazimisha kubadilisha upepo wa mada., mtoa mada kajenga hoja yake kwa kuoanisha maneno ya baadhi ya wachezaji na maofisa wanaohusika na uendeshaji wa hii michano kwa kuonesha kuna uwezekano kwamba ilipangwa messi achukue hili kombe ilitakiwa mtoe hoja zenu kwa kuangazia mada husika cha kushangaza mnaleta story za ushindani wa ronaldo na messi., mfano penati aliyopewa argentina kwenye fainali ilikua mbeleko kwa sababu di maria akuguswa hapo ulitakiwa kupinga kwa kusema ile ilikua penati halali kwa sababu hii hapa... sio hayo mambo mengine hayo mambo ya rekodi, ballon dor sijui messi kuchukua vijiji wote tunayajua toeni hoja zenu kwa kuangazia mada husika
 
Ongezea na ile record yake ya UEFA final 2011..
Hadi Mzee Mzima Ferguson akapata Mtetemo[emoji23]...
Kama sikosei ilikuwa 2010.

Mashabiki wa Man U, team ronaldo, ambao kwa sasa wanafahamika kama team mbappe walikuwa na ujasiri sana na viungo wao, hasa paul shcoles na park ji sung, wakiamino pia kijana wao fletcher atawitia kwapano akina Iniesta na Xavi. Wakadai Scholes pasi zake hakuna wa kuzizuia pale Barca.

Unajua mkuu mashabiki wa ronaldo uwendawazimu haujawaanza leo wala jana, wamewehuka toka kitambo. Ule utatu wa Sergio Busquets, Xavi na Iniesta ulikuwa unacheza kimfumo na sio uwezo binafsi hata useme uje unawakaba wao.

Kilichotokea wote hawaamini ktk ile game, mtoto mdogo pedro akamtengua kiuno beki wao bora fabio, akashikilia bomba ili aweke kiuno sawa, jamaa akazidiwa, jopo la madaktari wakaja kumtoa nje ili kumtibu.

Shinji kagawa akapewa asimame na Erick Abidal, mipora yoote ilikuwa inatua kwa Erick Abidal, Fletcher, Pak Ji Sung wote wakapoteana ndani ya Game. Fergason hakuamini kama ile ndo Man U aloisuka kuingia fainal, alipata mtetemo mzito, kwa mtetemo ule akaona heri astaafu ili kuepuka mauti kwa presha uko mbeleni.

Messi alikuwa anamuokota Ryan Gigs, chukua Pak Sung, sijui Ferdinand na tumbili wengine kisha anatembea na mpira mbele
 
Ndiyo waliohamia kwa Mbappe...
Ila Binadamu sisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waliona Portugal wametolewa wakatafuta mbadala wa Ronaldo.

Sijui guts za kumlinganisha Messi na Mbappe walikuwa wanapata wapi...
Ha ha ha ha ha ha yaani sijui ilikuwa wakahamia kwa Mbappe aiseee.
 
Ahsante kwa Masahihisho...

Barcelona ile sijui nitakuja kuiona lini tena....
Labda Watoto wangu wataishuhudia itakayokuja....

Messi alikuwa anachukua kijiji kizima[emoji2]
 
Ahsante kwa Masahihisho...

Barcelona ile sijui nitakuja kuiona lini tena....
Labda Watoto wangu wataishuhudia itakayokuja....

Messi alikuwa anachukua kijiji kizima[emoji2]
Neymar kuondoka pale alizingua sana, hata Messi alijitahidi mno lakini tuliona hakuweza kufua dafu, timu ipo vibaya kiuchumi. Ila upo wakati itasimama tu.
 
Kwanza kabisa pedro ni mkubwa kwa fabio kwa miaka mitatu sijui umetumia kigezo gani kumwita ni mtoto mdogo wake yeye ni mkubwa kwa uyo unayedai alimtengua kiuno pili fletcher akucheza iyo mechi alikua anatumikia adhabu tatu shinji kagawa alikua bado hajasajiliwa man utd nne ilikua mwaka 2011 sio 2010 unatakiwa kufanya research kabla ya kutoa hoja kwa kukulupuka tano ni wazi ile game man u alizidiwa sana ile edition ya barca ilikua sumu ulaya nzima
 
Ni kweli mkuu alikuwa valencia na sio kagawa, na sio fletcher ila alikuwa carrick, umri unasonga mbele, kwahiyo kuna mda napoteza kumbukumbu, pia Barca amemuonea saana man u miaka ya karibuni, sio rahisi kukumbuka kila kitu.

Mbali na Fergon kutetemeka, hii si game ambayo chicharito alikuwa anatokwa na machozi?
 
Neymar kuondoka pale alizingua sana, hata Messi alijitahidi mno lakini tuliona hakuweza kufua dafu, timu ipo vibaya kiuchumi. Ila upo wakati itasimama tu.
Neymar alikua anaitaka ballon dor shida pale barca unatakiwa kumtumikia messi piga kazi timu ikifanya vizuri sifa na tuzo zinaenda kwa messi ikamlazimu neymar aondoke aende kutengeneza ufalme wake sehemu nyingine apate ile tuzo bahati mbaya psg napo akaenda kuwa chini ya kivuli cha mbappe wakati mzuri kwake kubeba ballon dor ilikua ni kwenda real madrid baada ya ronaldo kuondoka kwa sasa sidhani tena kama atabeba ile tuzo kuna uwezekano mwaka huu akachujua tena messi baada ya hapo tutashuhudia battle ya mbappe na halaand
 
kwa hizi facts utawaua mzee, messi ni alongside maradona na pele... hawa second class players ndo utawakuta wengi wakina ronaldo , mbape lewandosky
 
Upo sahihi, jamaa alipaswa kwenda Madrid au hata Bayern na sio kule France. Kwa kombe hilo alobeba Messi, Barca wangekuwa vyema, Messi angerudi ili amalizie soka lake la ulaya Barca.
 
kwa hizi facts utawaua mzee, messi ni alongside maradona na pele... hawa second class players ndo utawakuta wengi wakina ronaldo , mbape lewandosky
Tukizungumzia mpira kama talent, ni kuukosea heshima mpira kumuweka ronaldo hapo, unless umaanishe De Lima.

Ronaldo alipambana kwa jasho zito ili apambane na Messi na sio kwamba alikuwa na kipaji. Vipaji tunazungumzia akina Messi, Mbappe, Vinicious, Neymar, Iniesta n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…