Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Verified βοΈSafi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji.
Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu wengi hasa jinsia ya kike ambao walikuwa wamepoteza matumaini sehemu nyingine za maisha.
Nasubiri sana kuona film yake mpya kama alivyosema ameamua kuangukia kwenye uigizaji. Nadhani amaona huko ndo ana uwezo nako. Heko kwake, kongole n.k.tumtie moyo kwa kweli.
Umesahau kuandika nambaSafi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji.
Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu wengi hasa jinsia ya kike ambao walikuwa wamepoteza matumaini sehemu nyingine za maisha.
Nasubiri sana kuona film yake mpya kama alivyosema ameamua kuangukia kwenye uigizaji. Nadhani amaona huko ndo ana uwezo nako. Heko kwake, kongole n.k.tumtie moyo kwa kweli.
Hakuna Rais hapa ni bomu Tena la kienyejiSafi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji.
Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu wengi hasa jinsia ya kike ambao walikuwa wamepoteza matumaini sehemu nyingine za maisha.
Nasubiri sana kuona film yake mpya kama alivyosema ameamua kuangukia kwenye uigizaji. Nadhani amaona huko ndo ana uwezo nako. Heko kwake, kongole n.k.tumtie moyo kwa kweli.
yaani wewe ni chizi freshππSafi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji.
Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu wengi hasa jinsia ya kike ambao walikuwa wamepoteza matumaini sehemu nyingine za maisha.
Nasubiri sana kuona film yake mpya kama alivyosema ameamua kuangukia kwenye uigizaji. Nadhani amaona huko ndo ana uwezo nako. Heko kwake, kongole n.k.tumtie moyo kwa kweli.
Haaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo mpymbavu akujua kuwa yeye ni Zelensky ....wakati tunamfananisha na mpuuzi zel boy alidhani tunamsingizia [emoji40][emoji40] bora alivyo jua hivyo.Safi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji.
Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu wengi hasa jinsia ya kike ambao walikuwa wamepoteza matumaini sehemu nyingine za maisha.
Nasubiri sana kuona film yake mpya kama alivyosema ameamua kuangukia kwenye uigizaji. Nadhani amaona huko ndo ana uwezo nako. Heko kwake, kongole n.k.tumtie moyo kwa kweli.
Muhogo Mchungu!That says alot hata wateule wake wengi ni wasanii wenzake.
Niki wa pili, mwana fa, yule jamaa wa kaole etc etc.
Usisahau Mwenyekiti wa sasa wa UWT, naye ni mwigizaji.That says alot hata wateule wake wengi ni wasanii wenzake.
Niki wa pili, mwana fa, yule jamaa wa kaole etc etc.
Leta fyoto Utajua amejipata kwenye uigizaji au vinginevyo.Safi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji.
Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu wengi hasa jinsia ya kike ambao walikuwa wamepoteza matumaini sehemu nyingine za maisha.
Nasubiri sana kuona film yake mpya kama alivyosema ameamua kuangukia kwenye uigizaji. Nadhani amaona huko ndo ana uwezo nako. Heko kwake, kongole n.k.tumtie moyo kwa kweli.
HAHAHAASafi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji.
Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu wengi hasa jinsia ya kike ambao walikuwa wamepoteza matumaini sehemu nyingine za maisha.
Nasubiri sana kuona film yake mpya kama alivyosema ameamua kuangukia kwenye uigizaji. Nadhani amaona huko ndo ana uwezo nako. Heko kwake, kongole n.k.tumtie moyo kwa kweli.
Pumbavuh huna hata akili.... Wewe umeona kuna sehemu nimesema kuna tatozo? Kilaza wewe.... Mstari unao mgongoni mwako.Leta fyoto Utajua amejipata kwenye uigizaji au vinginevyo.
Hapa unafurahia kuropoka Kwa sababu aliwapa fursa mropoke ila usivuke mstari.
Mwisho kuigiza ni kazi pia kwani Kuna tatizo?
Dah, Tanzania mimi sihami aisee![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Safi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji.
Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu wengi hasa jinsia ya kike ambao walikuwa wamepoteza matumaini sehemu nyingine za maisha.
Nasubiri sana kuona film yake mpya kama alivyosema ameamua kuangukia kwenye uigizaji. Nadhani amaona huko ndo ana uwezo nako. Heko kwake, kongole n.k.tumtie moyo kwa kweli.
Mimi nasubiri kujua lini ataenda kubembea kule Jamaica kama yule mswahili mwenzake.Leta fyoto Utajua amejipata kwenye uigizaji au vinginevyo.