Hatimaye Samia amejipata baada ya kujitafuta kwa muda mrefu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Safi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji.

Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu wengi hasa jinsia ya kike ambao walikuwa wamepoteza matumaini sehemu nyingine za maisha.

Nasubiri sana kuona film yake mpya kama alivyosema ameamua kuangukia kwenye uigizaji. Nadhani ameona huko ndo ana uwezo nako. Heko kwake, kongole n.k.tumtie moyo kwa kweli.
 
Safi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji.

Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu wengi hasa jinsia ya kike ambao walikuwa wamepoteza matumaini sehemu nyingine za maisha.

Nasubiri sana kuona film yake mpya kama alivyosema ameamua kuangukia kwenye uigizaji. Nadhani amaona huko ndo ana uwezo nako. Heko kwake, kongole n.k.tumtie moyo kwa kweli.
Verified ✔️
 
Umesahau kuandika namba
 
Hakuna Rais hapa ni bomu Tena la kienyeji
 
yaani wewe ni chizi fresh😀😀
 
Haaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo mpymbavu akujua kuwa yeye ni Zelensky ....wakati tunamfananisha na mpuuzi zel boy alidhani tunamsingizia [emoji40][emoji40] bora alivyo jua hivyo.
 
Safi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji.

Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu wengi hasa jinsia ya kike ambao walikuwa wamepoteza matumaini sehemu nyingine za maisha.

Nasubiri sana kuona film yake mpya kama alivyosema ameamua kuangukia kwenye uigizaji. Nadhani amaona huko ndo ana uwezo nako. Heko kwake, kongole n.k.tumtie moyo kwa kweli.
Leta fyoto Utajua amejipata kwenye uigizaji au vinginevyo.

Hapa unafurahia kuropoka Kwa sababu aliwapa fursa mropoke ila usivuke mstari.

Mwisho kuigiza ni kazi pia kwani Kuna tatizo?
 
HAHAHAA
 
Pumbavuh huna hata akili.... Wewe umeona kuna sehemu nimesema kuna tatozo? Kilaza wewe.... Mstari unao mgongoni mwako.
 
Safi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji.

Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu wengi hasa jinsia ya kike ambao walikuwa wamepoteza matumaini sehemu nyingine za maisha.

Nasubiri sana kuona film yake mpya kama alivyosema ameamua kuangukia kwenye uigizaji. Nadhani amaona huko ndo ana uwezo nako. Heko kwake, kongole n.k.tumtie moyo kwa kweli.
Dah, Tanzania mimi sihami aisee![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Leta fyoto Utajua amejipata kwenye uigizaji au vinginevyo.

Hapa unafurahia kuropoka Kwa sababu aliwapa fursa mropoke ila usivuke mstari.

Mwisho kuigiza ni kazi pia kwani Kuna tatizo?
Mimi nasubiri kujua lini ataenda kubembea kule Jamaica kama yule mswahili mwenzake.
 
Back
Top Bottom