Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Safi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji.
Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu wengi hasa jinsia ya kike ambao walikuwa wamepoteza matumaini sehemu nyingine za maisha.
Nasubiri sana kuona film yake mpya kama alivyosema ameamua kuangukia kwenye uigizaji. Nadhani ameona huko ndo ana uwezo nako. Heko kwake, kongole n.k.tumtie moyo kwa kweli.