Hatimaye Siri za ATCL zaanza kuvuja, ni kuhusu ndege ya Bombardier

Kwahiyo kumbe tulipigwa fix kwamba ndege zote ni zetu , kumbuka kila ndege iliyokuja tulifanya maandamano pale Airport .
Mimi siipendi CCM ila kama ukuelewa utetezi wa atcl,ile bombadier dash-q300 ile ndege ilikuja kipindi cha jakaya kupambana na fast jet, bombadier alizozinunua magu ni dash-q400, halafu kwenye aviation mambo ya ku lease ndege ni kawaida kabisa hata kq na Ethiopia airline kuna baadhi ya ndege ni kukodisha na zingine watu wamewekeza (wabia).
 
TTCL tena?
 
Kwahiyo?
 
Mbona haya mambo yalishazungumzwa JPM anaingia hizo q300 si zilikuwa mbili moja ilitelezaga matopeni kule Mwanza ikataka kuua watu leo tumesahau tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…