Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Trump alikulia New York kwenye mazingira ya Mafioso na Gangsters ambao walikuwa wanajua kutishia watu na kulazimisha mambo yafanayike kama wanavyotak. Ujuzi wa diplomacy hana kabisa. Kwenye muhula wake wa kwanza alikuwa na mawaziri wenye kujua diplomacy wakawa wanamzuia kufanya mambo kadhaa. Safari hii amechagua mawaziri wasiojua lolote, kazi yao ni kutekeleza yale anayotaka hata kama ni ya kijinga, na sasa ndio hivyo tena. Baada ya miaka minne Marekani itakuwa ni banana republic.Sasa analialia nini sasa kama alikuwa anawapiga pin maksudi hakujua kuwa they can pave the other road?!
Trump apambane na hali yake tu."Inaonekana tumeipoteza India na Urusi katika sehemu kubwa zaidi, yenye giza zaidi, China. Wawe na mustakabali mrefu na wenye mafanikio pamoja!"
— Donald Trump
Hivi karibuni Trump aliongeza ushuru kwa bidhaa za India hadi kufikia 50% kama adhabu kwa sababu ya India kuendelea kununua mafuta kutoka Urusi.
Kitendo hicho kimeifanya India ijikite zaidi kurekebisha uhusiano wake wa kidiplomasia na China na kuimarisha uhusiano wake na Russia.
Na hilo limeonekana kwa Modi kuhudhuria mkutano wa Shanghai Cooperation Organization (SCO) uliofanyika Tianjin, China. Ilipita miaka saba tangu mara ya mwisho Modi kuwa na mkutano wa mazungumzo na Xi.
Xi na Modi walikuwa na mazungumzo ya pamoja wakikubaliana kuimarisha umoja na kutatua mgogoro wa mipaka kati ya mataifa hayo.
Modi na Putin walionekana ndani ya Limo ya Putin wakizungumza mawili matatu. Na baadaye wakiwa na mazungumzo ya kina kwenye mkutano maalumu kati ya marais hao wawili wakiwa China.
Na kama inavyojulikana Urusi imezidi kuwa na ukaribu na China tangu ilipoanzisha Special Operation nchini Ukraine.
Na kama haitoshi Putin alikuwepo kwenye gwaride la jeshi la China kuadhimisha miaka 80 ya ushindi wa China dhidi ya uvamizi wa Japan.
Viongozi hawa watatu walionekana kuwa na ukaribu sana katika matukio hayo mawili. Nafikiri hii ni sababu kwa nini Trump ameamua kuondoa ukimya na kukiri.
Kwa kumalizia Trump aliyatakia mataifa hayo matatu mustakabali mrefu na mafanikio makubwa.
Trump amezipush India, Russia ziwe closer na China, sasa mataifa yenye watu bilioni 3 na nguvu kubwa za kijeshi duniani stand strong.
"The supreme art of war is to subdue the enemy without fighting."
— Sun Tzu (Chinese general and strategist)
So much winning kwa China!
Trump alikulia New York kwenye mazingira ya Mafioso na Gangsters ambao walikuwa wanajua kutishia watu na kulazimisha mambo yafanayike kama wanavyotak. Ujuzi wa diplomacy hana kabisa. Kwenye muhula wake wa kwanza alikuwa na mawaziri wenye kujua diplomacy wakawa wanamzuia kufanya mambo kadhaa. Safari hii amechagua mawaziri wasiojua lolote, kazi yao ni kutekeleza yale anayotaka hata kama ni ya kijinga, na sasa ndio hivyo tena. Baada ya miaka minne Marekani itakuwa ni banana republic.
Sasa analialia nini sasa kama alikuwa anawapiga pin maksudi hakujua kuwa they can pave the other road?!
Na bado...
Nahisi Trump ana tumika bila ya watu kujuaSasa analialia nini sasa kama alikuwa anawapiga pin maksudi hakujua kuwa they can pave the other road?!
Trump apambane na hali yake tu.
Trump anakaribia kuangusha ngomeKwahiyo Kuna uwezekano ngome ikaanguka?
mzani umeinama huuu,Kwahiyo Kuna uwezekano ngome ikaanguka?
Na huenda inambabua hata ngoziTatizo la Trump anakunywa Gongo kali inazidi kumfokoa Akili.
Fact...Na bado hajaitaja North Korea nayo inazidi kuingia kwenye mfumo wa Russia na China
China shapes a new world order