Hatimaye Trump amekiri: "Inaonekana tumeipoteza India na Urusi kwa China"

Hatimaye Trump amekiri: "Inaonekana tumeipoteza India na Urusi kwa China"

Siyo hao tu; mawaziri wake karibu wote ni watu wa pumba tupu.
  1. Tulsi Gabard Director wa NSA ni wa hovyo kabisa hajui analofanya bali andhani kazi yake ni kumfurahisha Trump tu, kwa mfano kutoa siri za NSA zinazofurahisha Trump na hivyo kuvuruga utaratibu mzima wa utendaji kazi ndani ya NSA bila mwenye kujua.
  2. Kash Patel Director wa FBI, analojua ni kuwaandama "maadui" wa Trump tu na kusahahu kuzuia uharifu halisa kwa nchi.
  3. Pam Bond Mwanasheria mkuu wa serikali, anachofanya ni kuwa mwanasheria wa Trump, siyo mwanasheria anayetumikia katiba ya marekani.
  4. Krist Noem waziri wa Mambo ya ndani hajui kabisa sheria inayoongoza mambo ya ndani, anachojua yeye ni kuvamia sehemu za kazi kutafuta wanaoitwa illegals na kuacha kazi halisi ya wizara yake
  5. Scott Bessent Waziri wa fedha hajui kuwa fedha za serikali ni tofauti na fedha za mtu binafsi kama ilivyo kwa Trump mwenyewe. Anachojua ni jinsi ya kukamua nchi nyingine kusudi serikali yake ipate pesa bila kujua madhara yake kidplomasia.
  6. Robert Francis Kennedy Jr. waziri wa afya, anachojua ni kupunguza matumizi ya serikali kwa kuondoa huduma za afya bila kujua madhara ya kuwa na taifa la watu wenye afya dhaifu. Hajui madhara ya magonjwa ya kuambukiza na umuhimu wa kuyazuia mapema kabla hayasambaa. Kuindoa US kwenye WHO ulikuwa ni upumbavu wa hali ya juu sana kwani magonjwa yanayoanza nchi moja husambaa dunia nzima hadi ndani ya Marekani.
  7. List ni ndefu sana
Ulaya wanamuita "The Man from Moscow"
20250903_084852.jpg
 
Trump alifikiri Modi atamlamba matako atakuja anaomba msamaha kama PM wa Japan Shigeru Ishiba

Au kama Raisi wa Ulaya mwanamama Ursula von der Leyn na genge lake la cowards wa Ulaya wanavyomnyenyekea

View attachment 3466052
​
Ila Trump anadharau aiseee.

Kawakusanya ofisini kama wanafunzi na mwalimu wao.

Au wafanyakazi na boss wao.
 
Trump alikulia New York kwenye mazingira ya Mafioso na Gangsters ambao walikuwa wanajua kutishia watu na kulazimisha mambo yafanayike kama wanavyotak. Ujuzi wa diplomacy hana kabisa. Kwenye muhula wake wa kwanza alikuwa na mawaziri wenye kujua diplomacy wakawa wanamzuia kufanya mambo kadhaa. Safari hii amechagua mawaziri wasiojua lolote, kazi yao ni kutekeleza yale anayotaka hata kama ni ya kijinga, na sasa ndio hivyo tena. Baada ya miaka minne Marekani itakuwa ni banana republic.
Kwamba kachagua kina jafoo wa USA.
 
Ila mm kwa upande wangu nafurahi sana.

Maana tunafanikiwa kuwajua na wao vizuri.

Ulaya na mbwembwe zao ila wanamuogopa Mrusi na Mmarekani.
Mwezi July raisi wa E.U Commission Ursula na ujumbe wake kutoka Ulaya walienda China kwenye mkutano

Xi akawapandisha coaster 2 hakuna gari la kiongozi mmoja mmoja

No flags, No music, No welcoming committee. The lowest diplomatic protocol ever

Kama Uingereza walivyowafanyia viongozi wa Afrika kwenye maziko ya Queen Lizzy
​

 
Ila India ijipange huu mziki ilioingia wa kutunishiana misuli na Marekani sio wa kitoto

Isije siku tukamkuta Modi ndani ya oval office akichambwa na Trump pembeni yake akiwepo Rubio

India ni moja ya taifa ambalo wana undimbilakuwili sana. Ila mpaka sasa kuendelea kununua mafuta Russia wanastahili pongezi wamemkazia Trump
India wana wasomi wengi, wana idadi kubwa ya watu hivyo wanasoko kubwa na ni nchi inayokuja kasi kimaendeleo.
Advantage aliyokuwa nayo Marekani ni uhasimu wa India na China ila kama hayo mataifa yameamua kukaa pamoja wa kujipanga ni Marekani na sio India.
 
Mwezi July raisi wa E.U Commission Ursula na ujumbe wake kutoka Ulaya walienda China kwenye mkutano

Xi akawapandisha coaster 2 hakuna gari la kiongozi mmoja mmoja

No flags, No music, No welcoming committee. The lowest diplomatic protocol ever

Kama Uingereza walivyowafanyia viongozi wa Afrika kwenye maziko ya Queen Lizzy
​

View attachment 3466505
Safi sana.

Lazima dunia mzani ubalance ili tuheshimiane.
 
Kwa kauli hii ya Trump, Nauona muungano wa BRICS ukichanua zaidi maradufu ndani ya miaka 5- 10,

BRICS may be much stronger than EU as well as UN ....BRICS watakuwa na undisputed kura ya turufu mara 3 zaidi ya US!.
 
Sasa kati ya India na marekani nani anamhitaji mwenzie?
Juzi India kachapwa na Pakistan akaomba USA amwambie Pakistan asitishe vita.
 
Sasa kati ya India na marekani nani anamhitaji mwenzie?
Juzi India kachapwa na Pakistan akaomba USA amwambie Pakistan asitishe vita.
Yeah na India walipewa kichapo na Pakistan wakitumia silaha za China.

Na wakati huohuo India ni mteja mkubwa wa silaha za Urusi

Dunia ni uwanja wa fujo. Geopolitical zinabadilika haraka sana

India inahitaji kufanya diversification ya trade kama China wasitegemee zaidi soko la Marekani
​
 
Kinacho nishangaza juzi China imeomba wanafunzi 600,000 wa kichina waruhusiwe kwenda kusoma vyuo vya marekani.

Kwanini wachina wasisime humo humo kwao kama!wanaweza?

Trump na!waziri wake wa ulinzi wanataka kufuta mashirikiano ya Pentagon wizara ya vita na China, kasema kila kitu cha siri kina vuja china sasa basi, waziri wa ulinzi marekani kasema wachina wasifanye kazi kwenye idara yoyote yenye siri za mitambo au technologia za kijeshi na kivita nchini humo.
 
Back
Top Bottom