Hatimaye Trump amekiri: "Inaonekana tumeipoteza India na Urusi kwa China"

Hahaha ata sign executive order kuwanyima wahindi visa, waende china na russia.
 
Kinacho nishangaza juzi China imeomba wanafunzi 600,000 wa kichina waruhusiwe kwenda kusoma vyuo vya marekani.

Kwanini wachina wasisime humo humo kwao kama!wanaweza?

Trump na!waziri wake wa ulinzi wanataka kufuta mashirikiano ya Pentagon wizara ya vita na China, kasema kila kitu cha siri kina vuja china sasa basi, waziri wa ulinzi marekani kasema wachina wasifanye kazi kwenye idara yoyote yenye siri za mitambo au technologia za kijeshi na kivita nchini humo.
Ukisikiliza wadau humu unaweza kuina US ni kama Tanzania mbele ya China.
 
Acha kupotosha China haijaomba ila Trump ameruhusu wanafunzi wa China waende kusoma Marekani​

Aleyn
 
Hahaha uliwahi kusema elimu ya china ni bora kuliko ya marekani, mbona wao wanasema wanakwenda kufuata elimu bora?

Hata hao laki 3 wengi sana kusoma marekani pekee, waje na Tanzania kama china nayo imeoza.
 
Ukisikiliza wadau humu unaweza kuina US ni kama Tanzania mbele ya China.
Wapi kweli, lakini wazushi tu. Wachina wenyewe wanamkubali sana mmarekani.

Ukiwapa wachague kusoma au kuishi china na marekani wachina wote hata hao ccp watahamia marekani.
 
Hahaha uliwahi kusema elimu ya china ni bora kuliko ya marekani, mbona wao wanasema wanakwenda kufuata elimu bora?

Hata hao laki 3 wengi sana kusoma marekani pekee, waje na Tanzania kama china nayo imeoza.
Ndio elimu yao ni bora, wanafunzi wanaoenda kusoma nje ya China ni wale ambao wameshindwa kupata admission katika vyuo bora vya China​
 
Sidhani, maana hata hapa kwetu huwa tuna hisi UDSM ni zaidi ya havard lakini siyo kweli.
 
Back
Top Bottom