Siyo hao tu; mawaziri wake karibu wote ni watu wa pumba tupu.Kuna hawa vichaa wawili:
Marco Rubio ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani
Na Pete Hegseth Waziri wa Ulinzi wa Marekani
Hawa jamaa kwenye masuala ya diplomasia sijawahi kuwaelewa kabisa
Wana kauli za hovyo sana ndio maana kwa namna fulani Marekani inapoteza sana ushawishi
Raisi ana mdomo mchafu na mawaziri nao ni hovyo lazima wapoteze
alirogwa na RamaphosaNa huenda inambabua hata ngozi
View attachment 3466061View attachment 3466062
View attachment 3466068
π€£π€£Larogwa na Ramaphosa
Siyo hao tu; mawaziri wake karibu wote ni watu wa pumba tupu.
- Tulsi Gabard Director wa NSA ni wa hovyo kabisa hajui analofanya bali andhani kazi yake ni kumfurahisha Trump tu, kwa mfano kutoa siri za NSA zinazofurahisha Trump na hivyo kuvuruga utaratibu mzima wa utendaji kazi ndani ya NSA bila mwenye kujua.
- Kash Patel Director wa FBI, analojua ni kuwaandama "maadui" wa Trump tu na kusahahu kuzuia uharifu halisa kwa nchi.
- Pam Bond Mwanasheria mkuu wa serikali, anachofanya ni kuwa mwanasheria wa Trump, siyo mwanasheria anayetumikia katiba ya marekani.
- Krist Noem waziri wa Mambo ya ndani hajui kabisa sheria inayoongoza mambo ya ndani, anachojua yeye ni kuvamia sehemu za kazi kutafuta wanaoitwa illegals na kuacha kazi halisi ya wizara yake
- Scott Bessent Waziri wa fedha hajui kuwa fedha za serikali ni tofauti na fedha za mtu binafsi kama ilivyo kwa Trump mwenyewe. Anachojua ni jinsi ya kukamua nchi nyingine kusudi serikali yake ipate pesa bila kujua madhara yake kidplomasia.
- Robert Francis Kennedy Jr. waziri wa afya, anachojua ni kupunguza matumizi ya serikali kwa kuondoa huduma za afya bila kujua madhara ya kuwa na taifa la watu wenye afya dhaifu. Hajui madhara ya magonjwa ya kuambukiza na umuhimu wa kuyazuia mapema kabla hayasambaa. Kuindoa US kwenye WHO ulikuwa ni upumbavu wa hali ya juu sana kwani magonjwa yanayoanza nchi moja husambaa dunia nzima hadi ndani ya Marekani.
- List ni ndefu sana
Siku wakitoka madarakani wajitayarishe na tuhuma...Siyo hao tu; mawaziri wake karibu wote ni watu wa pumba tupu.

Tofauti ya Trump na maraisi waliopita wa Marekani ni sera zao za mambo ya kigeniKuna hawa vichaa wawili:
Marco Rubio ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani
Na Pete Hegseth Waziri wa Ulinzi wa Marekani
Hawa jamaa kwenye masuala ya diplomasia sijawahi kuwaelewa kabisa
Wana kauli za hovyo sana ndio maana kwa namna fulani Marekani inapoteza sana ushawishi
Raisi ana mdomo mchafu na mawaziri nao ni hovyo lazima wapoteze
Na hapo ndipo China inapowin dhidi ya MarekaniTofauti ya Trump na maraisi waliopita wa Marekani ni sera zao za mambo ya kigeni
Uongozi wa Trump umekuwa ukitumia vitisho na kama sasa hivi wanaitumia tariffs kama silaha ya kutisha mataifa mengine
Hii imefanya Marekani isiwe inategemeka na mataifa mengine
Duh!...hao kina Rubio ni kina 'Yes Mr.President'.Trump alikulia New York kwenye mazingira ya Mafioso na Gangsters ambao walikuwa wanajua kutishia watu na kulazimisha mambo yafanayike kama wanavyotak. Ujuzi wa diplomacy hana kabisa. Kwenye muhula wake wa kwanza alikuwa na mawaziri wenye kujua diplomacy wakawa wanamzuia kufanya mambo kadhaa. Safari hii amechagua mawaziri wasiojua lolote, kazi yao ni kutekeleza yale anayotaka hata kama ni ya kijinga, na sasa ndio hivyo tena. Baada ya miaka minne Marekani itakuwa ni banana republic.
Nchi nyingi zimejifunza kwa urusi namba ya kuepuka vikwazo.
ππππNa huenda inambabua hata ngozi
View attachment 3466061View attachment 3466062
View attachment 3466068
Duh!...hao kina Rubio ni kina 'Yes Mr.President'.
Jambo jema amewafundisha Ulaya kujitegemea sasa.
Yoda
Ila India ijipange huu mziki ilioingia wa kutunishiana misuli na Marekani sio wa kitotoNchi nyingi zimejifunza kwa urusi namba ya kuepuka vikwazo.
π Nimemuazima akashangae nalo China kidogo!
Ila limemkaa sawa kwa kweliπ Nimemuazima akashangae nalo China kidogo!
Hapo Michina ni kukenua tu meno yote 32π nje adui yao akijirogaKuna hawa vichaa wawili:
Marco Rubio ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani
Na Pete Hegseth Waziri wa Ulinzi wa Marekani
Hawa jamaa kwenye masuala ya diplomasia sijawahi kuwaelewa kabisa
Wana kauli za hovyo sana ndio maana kwa namna fulani Marekani inapoteza sana ushawishi
Raisi ana mdomo mchafu na mawaziri nao ni hovyo lazima wapoteze
Ulaya wakishindwa kujisimamia wenyewe kiulinzi zama hizi ndio basi tenaMarekani chini ya Trump kama ghetto la wahuni tu
India wanasema mafuta wanayozuiwa wao kuyanunua kwa Russia ndio hayo hayo USA na nchi nyingine za ulaya wanayanunua na amna wanachofanywaIla India ijipange huu mziki ilioingia wa kutunishiana misuli na Marekani sio wa kitoto
Isije siku tukamkuta Modi ndani ya oval office akichambwa na Trump pembeni yake akiwepo Rubio
India ni moja ya taifa ambalo wana undimbilakuwili sana. Ila mpaka sasa kuendelea kununua mafuta Russia wanastahili pongezi wamemkazia Trump