Hatimaye Trump amekiri: "Inaonekana tumeipoteza India na Urusi kwa China"

Ulaya wanamuita "The Man from Moscow"
 
Trump alifikiri Modi atamlamba matako atakuja anaomba msamaha kama PM wa Japan Shigeru Ishiba

Au kama Raisi wa Ulaya mwanamama Ursula von der Leyn na genge lake la cowards wa Ulaya wanavyomnyenyekea

View attachment 3466052
​
Ila Trump anadharau aiseee.

Kawakusanya ofisini kama wanafunzi na mwalimu wao.

Au wafanyakazi na boss wao.
 
Hapo Michina ni kukenua tu meno yote 32😁 nje adui yao akijiroga
Serikali ya China ina kila sababu ya kuwashukuru Wamarekani kwa kumchagua Trump kuwa raisi wao​


Xi anazidi kujikusanyia kijiji. Wengi hapo ni waliochapwa tariffs na Mr MAGA. The art of winning without fighting nor coercion​
 
Kwamba kachagua kina jafoo wa USA.
 
Ila mm kwa upande wangu nafurahi sana.

Maana tunafanikiwa kuwajua na wao vizuri.

Ulaya na mbwembwe zao ila wanamuogopa Mrusi na Mmarekani.
Mwezi July raisi wa E.U Commission Ursula na ujumbe wake kutoka Ulaya walienda China kwenye mkutano

Xi akawapandisha coaster 2 hakuna gari la kiongozi mmoja mmoja

No flags, No music, No welcoming committee. The lowest diplomatic protocol ever

Kama Uingereza walivyowafanyia viongozi wa Afrika kwenye maziko ya Queen Lizzy
​

Your browser is not able to display this video.
 
India wana wasomi wengi, wana idadi kubwa ya watu hivyo wanasoko kubwa na ni nchi inayokuja kasi kimaendeleo.
Advantage aliyokuwa nayo Marekani ni uhasimu wa India na China ila kama hayo mataifa yameamua kukaa pamoja wa kujipanga ni Marekani na sio India.
 
Safi sana.

Lazima dunia mzani ubalance ili tuheshimiane.
 
Kwa kauli hii ya Trump, Nauona muungano wa BRICS ukichanua zaidi maradufu ndani ya miaka 5- 10,

BRICS may be much stronger than EU as well as UN ....BRICS watakuwa na undisputed kura ya turufu mara 3 zaidi ya US!.
 
Sasa kati ya India na marekani nani anamhitaji mwenzie?
Juzi India kachapwa na Pakistan akaomba USA amwambie Pakistan asitishe vita.
 
Sasa kati ya India na marekani nani anamhitaji mwenzie?
Juzi India kachapwa na Pakistan akaomba USA amwambie Pakistan asitishe vita.
Yeah na India walipewa kichapo na Pakistan wakitumia silaha za China.

Na wakati huohuo India ni mteja mkubwa wa silaha za Urusi

Dunia ni uwanja wa fujo. Geopolitical zinabadilika haraka sana

India inahitaji kufanya diversification ya trade kama China wasitegemee zaidi soko la Marekani
​
 
Kinacho nishangaza juzi China imeomba wanafunzi 600,000 wa kichina waruhusiwe kwenda kusoma vyuo vya marekani.

Kwanini wachina wasisime humo humo kwao kama!wanaweza?

Trump na!waziri wake wa ulinzi wanataka kufuta mashirikiano ya Pentagon wizara ya vita na China, kasema kila kitu cha siri kina vuja china sasa basi, waziri wa ulinzi marekani kasema wachina wasifanye kazi kwenye idara yoyote yenye siri za mitambo au technologia za kijeshi na kivita nchini humo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…