Hatimaye Trump amekiri: "Inaonekana tumeipoteza India na Urusi kwa China"

Hahaha ata sign executive order kuwanyima wahindi visa, waende china na russia.
 
Ukisikiliza wadau humu unaweza kuina US ni kama Tanzania mbele ya China.
 
Acha kupotosha China haijaomba ila Trump ameruhusu wanafunzi wa China waende kusoma Marekani​


Aleyn
 
Hahaha uliwahi kusema elimu ya china ni bora kuliko ya marekani, mbona wao wanasema wanakwenda kufuata elimu bora?

Hata hao laki 3 wengi sana kusoma marekani pekee, waje na Tanzania kama china nayo imeoza.
 
Ukisikiliza wadau humu unaweza kuina US ni kama Tanzania mbele ya China.
Wapi kweli, lakini wazushi tu. Wachina wenyewe wanamkubali sana mmarekani.

Ukiwapa wachague kusoma au kuishi china na marekani wachina wote hata hao ccp watahamia marekani.
 
Hahaha uliwahi kusema elimu ya china ni bora kuliko ya marekani, mbona wao wanasema wanakwenda kufuata elimu bora?

Hata hao laki 3 wengi sana kusoma marekani pekee, waje na Tanzania kama china nayo imeoza.
Ndio elimu yao ni bora, wanafunzi wanaoenda kusoma nje ya China ni wale ambao wameshindwa kupata admission katika vyuo bora vya China​
 
Ndio elimu yao ni bora, wanafunzi wanaoenda kusoma nje ya China ni wale ambao wameshindwa kupata admission katika vyuo bora vya China​
Sidhani, maana hata hapa kwetu huwa tuna hisi UDSM ni zaidi ya havard lakini siyo kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…