Hatimaye Uingereza yaipiga marufuku Huawei kuweka mitambo ya 5G nchini humo

Kwamba wewe hauoni? The bulk of trade ambao US na China waliokua wanafanya btn nani aliekua anauza zaidi na nani alikua mnufaikaj zaidi? Baada ya tarrif ulishafanya research nakujua export ya bidhaa zile ime decline kwa % ngapi? Haya mambo ya Huwaei mbona hata vikwazo vyenyewe tu havijaanza bado
 
Ndio maana nika kuuliza unahisi kuhusiana na tarrif wao US hawakua wanalipia ?!

Unahisi US na UCHINA hawategemeani katika biashara ?!

Kuhusiana na Suala la HUAWEI wanawatikisa ila kuiangusha HUAWEI wasahau hawatakaa wafanikiwe

Kwenye mauzo HUAWEI mwanzo walikua wangapi nasasa wako wangapi kwa takwimu rasmi ?!
 
Hivi aliekua ananeema na 25% na 85% biashara ikafa ni nani atakua na majonzi zaidi? Kama China wana export more than 500Bn a year and US 173BN a year hii biashara ilivyoingia mushkel nani hapa anaumia zaidi?. Huawei kwa sasa kubali kwamba kabaki jina tu Europe ndio anaaga kwa sasa mpaka kufikia Sept atabaki Asia peke yake
 
Hahaha unajua kama HUAWEI akibakia ASIA pekee atakua anasoko kubwa kuliko soko lote la ULAYA ama hujajiuliza hili ?!

Ishu hapa nibiashara na biashara niwatu na UCHUMI kiasi kwamba ASIA wanawatu wengi sana kulinganisha na ULAYA napia KIUCHUMI sio wazuri sana kama ULAYA ila wanauwezo kwasuala la simu haliwashindi

Kuhusiana na Biashara unakumbuka wakulima wa US walipolalama kwa DT kuhusiana na tarrif waloekewa UCHINA nabidhaa za wakulima mpaka wakasema kama hawatamchagua DT katika uchaguzi wamwaka huu ama hukulisikia hili saga ?!


UCHINA inafanya biashara kama mataifa Mengine nainatamani sana soko la Nje ila pia UCHINA wanafaida yasoko landani population yao jamaa inawabeba sana nandio inawapa wamagharibi UGUMU wakukabiliana nao

Nandio maana unaweza ona hata mitandao yakijamii tu inayotumiwa UCHINA inakua maarufu DUNIANI naukija ukichunguz kwa asiimia 80-90% inatumika kwawingi ndani ya UCHINA kwenyewe

UCHINA population yao tu ya raia Bilioon naaa inawabeba nirahisi sana UCHINA akayumba akisusiwa na INDIA kuliko kama Atasusiwa na sehemu kubwa ya ULAYA sababu ya Uwingi wa WAHINDI.


US na WAMAGHARIBI walipoiamulia kuiekea RUSSIA vikwazo kwakiasi fulani waliiweza haraka sana kwasababu hata yapopulation ilichangia

Kwatoka ilivyoanza kuandamwa UCHINA na US walitakiwa sasa hv wawe wana hangaika kiuchumi ila ushalisikia hili kutoka UCHINA!?

juzi walitangaza UCHUMI wao ku slow down ila sababu kubwa ikawa CORONA ambayo nisuala lakidunia

UCHINA walishachelewa KUIDHIBITI
 
Kwenye soko HUAWEI inasimamaje nahii ndio main point yangu achana na black berry
Isimamaje vipi tena mzeee? Ndio inakufaa hivyoo kama blackberry ilivyokufaa... Leo mwaka 2020 simu yao ya mwisho kuwa na android version ni P30 nadhani sasa hayo matoleo mapya system yao itawezaje kuendana na soko la dunia current? Labda wavumbue system mpya ya kuoperate better than IOs na Android kitu ambacho ni Impossible aiseee. So wanaweza kufa kifo kama cha microsoft simu zao au blackberry
 
Dah MKUU unawezaje kusema impossible

Wakat wewe unaamini DUNIA bila jf fb wasap Ig namfano wahayo haiwezekani kani kuna watu pale UCHINA wanaona bila weibo namengineyo huwez kua unamiliki simu ama huna maana yakua na simu

System mpya inawezekana ila lazma izoee changamoto kwanza sababu sio rahisi

Nakuhakikishia kama window waliweza kuiteka dunia zama fulani hata UCHINA wakija na system mpya wataikamata na wataiteka nisuala lamuda tu maana system yaku operate wanayo ila haijawa official tu
 
sema US wachekeshaji wengi sasa unafungia Huawei na matawi yake lakini Oppo vivo unaziacha hii inakuwaje, Kama mbabe kweli fungia vya uchina vyote yaani usiwauzie chochote kinachohusiana na teknolojia

Kipindi hiki Rais wa Marekani analalamika Kama mwenyekiti wa upinzani huku keko machungwa vituko Sana

Yaani huko Twitter, kila siku Rais wa Marekani analalama tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pitia hichi kitabu "Stealth War: How China Took Over While America's Elite Slept" by Gen. Robert Spalding. Humu ndani kuna madini mengi sana yanayoonyesha mbinu za Wachina za ujasusi wa kiuchumi
Nashukuru sana mkuu, nitakitafuta.
 
US wanaongozwa narahisi wahovyo sana safari hii

Natamani sana ashindwe tena
 
Kutumia raia wake walioajiriwa na makampuni ya US pia wanafunzi wa Kichina US katika field hii ya technology kuiba utaalamu na kuupeleka kwao.
Kuchukua utaalamu na kuupeleka sehemu nyingine, hakuhesabiwi kuwa ni wizi Chief

Hususan kwa Mwanafunzi au Mfanyakazi
 
Ilianzia Germany,,marekani walienda kuiba wanasayansi wa hitler,,operation paperclip
Kila teknolojia kubwa ambayo ilitumika kwenye Vita Baridi iliibwa Ujerumani:
1. Teknolojia ya roketi (Rocket Science)
2. Ndege zisizoonekana na radar (Stealth Technology)
3. Uhandisi wa vinasaba (Genetic Engineering)
4. Nyambizi bora kabisa za vita (Type XXI)- USSR aliiba akatengeneza Whiskey-Class submarine
 
Yaani nilikuwa nawaona Waingereza wajanja lakini wameshikiwa akili na Wamarekani😗
 

Funny enough the third world countries are still embracing HUAWEI technology not knowing of the sinister movements of the “Elite Chinese”! All details converge at a “Beijing Communication Center” beneficial excerpts are extracted for contact, tracing and inhibited! - The East African countries should take precaution and abandon this technology.
 
When you face difficult times, know that challenges are not sent to destroy you.They’re sent to promote,increase and strengthen you,kwahiyo Marekani wajipange kwa mjio mwingine wa China mpaka aombe poo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…