johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Halmashauri ya jiji la Dsm na ile ya Manispaa ya ubungo zimeanza kusimamia kisiasa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani.
Kituo hiki ni mbadala wa kile cha ubungo.
Source Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Acha uchonganishi mkuu kwa hiyo title! maendeleo hayana chama wote tunatakiwa kuunga mkono juhudi zakeHalmashauri ya jiji la Dsm na ile ya Manispaa ya ubungo zimeanza kusimamia kisiasa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani.
Kituo hiki ni mbadala wa kile cha ubungo.
Source Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Utakufa na kijiriba shingoni.Halmashauri ya jiji la Dsm na ile ya Manispaa ya ubungo zimeanza kusimamia kisiasa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani.
Kituo hiki ni mbadala wa kile cha ubungo.
Source Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Hongereni kwa kweli.......na walaaniwe wale wabunge waliotaka kumteka meya!Utakufa na kijiriba shingoni.
Maendeleo hayana chama.
Kituo kinajengwa na serikali na sio CHADEMA!Acha uchonganishi mkuu kwa hiyo title! maendeleo hayana chama wote tunatakiwa kuunga mkono juhudi zake
Magogoni kutafungwa sasa hivi na msafara wote na maaskofu uchwara na mashehekhe fwki watashinda huko.Utasababisha watu wachomoke maofisini waende kuzindua ujenzi ili kupingana na hiyo kauli ya kusema kituo kimejengwa na Halmashauri
Haters...........Nikajua wamejenga ofisi ya makao makuu CHADEMA
Ila barabara za vijijini zinajengwa na CCM?Kituo kinajengwa na serikali na sio CHADEMA!