Hatimaye ujenzi wa stendi ya mabasi (Mbezi Luis) yaendayo mikoani yaanza kujengwa

Hatimaye ujenzi wa stendi ya mabasi (Mbezi Luis) yaendayo mikoani yaanza kujengwa

Naombeni msaada wa kuchambuliwa kazi za hawa watu, zinanichanganya kidogo. Architects, structure engineers, quantity surveyors, main contractors,service engineers na sub contractors. Wote wapo kwenye huu mradi majukumu yao ni nini?

Je haiwezekani akawepo architectures na contractors peke yao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndio ilifaa iwe design ya jengo la terminal 3, sio lile banda la kuku la 560 bilion
 
Back
Top Bottom