Hatimaye ujenzi wa stendi ya mabasi (Mbezi Luis) yaendayo mikoani yaanza kujengwa

Hatimaye ujenzi wa stendi ya mabasi (Mbezi Luis) yaendayo mikoani yaanza kujengwa

Tunaomba hiyo stendi iwe na viwango vya kimataifa kulingana na umuhimu wake .
Ni wakati wa fursa sasa kujenga mahoteli,mall, nk ktk maeneo ya kibamba,luguruni,kiluvya nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa naona mji unakua ktk maeneo hayo ,mbezi , luguruni, kibamba na kiluvya ikipangilwa vyema na maafisa wa mipango miji basi jiji la DSM litakuwa ni miongoni mwa majiji bora Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi kazi
IMG_20190219_142526.jpeg
 
Ila mi naona lile eneo ni DOGO sana, sidhani kama stand itakuwa kubwa. Kwa vyovyote itakuwa ndogo kuliko ya ubungo
 
Ila mi naona lile eneo ni DOGO sana, sidhani kama stand itakuwa kubwa. Kwa vyovyote itakuwa ndogo kuliko ya ubungo
Ni kweli hii stand ni finyu sana, ya Dodoma ndio funga kazi
 
Tunaomba hiyo stendi iwe na viwango vya kimataifa kulingana na umuhimu wake .
Ni wakati wa fursa sasa kujenga mahoteli,mall, nk ktk maeneo ya kibamba,luguruni,kiluvya nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Eneo la kibiashara kule Luguruni .Nyumba za kupangisha zipo pia mkuje tuwapangishie Kwa bei rafiki kabla hazijapanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom