diana chumbikino
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 428
- 368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wasikupe taabu ndungu yangu
Andaa 700k -1,000k kwa mwezi mkuu. Mbezi ishakuwa Kariakoo.Ngoja tujisogeze tuchukue frem za biashara kabla mambo hayajawa mengi.
heeee mbezi sasa hivi frem lazima ujipange kwa kweliNgoja tujisogeze tuchukue frem za biashara kabla mambo hayajawa mengi.
yaani we acha tu wangeendelea kuleta hadithi za halafu hulelaule yangewakuta kama ya halmashauri ya ilala ambayo imenyanganywa bn 3 za kujenga machinjio ya kisasa ya vingungutiWenyewe akina Jakob kazi ten percent tu hata hawajali, ingekuwa ishajengwa siku nyingiii! Dar ya kushindwa na Singida kweli?
kweli kabisa naunga mkono hoja aiseAndaa 700k -1,000k kwa mwezi mkuu. Mbezi ishakuwa Kariakoo.
MBEZI LUISni mbezi sehemu gani hapo.
Maendeleo ni vitendo sio kabobo.
Hizo ni kodi tunazolipa na siyo hisani, inaonekana wewe ni kula kulalaWakati wale jamaa wa ufipa wanapinga kila juhudi za serikali kuwaletea maendeleo ,sisi tunayaleta kwa kasi kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hakuna kuyumba ni mbele kwa mbeleWakati wale jamaa wa ufipa wanapinga kila juhudi za serikali kuwaletea maendeleo ,sisi tunayaleta kwa kasi kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
ni mbezi sehemu gani hapo.
Maendeleo ni vitendo sio kabobo.
ndio mkuu
MBEZI MWISHO, UPANDE WA PILI WA STAND ILIYOPOni mbezi sehemu gani hapo.
Maendeleo ni vitendo sio kabobo.
kweli kabisa umenena vyemaMji wa Dar utabadilika sana kwa upande huu wa Kimara-Mbezi...