Hatimaye ujenzi wa stendi ya mabasi (Mbezi Luis) yaendayo mikoani yaanza kujengwa

y
Wenyewe akina Jakob kazi ten percent tu hata hawajali, ingekuwa ishajengwa siku nyingiii! Dar ya kushindwa na Singida kweli?
yaani we acha tu wangeendelea kuleta hadithi za halafu hulelaule yangewakuta kama ya halmashauri ya ilala ambayo imenyanganywa bn 3 za kujenga machinjio ya kisasa ya vingunguti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…