Kutoka hapo kudumbukia stand ni flyover itaunganisha highway na stand
Ni kweli hii stand ni finyu sana, ya Dodoma ndio funga kaziIla mi naona lile eneo ni DOGO sana, sidhani kama stand itakuwa kubwa. Kwa vyovyote itakuwa ndogo kuliko ya ubungo
Mbezi kunachangamka balaaaaheeee mbezi sasa hivi frem lazima ujipange kwa kweli
Ni kule kwenye kiwanja Fulani ambapo walikuwaga wanafanyia mikutano ya kampeni 2015? Ukitoka Ubungo mkono wa kulia.Ndo pale?
Kuna Eneo la kibiashara kule Luguruni .Nyumba za kupangisha zipo pia mkuje tuwapangishie Kwa bei rafiki kabla hazijapandaTunaomba hiyo stendi iwe na viwango vya kimataifa kulingana na umuhimu wake .
Ni wakati wa fursa sasa kujenga mahoteli,mall, nk ktk maeneo ya kibamba,luguruni,kiluvya nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie naona kama kubwa aiseee kama ni lile ninalofikiria mieIla mi naona lile eneo ni DOGO sana, sidhani kama stand itakuwa kubwa. Kwa vyovyote itakuwa ndogo kuliko ya ubungo
Hapana eneo ni kubwa sana, ni zaidi ya hekari 20, watu waliohamishwa kupisha ujenzi ni wengi sana.Ila mi naona lile eneo ni DOGO sana, sidhani kama stand itakuwa kubwa. Kwa vyovyote itakuwa ndogo kuliko ya ubungo
nataka kuja kujenga funny city maeneo hayo, nadhani nitateka watu wote wa upande huoKuna Eneo la kibiashara kule Luguruni .Nyumba za kupangisha zipo pia mkuje tuwapangishie Kwa bei rafiki kabla hazijapanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndio bei ya sasa hivi mkuu - mimi nina frem pale karibu na safari bar nalipia 500K per monthAndaa 700k -1,000k kwa mwezi mkuu. Mbezi ishakuwa Kariakoo.
Karibu uchangamshe mji maana huku population ni kubwanataka kuja kujenga funny city maeneo hayo, nadhani nitateka watu wote wa upande huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mie napaona pakubwa kama ni hapo nipajuapoHapana eneo ni kubwa sana, ni zaidi ya hekari 20, watu waliohamishwa kupisha ujenzi ni wengi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utabadilika vipi wakati mbezi na kimara kote kumejengwa makazi holela a.k.a slumsMji wa Dar utabadilika sana kwa upande huu wa Kimara-Mbezi...
Hta ya ubungo kabla ya kuzinduliwa ilikuwa iv iv sa iv inanuka mikojo na mavi