Hatimaye waziri shoga nchini Marekani ala kiapo kulitumikia Taifa

Utapasuka mshipa wa shingo kwa kufoka!

Chill and relax!

Maisha ni mepesi ukiamua kujikita na yanayokuhusu.

Yasiyokuhusu unaachana nayo na kuyapuuzia.
 
Utapasuka mshipa wa shingo kwa kufoka!

Chill and relax!

Maisha ni mepesi ukiamua kujikita na yanayokuhusu.

Yasiyokuhusu unaachana nayo na kuyapuuzia.
Hili linatuhusu na tutalikemea mpaka pumzi zetu za mwisho wachukie watakao chukia sababu hatuko hapa duniani kwa ajili ya kuwafurahisha waja.

Miji ya Sodoma na Gomora iliangamizwa kwa kutokana na huu mchezo tena adhabu ilikuwa kali mno. Hili kiimani lina athari kubwa sana.
 
Okay.
 
Daddie pita kwa mangi pata 1 baridi, nakuja kulipa.
 
Mbona wameweza sasa?

Actually unaweza hata kuichukua tupu yako ya kunyea kisha ukaikaangia chips mayai. Ni jambo linalowezekana kabisa.

It is called "privacy" and "self determination".

We vipi bwana! Eti haiwezekani?

Kwani wewe ndio msemaji wao?
Woyoooooooooooooooooh
 
Kwani kuna uhusiano kat ya ushoga na akili? Au ushoga na uwezo wa kufanya kazi??
Sidhan kama kuna uhusiano!!
Nchi yao inaruhusu hayo mambo kwaiyo kwao cyo ajabu!!....ila it is disgusting aisee[emoji18]
 
Kwani kuna uhusiano kat ya ushoga na akili? Au ushoga na uwezo wa kufanya kazi??
Sidhan kama kuna uhusiano!!
Nchi yao inaruhusu hayo mambo kwaiyo kwao cyo ajabu!!....ila it is disgusting aisee[emoji18]
Kama unaelewa dunia ilivyo, mtu maarufu (influence people) akifanya jambo linakuwa na nguvu huko kwa wanaopokea

Mfano huo uchukue kwa tukio hilo la wamarekani kuja nchi ga dunia ya tatu.
 
Kama unaelewa dunia ilivyo, mtu maarufu (influence people) akifanya jambo linakuwa na nguvu huko kwa wanaopokea

Mfano huo uchukue kwa tukio hilo la wamarekani kuja nchi ga dunia ya tatu.
Sasa tatzo liko wapi? Kwani nchi za dunia ya 3 huko ushoga haupo? Mbna mnaleta sana ujuaji ktk mambo ambayo hata hayataki hivyo.
 
Sasa tatzo liko wapi? Kwani nchi za dunia ya 3 huko ushoga haupo? Mbna mnaleta sana ujuaji ktk mambo ambayo hata hayataki hivyo.
Umetokea wapi, mbona umekuja na joto kali kiasi hicho?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…