Hatimaye waziri shoga nchini Marekani ala kiapo kulitumikia Taifa

Hatimaye waziri shoga nchini Marekani ala kiapo kulitumikia Taifa

Naomba nikusahihishe kwamba huyo aliyeshika msahafu ni mme wake na huyo waziri! Na ukumbuke kwamba waziri amechukua ubin wa mmewe maana hilo jina la mwisho ni la huyo mmewe (anaitwa somebody Buttigieg)
Sasa mkuu hujaelewa wapi mpaka unisahihishe pasipo hitaji kusahihisha?

Soma tena uelewe au nikusaidie kama ifuatavyo; Huyo waziri anaitwa Pete na huyo pusi wake anaitwa buttigieg so nilichoandika ni pete buttigieg, ikiwa na maana majina yameungana so what's wrong 😬?.
 
Sasa mkuu hujaelewa wapi mpaka unisahihishe pasipo hitaji kusahihisha?

Soma tena uelewe au nikusaidie kama ifuatavyo; Huyo waziri anaitwa Pete na huyo pusi wake anaitwa buttigieg so nilichoandika ni pete buttigieg, ikiwa na maana majina yameungana so what's wrong 😬?.
Uelewa wako mdogo sana! Mimi nilichokusahihisha hapo ni kusema aliyemshikia kitabu ni mpenzi wake! Kuna tofauti kati ya mpenzi na mtu wa ndoa!
 
Moja ya mambo yanayoleta utofauti kati ya Donald Trump na huyu American presida wa sasa Joseph Biden ni msimamo katika baadhi ya mambo.

Twende kwa mada;
Masaa machache yaliyopita makamu wa Rais wa marekani mwanamama Kamala Harris, amemwapisha waziri wa usafirishaji na miundombinu nchini humo.

Amemsifia waziri huyo anayesemekana kuwa ni shoga na ambaye wakati wa kuapa kwake alikuwa na mwenza wake aliyemsaidia kubeba msaafu, pia amesema jamaa huyo ndiye atawaleta wamarekani pamoja katika kuimarisha idara hiyo.

👉🏾Hapa chini nimekuwekea picha tofauti usome alama za nyakati kwa safari iliyopo mbele kwa taifa hili kubwa kutoa alama hii maridhawa kwa mataifa yanaoendelea.


View attachment 1694413View attachment 1694414View attachment 1694415
☝🏾PHOTOS: Maelezo ya picha hizo tatu ni kuapishwa kwa viongozi tofauti wakiwa na familia zao, picha ya kwanza ni mmoja wa mawaziri asiye na mume wala jamaa/ndugu aliyeambatana naye.


👇🏾PHOTO: Huyu ndiye waziri wa usafirishaji na miundombinu Pete Buttigieg aliyeapishwa na VP Kamala, inasemekana ni shoga, pembeni ni mpenzi wake aliyeshika msaafu.

View attachment 1694416



Note: The day has come they wanna try it in their government.
So sad
 
Ndio. Na wewe pia?
6b7eb102c6b5453d88431a1e536c1ed9.jpg


Njoo tukupime maana una dalili za kupenda
 
Huyu ni Mkatoliki acha kuleta kashfa katika dini wewe pant dropper
Unafanya makusudi kutafuta reactions za watu
Anyway pole sana
Comrade kuna tatizo kwenye hii lugha yetu, msahafu ni kitabu kitakatifu, so hapo hakijatajwa either ni Biblia au Quran so tuwe wapole.
 
Back
Top Bottom