Hatimaye zigo la Bandari ya Bagamoyo atwikwa PPP

Serikali ya Tanzania kupitia kwa Waziri wake wa Mipango na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo ameliambia Taifa hilo kuwa Ujenzi na Uendeshaji wa Bandari ya Bagamoyo bado haujaanza na kama utaanza basi Serikali itaufanya mradi huo kwa sharti la Ubia kati yake na Sekta binafsi yaani PPP kupitia kituo cha Ubia PPPC.

Mbali na Ujenzi wa Bandari hiyo miradi mingine inayoangukia PPP ni Ujenzi wa Kituo cha Reli ambapo Waziri Kitila amesisitiza kila hatua za Ujenzi huu Wananchi kupitia PPPC watashirikishwa kikamilifu ili Tanzania na Watanzania waweze kunufaika na rasilimali zao walizopewa na Mungu wao.

Wachambuzi wa maswala ya Kiuchumi na kisiasa toka Tanzania walipohojiwa na chombo hiki walionesha kuwa na imani na kituo cha Ubia kama msimamizi mkuu wa Mali za Umma kwakuwa kituo hicho Kiko chini ya Kiongozi anayesifika kwa kuchukia rushwa na Ufisadi kwa umri wake wote Bwana David Kafulila.

Ikumbukwe na ifahamike kuwa Ubia PPP sio Ubinafshaji bali ni Uendeshaji wa miradi | mradi wa pamoja kati ya Serikali na Sekta binafsi na wakati wote baada ya ukomo wa mkataba Mali zote zinasalia kuwa ni Mali za Wananchi wa Tanzania.

View attachment 3236905

====
Bwana Kafulila kazi kwako kama nikutuuza basi tuuze kabisa kama kutusaidia basi tusadie
 
Bado hatuna akili za kudeal na hizi international business.

Hizi biashara zinahitaji watu wenye elimu nzuri, akili nzuri na exposure kwenye biashara husika kimataifa.

Watu wana uelewa mdogo sana, wamejaza matheory kichwani na akili za kufaulu mitihani.
Huwezi kudeal na hivi vitu kama umesoma sijui UDSM, sijui SAUT halafu ukaajiliwa na GOT, labda baada ya shule uwe umefanya kazi kwenye international companies/business kwenye level ya decision making.
 
Lini tutapata hiyo akili?
Tanzània ya Miaka 64 ya Uhuru kwenye hatuwezi international business?
 
Serikali ya Tanzania kupitia kwa Waziri wake wa Mipango na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo ameliambia Taifa hilo kuwa Ujenzi na Uendeshaji wa Bandari ya Bagamoyo bado haujaanza na kama utaanza basi Serikali itaufanya mradi huo kwa sharti la Ubia kati yake na Sekta binafsi yaani PPP kupitia kituo cha Ubia PPPC.

Mbali na Ujenzi wa Bandari hiyo miradi mingine inayoangukia PPP ni Ujenzi wa Kituo cha Reli ambapo Waziri Kitila amesisitiza kila hatua za Ujenzi huu Wananchi kupitia PPPC watashirikishwa kikamilifu ili Tanzania na Watanzania waweze kunufaika na rasilimali zao walizopewa na Mungu wao.

Wachambuzi wa maswala ya Kiuchumi na kisiasa toka Tanzania walipohojiwa na chombo hiki walionesha kuwa na imani na kituo cha Ubia kama msimamizi mkuu wa Mali za Umma kwakuwa kituo hicho Kiko chini ya Kiongozi anayesifika kwa kuchukia rushwa na Ufisadi kwa umri wake wote Bwana David Kafulila.

Ikumbukwe na ifahamike kuwa Ubia PPP sio Ubinafshaji bali ni Uendeshaji wa miradi | mradi wa pamoja kati ya Serikali na Sekta binafsi na wakati wote baada ya ukomo wa mkataba Mali zote zinasalia kuwa ni Mali za Wananchi wa Tanzania.

View attachment 3236905

====
Kuna mijitu ipo siku itaozea jela , mda ni Mwalim
 
kuna watu wanahangaika kweli kuhakikisha huu ‘mradi’ unakuwa. wana maslahi gani?
 
Serikali ya Tanzania kupitia kwa Waziri wake wa Mipango na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo ameliambia Taifa hilo kuwa Ujenzi na Uendeshaji wa Bandari ya Bagamoyo bado haujaanza na kama utaanza basi Serikali itaufanya mradi huo kwa sharti la Ubia kati yake na Sekta binafsi yaani PPP kupitia kituo cha Ubia PPPC.

Mbali na Ujenzi wa Bandari hiyo miradi mingine inayoangukia PPP ni Ujenzi wa Kituo cha Reli ambapo Waziri Kitila amesisitiza kila hatua za Ujenzi huu Wananchi kupitia PPPC watashirikishwa kikamilifu ili Tanzania na Watanzania waweze kunufaika na rasilimali zao walizopewa na Mungu wao.

Wachambuzi wa maswala ya Kiuchumi na kisiasa toka Tanzania walipohojiwa na chombo hiki walionesha kuwa na imani na kituo cha Ubia kama msimamizi mkuu wa Mali za Umma kwakuwa kituo hicho Kiko chini ya Kiongozi anayesifika kwa kuchukia rushwa na Ufisadi kwa umri wake wote Bwana David Kafulila.

Ikumbukwe na ifahamike kuwa Ubia PPP sio Ubinafshaji bali ni Uendeshaji wa miradi | mradi wa pamoja kati ya Serikali na Sekta binafsi na wakati wote baada ya ukomo wa mkataba Mali zote zinasalia kuwa ni Mali za Wananchi wa Tanzania.

View attachment 3236905

====
Hongera PPPC
 
  • Thanks
Reactions: YAY
Back
Top Bottom