Hatimaye zigo la Bandari ya Bagamoyo atwikwa PPP

Serikali ya Tanzania kupitia kwa Waziri wake wa Mipango na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo ameliambia Taifa hilo kuwa Ujenzi na Uendeshaji wa Bandari ya Bagamoyo bado haujaanza na kama utaanza basi Serikali itaufanya mradi huo kwa sharti la Ubia kati yake na Sekta binafsi yaani PPP kupitia kituo cha Ubia PPPC.

Mbali na Ujenzi wa Bandari hiyo miradi mingine inayoangukia PPP ni Ujenzi wa Kituo cha Reli ambapo Waziri Kitila amesisitiza kila hatua za Ujenzi huu Wananchi kupitia PPPC watashirikishwa kikamilifu ili Tanzania na Watanzania waweze kunufaika na rasilimali zao walizopewa na Mungu wao.

Wachambuzi wa maswala ya Kiuchumi na kisiasa toka Tanzania walipohojiwa na chombo hiki walionesha kuwa na imani na kituo cha Ubia kama msimamizi mkuu wa Mali za Umma kwakuwa kituo hicho Kiko chini ya Kiongozi anayesifika kwa kuchukia rushwa na Ufisadi kwa umri wake wote Bwana David Kafulila.

Ikumbukwe na ifahamike kuwa Ubia PPP sio Ubinafshaji bali ni Uendeshaji wa miradi | mradi wa pamoja kati ya Serikali na Sekta binafsi na wakati wote baada ya ukomo wa mkataba Mali zote zinasalia kuwa ni Mali za Wananchi wa Tanzania.

View attachment 3236905

====
Kwani zigo la mradi wa kwanza ulikuwa ujengwe chini ya mpango upi
Ambao upo tofauti na huu
 
Maelezo mazuri sana haya
 
Mimi sio tofauti zaidi ya maneno ya Wana siasa, ilikuwa wajenge wachina na baada ya miaka....... , iwe ya bongo
Yes ndio maana halisi ya PPP baada ya muda inakuwa ya wabongo
 
::::::
Serikali ya Tanzania kupitia kwa Waziri wake wa Mipango na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo imeliambia Taifa hilo kuwa Ujenzi na Uendeshaji wa Bandari ya Bagamoyo bado haujaanza na kama utaanza basi Serikali hiyo itaufanya mradi huo kwa sharti la Ubia kati yake na Sekta binafsi yaani PPP kupitia kituo cha Ubia PPPC.

Mbali na Ujenzi wa Bandari hiyo Waziri Kitila amesema miradi mingine itakayoangukia PPP ni pamoja na Ujenzi wa Kituo cha Reli ambapo Waziri huyo amesisitiza kuwa kila hatua za Ujenzi huo Wananchi kupitia PPPC watashirikishwa kikamilifu ili Tanzania na Watanzania waweze kunufaika na rasilimali zao walizopewa na Mungu wao.

Wachambuzi wa maswala ya Kiuchumi na kisiasa toka nchini Tanzania walipohojiwa na chombo hiki walionesha kuwa na imani na kituo cha Ubia kama msimamizi mkuu wa Mali za Umma kwakuwa kituo hicho Kiko chini ya Kiongozi ambaye kwa umri na rekodi zake zote anasifika kwa kuchukia rushwa na Ufisadi Cde David Kafulila.

Ikumbukwe na ifahamike kuwa Ubia PPP sio Ubinafshaji bali ni Uendeshaji wa miradi | mradi wa pamoja kati ya Serikali na Sekta binafsi na wakati wote baada ya ukomo wa mkataba husika Mali zote zitasalia kuwa ni Mali za Wananchi wa Jamuhuri ya Tanzania.

View attachment 3236905

:::::::
Usimsifie sana Kafulila, everybody has a price tag.
 
Wapi hapo Kafulila kasifiwa?
Para 3, uliandika mwenyewe au uliandikiwa?

"Wachambuzi wa maswala ya Kiuchumi na kisiasa toka nchini Tanzania walipohojiwa na chombo hiki walionesha kuwa na imani na kituo cha Ubia kama msimamizi mkuu wa Mali za Umma kwakuwa kituo hicho Kiko chini ya Kiongozi ambaye kwa umri na rekodi zake zote anasifika kwa kuchukia rushwa na Ufisadi Cde David Kafulila."
 
Sasa hayo ni maneno ya Mwandishi au ni maneno ya wachambuzi wa Siasa na Uchumi?
 
Kwa kuya quote kusaidia mada yako maana yake unakubaliana nayo, na huja yapinga katika mada yako.
Everybody has a price tag!
 
Back
Top Bottom