Hatimaye zigo la Bandari ya Bagamoyo atwikwa PPP

Bwana Kafulila kazi kwako kama nikutuuza basi tuuze kabisa kama kutusaidia basi tusadie
 
Bado hatuna akili za kudeal na hizi international business.

Hizi biashara zinahitaji watu wenye elimu nzuri, akili nzuri na exposure kwenye biashara husika kimataifa.

Watu wana uelewa mdogo sana, wamejaza matheory kichwani na akili za kufaulu mitihani.
Huwezi kudeal na hivi vitu kama umesoma sijui UDSM, sijui SAUT halafu ukaajiliwa na GOT, labda baada ya shule uwe umefanya kazi kwenye international companies/business kwenye level ya decision making.
 
Lini tutapata hiyo akili?
Tanzània ya Miaka 64 ya Uhuru kwenye hatuwezi international business?
 
Kuna mijitu ipo siku itaozea jela , mda ni Mwalim
 
kuna watu wanahangaika kweli kuhakikisha huu ‘mradi’ unakuwa. wana maslahi gani?
 
Hongera PPPC
 
Reactions: YAY
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…