Hatimaye zigo la Bandari ya Bagamoyo atwikwa PPP

 

Attachments

  • 3049818-bea797ab6cbc71c96b0e8f1726a165b5.mp4
    55.4 MB
Kafulila mpeni nafasi ya maana awasaidie kuipaisha nchi
 
Yes ndio maana halisi ya PPP baada ya muda inakuwa ya wabongo
Kwa hiyo hapo mwanzo mzigo ulikuwa wa PPP na sasa hivi ni wa PPP kwanini mtu aweke kichwa cha habari namna hii

Hatimaye zigo la Bandari ya Bagamoyo atwikwa PPP​

 
Huko Saudia kuna kampuni siku chache zilizopita wametangaza kwa bashasha eti wamepewa bandari ya Bagamoyo kwa utaribu wa 'concession'. Hebu tueleweshane jamani kama ni partnership au tumetoa bandari kwa concesssion. Tuelimishane mapema maana nchi hii kuna watu wamezoea sasa kuwaona watanzania kama mafala. Kafulila tufahamishe maana huko mbele usije kushangaa tukikuburuza mahakamani.
 
Imani kwa Kafulila na team yake ni kubwa sana
 
Hii bandari tuende polepole
 
Hivi yule wakili msomi wa Bandari ya DP world alipotea kabisa 😀

Naona ameficha kichwa....
Hamza Johari (Mzanzibari)
Kama huna taarifa baada ya kukamilisha dili la kuuza bandari za Tanganyika aliteuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu
Kizimkazi hawacheki na wowote
 
Misukule ya Komredi Kafulila inakuja kujaza uzi.
Kafulila ndio tegemeo Kwa Sasa kwenye Ulinzi wa Mali zetu.
Kwa historia Kafulila amekuwa akipambana na rushwa na ufisadi atumie moyo huo huo huko ppp
 
Unamawazo mazuri fanya kuandika andiko unaweza kuwa msaada sana
 
Bandari mikataba bado hayo mengine ni chesha bongo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…