Hatimaye zigo la Bandari ya Bagamoyo atwikwa PPP

Kafulila anatamba kwa sababu Zitto Yuko kimya
 
Huu wako ni uongo mkubwa
 
Makampuni matatu kutoka nchi tatu tofauti ndio yanayokwenda kugombania kupewa tender ya kuendesha bandari ya Bagamoyo. Hiyo habari yako ya Saudia ni uzushi wa humu mitandaoni.
 
Makampuni matatu kutoka nchi tatu tofauti ndio yanayokwenda kugombania kupewa tender ya kuendesha bandari ya Bagamoyo. Hiyo habari yako ya Saudia ni uzushi wa humu mitandaoni.
Tenda bado haijatangazwa?
Mjerumani, Mturuki na Mchina mmoja wao atapewa hiyo tenda, bado mikataba yao haijawasilishwa katika ofisi ya mwanasheria mkuu kwa ajili ya kutazamwa kwa kina.
 
Bora apewe Mjerumani anajenga vitu serious Kama hii Reli ya Kati
 
Mzigo mzito mpe mnyamwezi akubebee
 
Nashauri ufanyanyike utafiti wa kina lakini wapewe miaka michache ya kutoa huduma yaani isizidi 15
 
Barabara tujichange tujenge wazawa bagamoyo to dingida
 
Kazi na dawa
 
Safi Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…