Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu waambie hawa hizo ni taasisi za mtu binafsiHata hivyo Morogoro Muslim University inamilikiwa na taasisi bimafsi inayoitwa African Muslim ambayo pia inamiliki taasisi kadhaa za kielimu kama mashule na vyuo.
Kinyungu,Tatizo la Mohamed Said liko hapa
Kwa sasa inaongozwa na Muislam wala sijaona Waislam wakifanya vizuri kuliko wa dini nyingine. Waislam wanaojali ubora wa elimu wanapeleka watoto wao shule za Wakristu vyuo vya kanisa
Acu...Ebu waambie hawa hizo ni taasisi za mtu binafsi
Kwa hiyo waislamu wote wanapeleka taasisi za wakristo 😆😆😆...Kuna chuo kinachomilikiwa na mkristo na chuo cha kikristo.Tatizo la Mohamed Said liko hapa
Kwa sasa inaongozwa na Muislam wala sijaona Waislam wakifanya vizuri kuliko wa dini nyingine. Waislam wanaojali ubora wa elimu wanapeleka watoto wao shule za Wakristu vyuo vya kanisa
Nya...Hata hivyo Morogoro Muslim University inamilikiwa na taasisi bimafsi inayoitwa African Muslim ambayo pia inamiliki taasisi kadhaa za kielimu kama mashule na vyuo.
Ufafanuzi wako ni mzuri sana 🙏Nya...
Umekusudia African Muslim Agency ya Kuwait?
Hawa ndiyo wanaendesha shule za sekondari.
Kuhusu MUM historia yake inafahamika.
Fanya utafiti kidogo utajua.
Bahati mbaya sana wengi wenu hapa mnadhani mnajua kumbe hamjui na mfano mzuri ni kama hivi.
AmekuuziStux...
Wa kutoa majibu wamekuwa kimya hata pale tatizo hili lilipoletwa Bungeni.
Wewe unajibu kama nani?
Sisi tunasubiri majibu kutoka serikalini.
Mama...Sema dingi umekula kitabu ila nashangaa huu upuuzi wa kuwachukia watu wasio waislamu umeanzia wapi!!... yaani pamoja na kuwa msomi mkubwa ila harakati zako ni kama za wale ambao hawakwenda hata chekechea. Udini wa kipumbavu sana.
Cast,Mh mzee Said nafikiri ni muhimu ukawa unajiridhisha haswa kwenye takwimu
Yaani waislamu 71% na wakristo 29% wapo shule moja. Matokeo yanakuja 71% wakristo wamechaguliwa na 29% waislamu wamechaguliwa.
Kabla hatujahukumu.
Totala number ya wanafunzi ilikua wangapi? Katika hii total waislamu wangapi na wakristo wangapi?
Waliofanya mtihani walikua wangapi? Katika hawa waliofanya, wakristo wangapi na waislamu wangapi?
Waliofaulu mtihani wangapi? Hapa waislamu wangapi na wakristo wangapi?
Waliofeli mtihani wangapi? Waislamu wangapi na wakristo wangapi?
Ambao hawakufanya mtihani wangapi? Wakristo wangapi na waislamu wangapi?
Hizi factors zote zizingatiwe. Haiwezekani mtu anakuletea namba tu hizo na wewe unaziwasilisha kwetu, hii siyo sawa.
Kibu...Huu upumbqvu wa kupigwa marufuku kujengwa chuo hapa tanzania umekuwa ni kilio kila mwaka hebu zeeka vizuri na wajukuu wako huna cha maana na mawazo ya kujenga kwa miaka ijayo wewe kilio chako chuo chuo
Amengia mwinyi kafanya kitu gani cha maana
Jakaya?
Na huyu s100 bado tu unalilia chuo sio kutoa ushauri kama taifa kwenda mbele zaidi wewe kulilia chuo tu ?
Mzee wangu kwa muda mdogo nilijihusisha na maswala ya namba na takwimu naona kuna viambata vingi havijazingatiwa.Cast,
Hakika inashangaza.
Waziri wa Elimu hadi leo hajatoa jibu kwa Shura ya Maimamu wa Tanzania.
Aliyeonyeshwa takwimu mwingine anaejibu mwingine na wala hausiki.
Kwangu haya si mambo ya utani ndiyo sababu sijaficha sura wala jina langu.
Tumesimama kwenye kweli na huu ukweli tumeufikisha serikalini.
Kuna habari kwamba chuo cha MUM kinasema mpaka pale ilipo mitambo ya Tanesco Msamvu ni eneo la ChuoStux...
Wa kutoa majibu wamekuwa kimya hata pale tatizo hili lilipoletwa Bungeni.
Wewe unajibu kama nani?
Sisi tunasubiri majibu kutoka serikalini.
Sina ghadhabu na pia hujanijibu. Nini kinazuia Waislam kujenga chuo kikuu kwa sasa?Kinyungu,
Niwe accommodative kwa namna gani?
Huu ni mjadala.
Mengi ninayokuelezeni hamkuwa mnayajua.
Mnatoa fikra zenu nami nakupeni majibu.
Nyie hamkuwa mnaijua historia ya kweli ya uhuru.
Mimi nimeandika kitabu kizima.
Nakala ya Kiswahili ni kurasa 416.
Wasomi walipokisoma wamepigwa na mshangao mkubwa na wengine wametaka kujua zaidi.
Bahati mbaya hapa wengi wenu mkisoma msichokijua ghadhabu zinapanda.
Ukweli unawaumiza.
Cast...Mzee wangu kwa muda mdogo nilijihusisha na maswala ya namba na takwimu naona kuna viambata vingi havijazingatiwa.
Hii yaweza changia kukosa majibu kwakua hoja imeundwa na viambata visivyo sahihi.
Kinyungu,Sina ghadhabu na pia hujanijibu. Nini kinazuia Waislam kujenga chuo kikuu kwa sasa?
Ungenijibu kwanza swali langu ndipo uulize la kwakoKinyungu,
Nami nitakuuliza.
Una uhakika gani kuwa serikali itaruhusu ujenzi?
Kitu gani kilifanya serikali ihujumu ujenzi wa vyuo vikuu viwili?
Tungependa sana kusikia jibu kutoka serikalini.
Hakuna mahali nimesema wamepuuza kwanza kupuuza ni kuacha kabisa kufanya nimesema hawajatia mkazo.Wamekudanganya elimu ya madrasa ina vitu vingi ila sio ndefu kwa mfano ukisoma ukiwa darasa la kwanza yaani miaka 7 mpaka ukifika darasa la saba unakuwa mbali sana.
Hakuna sehemu ambayo waislamu wanapuuza elimu kwa hawaweki mkazo wapo wanaosoma na kufadhiliwa na taasisu ila haya mambo yakuwa chinu ya taasisi husika...Pia kusoma vyuo ambavyo sio vya kiislamu hakuna mtu kalazimishwa kusoma chuo cha kiislamu ni jukumu la mtu binafsi kusoma popote ....Vyuo ni biashara kama biashara nyingine wapo wanaoenda kusoma mpaka iran nawajua kibao ila wanakuwa chini ya taasisi kama ni mtu wa taasisi utapata fursa.
Hao wenzio wanakudanganya na hakuna ukweli yupe Ally hapi kasoma madarasa na wapo kibao,ukisoma ukiwa mdogo ukifa form four basi unakuwa unajua vingi sana wapo watota wana miaka 10 wanajua Qur an yote ....Hao wamekudanganya hakuna kitu kama hicho Qur an unasoma kutokana na akili yako wewe unaweza kuruka madarasa kibao kwa miaka 3 tu ,kama una kichwa kizuri unamaliza kila kitu..
Kwa vile elimu ya uislamu ni utekelezaji yaani mafunzo makubwa kama ndoa unaweza kusoma ukiwa form one yaani miaka 14,15 hata kuosha maiti ..Shariq zote unless otherwise utake kusoma upate degree ,masters na lazima uende nje ya
nchi kusoma kwa sana...
Kufundishwa kwa level ya chuo ni haki kwa vile ni ubobezi kama masomo mengine mbona programms za udaktari mpaka miaka minne ,kuna masters za miezi 18 wengine ni miaka 2 ..
Unachotaka ni hicho kama unataka kubobea kweny fani fulani.
Mdogo wangu yupo SUA yeye elimu ya madrasa mpaka kuwa mkubwa alisoma akiwa na miaka 5 mpaka anaanza form one kamaliza kitu ni shekhe anafundisha akiwa na miaka 15 tu.
Kinyungu,Ungenijibu kwanza swali langu ndipo uulize la kwako