Mtasubiri hadi Yesu arudi. Chuo ni chenu hakuna aliyewazuia kujenga halafu unasema mnasubiri majibu ya Serikali. Hii haingii akilini. Je hiyo serikali isipojibu? Hamtajenga? Je ikisema imeshawapeni kile cha Morogoro mtafanyaje?Kinyungu,
Tunasubiri majibu kutoka kwa muhusika.
Kibu...Sasa unalia nini na jambo la miaka 50 iliopita let it go
Serikali iwajibie waisilamu! Haiwezekani.Stux...
Wa kutoa majibu wamekuwa kimya hata pale tatizo hili lilipoletwa Bungeni.
Wewe unajibu kama nani?
Sisi tunasubiri majibu kutoka serikalini.
Hawakujenga wao, walipewa majengo ya chuo cha Tanesco, labda tuseme umeme ulikatika.Mtasubiri hadi Yesu arudi. Chuo ni chenu hakuna aliyewazuia kujenga halafu unasema mnasubiri majibu ya Serikali. Hii haingii akilini. Je hiyo serikali isipojibu? Hamtajenga? Je ikisema imeshawapeni kile cha Morogoro mtafanyaje?
Jiongezeni sheikh
Kinyungu,Mtasubiri hadi Yesu arudi. Chuo ni chenu hakuna aliyewazuia kujenga halafu unasema mnasubiri majibu ya Serikali. Hii haingii akilini. Je hiyo serikali isipojibu? Hamtajenga? Je ikisema imeshawapeni kile cha Morogoro mtafanyaje?
Jiongezeni sheikh
Okay.Mbona sikuelewi 🤣🤣point yako ipo wapi?
Niambie chuo cha kikristo mara sijui Harvard vyuo vipo vingi kwma huikubali Iran ni sawa ,siwezi kulazimisha
Kwa hiyo vyuo vya Iran havina reputation ?🤣🤣Ndio maana nimekuambia hao marafiki hauna na umeandika uongo mtupu hapo...Vyuo ni Harvard , OXFORD sio!?
Jaribu kutembea hata china hapo Dubai nenda hata Ethiopi ,Mali ,Egypt ,libya vipo vyup vikubwa tu level za mbele ....Akili yako nishaisomw tangu ulipoanza kutaja watu hakuna hicho kitu ni uongo.
Kwa hiyo turkey pawe na chuo cheny reputation halafu Iran pakosea chuo chenye reputation?
Chuo kinaweza kuitwa sir johnson na kisiwe cha kikristo haswa nchi kama uingereza hata hostel ziitwe Magufuli sio za wakristo ni jina tu ,chuo na shule za dini
Zinajulikana kuanzia utaratibu wao na hakuna bifu sisi tunasoma kokote..
Elimu ni fardhi hata uende nchi za mbali ni moja ya maamrisho yetu...
Waislamu hwachagui vyuo ila hawawezi kusoma kweny vyuo vyenye sheria za dini ya kikristo kama malezi yao...
Kuna Mtanzania juzi amesoma nje amegundua n kuvuna gesi je unajua kasomes chuo gani?
Kinyungu,Ama hautaki kunijibu au haujuelewa swali langu au hauna majibu. Nashukuru kwa mjadala
Mohamed Said
Ulitaka kucheza karata za udini kupewa maksi! Kumbe Prof anafuata Maadili ya Taaluma! Uzuri hujabadilika itikadi za udini zipo palepale!Geza...
Hili ndilo kwanza nalisikia.
Mimi si Mzaramo mimi Mmanyema.
Wala sijapata kumchukia mtu katika maisha yangu.
Sikuumbwa hivyo.
Alhamdulilah.
Huna la kusema kuhusu waraka niliokuwekea la ubaguzi?
Unadhani ningekosa radhi ya waalimu wangu pale chuoni ningeweza kufanya haya ya kuandika vitabu, research papers na kuzungumza katika Vyuo Vikuu Afrika, Ulaya na Marekani?
Au hujui kuwa kitabu cha Abdul Sykes mtu wa kwanza kukipitia alikuwa mwalimu wangu wa historia Prof. Fredrick Kaijage?
Hii ni dalili ya mwanafunzi dhaifu aliyekuwa akipewa alama za chini na walimu wake?
Mimi nina radhi ya waalimu wangu wote walionisomesha kuanzia darasa la kwanza hadi Chuo Kikuu Dar-es-Salaam na Cardiff.
Nina radhi ya wazazi wangu.
Huwezi kunivunjia heshima yangu kwa maneno ya kipuuzi.
View attachment 2857222
Kulia: Dr. Ibrahim Msabaha, Prof. Emmanuel Bavu na Mohamed Said
View attachment 2857224
Kulia: Paul Sozigwa, Mohamed Said na Prof. Bavu Prof. Bavu alinitembelea nyumbani kwangu
Geza...Ulitaka kucheza karata za udini kupewa maksi! Kumbe Prof anafuata Maadili ya Taaluma! Uzuri hujabadilika itikadi za udini zipo palepale!
Wacha chuki za kidini tangu UDSM mpaka leo umeng'ang'ana tu?Geza...
Hapana si kweli.
Unaweza hata wewe ukanipa kwa kunisoma hapa ukajua uwezo wangu.
Bahati mbaya ametaka kunifedhehesha nami nimempa majibu.
Hakurejea tena.
Geza...Wacha chuki za kidini tangu UDSM mpaka leo umeng'ang'ana tu?
Hata hivyo Morogoro Muslim University inamilikiwa na taasisi bimafsi inayoitwa African Muslim ambayo pia inamiliki taasisi kadhaa za kielimu kama mashule na vyuo.
Unajifichia kwenye kichaka Cha uandishi wa heshima.Mangungo II,
Naomba nikufunze uandishi na heshima katika mjadala.
Kwanza mjadala nia yake ni kuelimishana si kutoleana kejeli na jeuri.
Mathalani ungeweza kuandika hivi:
''Mzee angewahimiza Waislam kuwapeleka watoto shule.''
Hapo nimeondoa, ''Huyu Mzee.''
Sentensi ina maana ile ile iliyokusudiwa lakini kuna adabu na kuheshimiana.
Unasema, ''Haya makelele...''
Haipendezi si uungwana.
Mimi sipigi kelele na haiwezekani niwe napiga kelele kwa ilm ya somo hili ninavyoijua.
Nataka nikuambie kitu kuwa Waislam si kama unavyowaeleza.
Waislam wamepigania uhuru wa Tanganyika hadi umepatikana kwa salama.
Wameishi na Nyerere ndani ya majumba yao wakati Nyerere hana ndugu mjini Dar es Salaam.
Wametaka kujenga Chuo Kikuu 1968 serikali ikavunja taasisi yao.
Waislam si watu wa leo akasimama mtu ati anawaeleza umuhimu wa elimu na kuwapeleka watoto wao shule.
Hii ni kejeli kubwa.
Watu waliokuwa wanajenga Chuo Kikuu hawahitaji kuhimizwa kuhusu elimu.
Waislam tuna historia ya kutukuka na mimi nimeiandika na inasomwa kwingi ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.
Nimeizungumza historia hii kwa mialiko katika Vyuo Vikuu na katika media ndani na nje ya Tanzania.
Nimeandika '' research papers'' kadhaa na zimechapwa katika academic journals.
Mimi niko hapa kazi niiyojipa ni kusomesha historia ya kweli ya nchi yetu ili watu waifahamu.
Hii ndiyo sababu nakuandikia maneno haya kutaka kukufanya ujaribu kusikiliza yale ambayo hukuwa unayajua.
Wewe unaandika uso wako umeuficha.
Mimi naandika jina langu linafahamika na uso na sauti yangu iko wazi.
Sijajificha.
Jiulize kwa nini sijajificha kisha jiulize wewe mwenyewe kwa nini unaogopa kutambulika unaficha uso wako na jina lako?
Mangungo...Unajifichia kwenye kichaka Cha uandishi wa heshima.
Huyo mzee Mwinyi sijatumia neno mzee pia nimetumia neno ALHAJ nayo ni neno ambalo humpa mtu "heshima"
Wewe kuwa mzee usitake kutufanya sisi vijana tuonekane si lolote si chochote na kwamba eti hatuna adabu Wala heshima. Hizo tabia za WAzee wapenda ubabe na kujikweza kwa mambo rahisi.
Mimi nitakuambia ukweli tu Sina haja kuongea kinafiki Wala kubembelezana. Ukiona unakejeli na jeuri Hilo ni tatioz lako binafsi, Mimi halinihusu. Ujumbe mujarabu niliokusudia niumefikisha.
Narudi Tena sambaza kampeni ya kuwaamhia waislamu wapeleke watoto shule Bora sio madrassa tu wapeleke watoto vyuo Bora sio kule M.U.M.
Halafu waje baadae waseme wanaonewa wakati hawafit demand iliyo kwenye skilled, semi-skilled, non-skilled labor.
Nakuheshu sana kwa umri wako wa miaka 60 ila nikuambie usitake kutumia kigezo Cha umri wako kulazimisha hoja zako zikubalike hata kama Zina UKAKASI.
Waambie wenzio katika Imani wapeleke watoto shule na vyuo Bora.
Huwezi ukawa unashikilia mambo ya kale sijui TULIONEWA hivi na vile. Why kwanini Sasa usipige kampeni kweli kweli Ili hii jamii Yako huko mbele iwe na dominance kubwa kwenye hayo mambo mnayoyataka. Fursa mnazo Sasa ila mnakalia mambo ya kale yatawasaidia Nini!?.
Hawa African Muslim Agency ndo wamiliki na wanaoendesha MUM.Nya...
Umekusudia African Muslim Agency ya Kuwait?
Hawa ndiyo wanaendesha shule za sekondari.
Kuhusu MUM historia yake inafahamika.
Fanya utafiti kidogo utajua.
Bahati mbaya sana wengi wenu hapa mnadhani mnajua kumbe hamjui na mfano mzuri ni kama hivi.