Hatma ya Muslim University of Morogoro na Maono ya Aga Khan kuwasaidia Waislamu kujenga Chuo Kikuu

Hatma ya Muslim University of Morogoro na Maono ya Aga Khan kuwasaidia Waislamu kujenga Chuo Kikuu

Unapewa darsa za historia uijuwe nchi yako ilipotokea ili uamuwe unaelekea wapi una sema analia lia.

Ni kipi alicholia hapo? Unashindwa kujibu hoja zake unamvaa yeye binafsi?
Hoja zipi nimeshindwa kuzijibu
Mis Jamiiforum 2023 ?
 
Zanzibar ni shida.

Nina mchumba wangu aliwahi fundisha field huko anakuambia shuleni wakija hawafiki saa tisa jioni

Saa Tano washasepa

Ijumaa ndio hawaonekani kabisa.

Class ndio kabisa vilaza wa kutupwa.
Mangungo usihukumu Jamii nzima kwa kasoro ya sehemu moja.Inawezekana kabisa shule aliyokuwa akifundisha mchumba wako ikawa na tatizo hilo,lakini si zote.Chunguza kidogo hawa tunaowaita wapemba wana wasomi wengi kwa uwiano kulikoni wewe unavyofikiri.
 
Nimefanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 1985, Mzimuni P/s na tulitumia namba [sikumbuki Waziri wa elimu alikuwa nani], mwaka 1986 nilirudia tena shule ya msingi, na mwaka 1987 nikafanya tena mtihani wa darasa la 7 [tulitumia namba pia].

Mwaka niliorudia shule ya msingi tulikuwa wengi, watatu miongoni mwao walitumia majina ya Kiislamu na wawili [walikuwa na uwezo mzuri darasani] walifaulu. Nilipokuwa kidato cha kwanza, darasani kwetu waliorudia walikuwa 75% na walikuwa na majina ya Kiislamu.

Yawezekana madai yako yakawa na ukweli fulani lakini ukweli ni kuwa mwamko wa Waislamu kielimu hasa ngazi ya chini ni mdogo. Mimi kwetu ni Kigoma, Mwanga Vamia, na mama yangu alikuwa mwalimu shule ya msingi. Aliwahi kufundisha shule ya msingi Kipampa Ujiji. Aliwahi kutusimulia jinsi wazazi wa kule walivyokuwa wanakwenda shuleni saa 4 asubuhi na kuwachukua watoto wao na kuwapeleka chuoni huku masomo yakiendelea.

Ni siku hizi ndio angalau kuna mwamko wa Kielimu miongoni mwa Waislamu maana hata vyuo huanza kufundishwa alasiri.

Vyamavingi,usitumie uzoefu wa Ujiji Kigoma kuhukumu waislamu wa Tanzania nzima. Mwenye kovu siku zote hukumbuka maumivu ya kidonda.Sisi wengine tumeyaishi maisha ya kubaguliwa kielimu tunayajua.Hivi haikushughulishi ya kwamba tokea tupate uhuru,hakujawahi kuwa na mtendaji mkuu muislamu katika baraza la mitihani,isipokuwa juzi tu alopoteuliwa DK SAID MOHAMMED.
Kama ulisoma ulisoma elimu ya msingi zamani kabla ya 1992,utakumbuka kulikuwa hakuna kauli ya kupasi kwenda form one,bali kuna kauli ilikuwa inatumika kuchaguliwa kuingia kidato cha kwanza.Tulijengewa fikra kuwa nafasi hazitoshi kwa wote wanaofaulu,kwa hiyo wachache wanachaguliwa.Hapo kwenye kuchaguliwa ndio walipokuwa wanaishia watoto wenye majina ya kiislamu.Wengi ilibidi watumie majina yasiyo yao ili kupenya chujio kali la udini lililokuwepo baraza la mitihani kipindi hicho.
 
Ipyas,
Sina taartifa zaidi ya chuo hiki.
Mbale Islamic University.Imekuwa best private University kwa mara mbili mfululizo.Inaonekana waislamu wanaondekeza quran peke yake na kukataa elimu ya dunia wako Tanzania tu.Maana Algeria,Morocco,Egypt nk wao wanafanya vizuri sana katika masomo ya dunia.Tusisahau pia nchi ya IRAN ina wasomi wengi zaidi wa kuanzia ngazi ya degree kwa uwiano kushinda nchi ya USA.Sasa sijui hawa ni waislamu tofauti na waliokuwepo hapa Tanzania miaka ya nyuma.
 
Tanzania wapo waislam wasomi wazuri tu wakina Prof asad ,wakina janabi hao baadhi tu

Ova
 
Mbale Islamic University.Imekuwa best private University kwa mara mbili mfululizo.Inaonekana waislamu wanaondekeza quran peke yake na kukataa elimu ya dunia wako Tanzania tu.Maana Algeria,Morocco,Egypt nk wao wanafanya vizuri sana katika masomo ya dunia.Tusisahau pia nchi ya IRAN ina wasomi wengi zaidi wa kuanzia ngazi ya degree kwa uwiano kushinda nchi ya USA.Sasa sijui hawa ni waislamu tofauti na waliokuwepo hapa Tanzania miaka ya nyuma.
Waislamu wa Tanzania wanategemea fikra za watu dizaini ya hawa wanaharakati wao.

Cha ajabu hao wanaharakati kama sio kusoma ulaya wameishi huko. Halafu wanakuja kuwatia ujinga wenzao. Badala ya kuwahamasisha wasome wapeleke watoto wao shule na vyuo Bora.

Wao wanakalia stori za Kali wakati ambao illiteracy ratio nchi hii ilikuwa kubwa kupindukia na watu jamii yao ndio kabisa elimu iliwapitia kushoto.

Mimi ningekuwa muislamu stori zangu zingekuwa nikuwaambia wenzangu tupige buku na watoto wetu sijui kuleta habari za Nyerere sio alidhulumu eti WAzee wetu Kilikwenda kilirudi Hadithi za ALFU Lele ulela.

Fursa mnazo mzitumie Ili mkiendelea kukali hizi habari za kale mtaendelea kuona mnaonewa milele.
 
Hamzuiwiiiii hii nakataaaa
Nguvu yote mliyokuwa nayo
Kwenye dola mzuiwe
Tatizo liko kwenu wenyewe humo ndani

Ova
Wanagonga adui wao Yuko nje kumbe Yuko humo ndani mwao.

Wana snitch-iana na kufitiana wao kwa wao.

Kila mtu mtu anataka lake.

Halafu Kuna hili kundi lanwanaharakati wao wakalia Hadithi za kale. Badala kujijenga upya.
 
Huyu nyumbu hajui namna mitihani inasahihishwa,Kwa kifupi hapa Tanzania Baraza la mitihani ni taasis nyenye weledi mkubwa sana.
 
Me kule nyumbani watu hawana uchungu kabisa na mambo ya skuli.........uwa natafakari siku tukijitenga na bara sijui nchi tutaiendesha aje
Nashukuru wewe umecomfirm hapa

Maana Kuna mtu kaniita muongo. Kwamba na generalize.

Huyu mtu wangu aliekua anafundisha filed kule alitoka Chuo Fulani Tabora.

Na walikuwa wengi sana wakapangiwa skuli mbali mbali huko Zanzibar. Na picha ni hio hio hata akiwauliza wenzake.

Anakuambia wakija shule mwisho saa Tano unakuta karibu theluji ya darasa hawapo.

Ijumaa ndio kabisaa hawaonekani, [emoji2]

Sasa kwa staili hio Hawa watu unakimbia vipi.

Namuuliza wanapenda wapi anasema wengi kwenye biashara za familia huko madukani wengine msikitini wengine nyumbani.
 
Ukweli usemwe;
Mimi nilikuwa Muislam ila baadae niliamua kuokoka,kwahiyo nitazungumza vyema sana kuhusu Uislam na Elimu kama ifuatavyo;

Uislam unaichukulia Elimu Dunia kama elimu ya kikaffir bali wanawekeza nguvu kubwa sana kwenye elimu akhera.......Nakumbuka Baba yangu alikuwa akitoka kazini swali la kwanza ni kuwa "Ulienda chuo (Madrasa)?" Na kama sikwenda basi atanichapa sana ila kama sikwenda skuli basi huchukulia kawaida tu..........na wazazi wengi wa kiislam wanataka wana wao wakalili Alif,Bee,Tee badala ya A,B,C.......wakati huo watoto wa kikristo wanapoteza muda wao mwingi kwenye Tuition na ata kama ni dini hujifunza Sunday school,tofauti kabisa na uislam ambao kila siku ni Kuhudhuria madras

Waislamu wao kwa wao mtu akisoma sana wanaanza kumuonea wivu kuwa kakengeuka na anataka kuwa kaffir.......Mimi Kuna dada yangu alisoma mpaka chuo sasa ule mtaa mzima hakuna binti wa Rika lake ambaye aliwahi kusoma vile na wengi wao waliposwa mapema sana kwa kisingizio cha dini......walianza kumuandama eti kwanini haolewi na umri amefikisha wa kuolewa,Kuna imaam wa msikiti akataka amuowe kama mke mdogo,dada akagoma aiseeh!!! Kilinuka ikabidi atoke zenj aje bara na mpaka anamaliza chuo hakuwahi kurudi........Aliolewa na Muikristo.

Waislamu hawataki kutoa nguvu zao kwenye mambo ya elimu kama wafanyavyo kwenye Dini pamoja na ndoa.........Unaweza ukafaulu kwenda vidato vya juu kielimu lakini watakao kuunga mkono kimawazo au kiuchumi ni wachache lakini ukitaka kuoa au kuolewa utaungwa mkono na Jamii nzima..........Waislamu wenyewe hawataki kujenga Skuli au Hospitali zao wenyewe kama wafanyavyo Wakristo,lakini ukipitishwa mchango wa kujenga Msikiti au kumlipa mwalimu wa madras pesa uwa yapatikana muda huo huo

Elimu ndio kila kitu ndugu zangu Waislamu .....Jamii ya wajinga ni rahisi sana kuwadanganya na kuwatawala, ndio maana tulishindwa kumtoa Sultan wenyewe mpaka tukasaidiwa na John Okello(Muikristo mmoja anawaongoza wazenj milioni 3 kudai kupigana vita)..... .....leo hii mikoa maskini ya Waislam ndio maskini sana kuliko ata ya Wakristo
Huu ni ukweli mtupu

Ila wanaharakati uchwara na wanahistoria wa kariakoo hawatataka kuelewa.

Mi sikatai mtu kuishika dini yake ila dini ikikolea sana una zombi au zoba. Iwe ni mkristo au muislamu.
 
Dini ni moja ya ujinga unaotusumbua Waafrika
Ukitopea kwenye dini sans lazima uwe zombie/Zoba/zimbukuku.

Yaani unawaona wote mafala tu hawakumbii kitu.

Ukitaka kujua wachunguze walokole na wajahidina.

Hata kwenye huu Uzi wako wanajulikana.

Dini imewafanya kuwa maamuma wa mambo
Screenshot_20240114-223008.jpg
 
Nilipita pale mwezi wa 5 nadhani, kuna hostel iko pale ni ya ghorofa, mkono wa kuume ukiwa unatoka main road ya kwenda Dodoma.

Ila kimazingira kile chuo bado kibovu sana.
Ile hostel ya mtu binafsi nadhani Sina uhakika kama ni ya Chuo.
 
Hawa watu Nyerer amewaanzishia BAKWATA ili wawe na chombo Cha kuwaunganisha, haikuishia hapo, akawapa prime area kule karibu na Taifa , KWASABABU hawana maoni, wakauza lile eneo wapate pesa ya ulevi. Bado mwendazake akahangaika huku na kule ili wapate mskiti mzuri pale kino.
Ben kawapa chuo Moro. Waulize AHM, JK na mpendwa wamewafanyia Nini?
Watalalama. Milele

Soon wakipata msuli wataanza ku-terorize kama maandiko wa vitabu vyao yanawaongoza.

Si unaona yanayotokea Nigeria wanaua wakristo wanadhani ndio solution ya matatizo yao.
 
Hawa watu Nyerer amewaanzishia BAKWATA ili wawe na chombo Cha kuwaunganisha, haikuishia hapo, akawapa prime area kule karibu na Taifa , KWASABABU hawana maoni, wakauza lile eneo wapate pesa ya ulevi. Bado mwendazake akahangaika huku na kule ili wapate mskiti mzuri pale kino.
Ben kawapa chuo Moro. Waulize AHM, JK na mpendwa wamewafanyia Nini?
Hilo eneo la Taifa wakaliuza kwa Bei ya kutupwa. Bora angewapa Wakatoriki.
Hawa watu tuishi nao kwa tahadhari kubwa sana.
 
Wapagani hatujapewa chochote na wala hatulalami ila kwenye sherehe zenu mnatusalimia kwa maneno haya "Kwa wasio na dini hamjambo"
 
Nyio...
Jinsi ulivyoniuliza hili swali tayari ushatoa jibu.

Zaidi umeniambia niwe "serious," yaani nisifanye maskhara.

Mimi ni "serious" sana kiasi kalamu yangu imefika mbali.

Kitabu changu kuhusu Abdul Sykes kinajadiliwa hapa JF toka 2008 na kimechapwa mara nne tunakwenda toleo la tano.

Nimekuwa Mwandishi Bora JF Jukwaa la Historia kwa miaka miwili mfululizo 2021 na 2022.

Nimefanikiwa kubadili historia nzima ya uhuru wa Tanganyika.

Nimesomesha hapa watu mambo ambayo hawakupata kuyajua.

Mimi ni mtu "serious."
Nachoona ni majivuno tu na mbwembwe.

Pia uliyaandika kwenye vitabu vyako Yako biased sana na ndio maana hayako kwenye historia ya nchi maana ni stori za WAzee wako walowezi wa kariakoo.

Ambao wewe unataka tuwaamini sana.

Atakuja mweingine na kuandika harakati za wakristo na kudai uhuru.

Mtataka tuwaamini nyie wanaharakati wa kidini. Na propaganda zenu.
 
Wapagani hatujapewa chochote na wala hatulalami ila kwenye sherehe zenu mnatusalimia kwa maneno haya "Kwa wasio na dini hamjambo"
Sr...
Ukianza na kuasisi kwa African Association 1929 hawa ndiyo waliokuwapo: Cecil Matola, Kleist Sykes, Mzee bin Sudi, Ibrahim Hamisi, Ali Said Mpima, Zibe Kidasi, Suleiman Majisu, Raikes Kusi na Rawson Watts.

Hakuna Mpagani.

Viongozi wa TAA Political Subcommittee 1950: Dr. Vedasto Kyaruzi, Abdul Sykes, Hamza Mwapachu, Mufti Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Said Chaurembo, Steven Mhando na John Rupia.

Hakuna Mpagani.

Katika kupigania uhuru wa Tanganyika hakukuwa na Wapagani.

Mimi nimefanya utafiti na kuandika kitabu cha uhuru wa Tanganyika hakuna mahali popote nilipokutana na Mpagani mwanachama wa TANU au kiongozi.
 
Unaweza kututajia hiyo 'miundombinu" ya Waislam wa Kenya, Uganda na Tanzania? Wengine hatuifahamu.
Mzee wangu wewe kila siku unajinasibisha na tafiti za namna waislam walivyoonewa hapa nchini.Naamini kule ambako Nyerere hakuifuta EAMWS kuna maendeleo makubwa sana ya taasisi za huduma za kijamii za kiislamUkifuatilia kwa umakini taasisi nyingi zimeanzishwa na Bakwata na Tanzañia kuna ustawi wa uislam kuliko Kenya na Uganda.
 
Back
Top Bottom