Hatma ya ndoa yangu leo usiku imekuwa hatari kwa maisha yangu

Ndio maana watu wanakuandika vibaya humu ndani kuwa una udini kumbe ni kweli. Japo nilikataa kabisa.
Hii point uliyoandika hapa.. ww unataka kabisa hiyo ndoa ivunjike sababu huyo mwanamke kaolewa na mwanaume wa dini nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
 
MWANAMKE akiamua jambo muache afanye anavyotakaa yeyee hasa suala la dini au Kupata mwanaume mwingne achana naeee kabisaa... Faiza hajaonyesha udini hata kidogo katoa ushauri ambao ni Ukweli mtupuu... Hakuna kitu kitaendelea hapo kwenye hiyo ndoaaa waachane tuu kama mwanaume hawezi kukubaliana na uamuzi wa mke wakee.. FULLSTOP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umefafanua vizuri. Bibie kishapata ndoa.. now anafungua makucha halisi.
Kaanza na dini, next ifafuata ndoa. My advice jamaa akae standby kwa lolote kuanzia sasa.
Kama ameweza "kupretend" kwenye IMANI ....nini UPENDO .... ndoa eshaipata .... Imani yako haitaki... Na kuna uwezekano pia pendo kwako halipo.... Hakuna namna endelea kujifunika tu shuka moja na nyoka....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapenzi hayana dini bro!
Hapo kubali matokeo,na kama mapenzi bado yapo endelea na maisha.
Ila ikitokea akaanza kukubagua na kujisikia kwamba hajaolewa mpaka aolewe na Islam mwenzake,kimbia.
Vile vile akianza kuwa na imani Kali kama wajahidina,kimbia,hawana tofauti na walokole wenye imani Kali!!
Lakini kama imani yake na mwenendo wa kufata dini yake,hauleti mushkeli,endelea na maisha tunza familia.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
My concern is kwann mwanzoni alikubali kwenda kanisan for 10 years?
Kwann toka mwanzon asingemwambia mumewe kwamba sitoweza kubadili dini?
Au alikuwa anasubiri ndoa kwanza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My concern is kwann mwanzoni alikubali kwenda kanisan for 10 years?
Kwann toka mwanzon asingemwambia mumewe kwamba sitoweza kubadili dini?
Au alikuwa anasubiri ndoa kwanza?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke ukifika umri wa kuolewa huwa anakuwa Desparate sana na Ndoaa... yani yupo tayari kufanya lolote aipate ndoaa..!! Hata kubadilishaa dinii... hata kutoroka kwao muje kuishi wotee ili mradi umuoee tu.. Ila sasa akishaipata Ndoa ndo utajuaa UMEOA MWANAMKE WA AINA GANI... UTAJUA UNAFIKI WAKE..UONGO WAKE.. UTAJUA RANGI YAKE HALISI..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana, hili msipolitatua sasa hivi litawatesa sana baadae. Welfare ya watoto iwe kipaumbele lakini hapo ndoa hakuna.
Rc kuna sharti nafuu la kuoana na mtu hata akiwa na imani tofauti haizui kitu, na kama walishafunga ndoa hiyo ndoa haivunjiki hata kwa bakora... Thats what i love about RC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wangu kwa mdau ni nimeoana watu wanaishi hivyo kwa imani zao tofauti na wanaishi maisha mazuri mno, acha kumlazimisha mwenzako aje kwenye imani yako huo ni ubinafsi, acha awe na uhuru wa kuabudu anapotaka as long as anakupenda acha panic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ishi kama mlivyoishi kipindi cha 2008 ---2018
 
Umeanza kuishi na huyo mwanamke 2008,mna watoto......kwa muktadha huo sioni wewe kama ni kijana mdogo..wewe ni baba wa makamu..haya yanayokuumiza kichwa hayakupaswa kwako..waachie vijana wadogo..simama kama baba hapo hakuna shida ya kukufanya usumbue watu hapa...labda kama uko DAR.
 
In other word mchizi hakufanya deep analysis kabla ya kumuoa bibie. Angejipa muda kujua self interest before hawajaingia kwenye ndoa.
But then je hiyo inamfanya huyu msanamke kuwa hana hatia?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
In other word mchizi hakufanya deep analysis kabla ya kumuoa bibie. Angejipa muda kujua self interest before hawajaingia kwenye ndoa.
But then je hiyo inamfanya huyu msanamke kuwa hana hatia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kimsingi mshkaji alisikiliza Moyo zaidi kuliko kutumia akilii...!! mwanamke sasa hasikilizi tena moyo wake anasikiliza akili zakee... Mshkaji nae anashtuka kuwa moyo ulimponzaa.. Kimsingi ndo nyingi za watu wa dini tofauti wakioana wengi wao Hufarakana sanaa sana.. Me kuna mshakaji hadi leo hii hajui yeye ni dini gani.. Mama muislamu baba mkristo... familia inaenda endaa tuu yanii ukijisikia kwenda msikitini hayaa.. wa kanisani hayaaa[emoji26][emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majibu haya yanatosheleza kwa mtu aliye Mkristo
 
Nina jamaaa yangu nae famili iko hv hivi, wamegawana watoto, wakristo 3 upande wa mama, waislam 2 upande wa baba.
 
Neno la msingi hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BRN umemaliza...! sijui atake ushauri gani tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BRN
Ingekuwa were ungekubaliana na msimamo wake au ungefanyaje HEBU JARIBU KUVAA VIATU VYANGU then utoe uamuzii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…