Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Ndio maana watu wanakuandika vibaya humu ndani kuwa una udini kumbe ni kweli. Japo nilikataa kabisa.
Hii point uliyoandika hapa.. ww unataka kabisa hiyo ndoa ivunjike sababu huyo mwanamke kaolewa na mwanaume wa dini nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii point uliyoandika hapa.. ww unataka kabisa hiyo ndoa ivunjike sababu huyo mwanamke kaolewa na mwanaume wa dini nyingine
Huyo kwa kuendelea kuishi na wewe kama mke na mume hana Uislam kwani Uislam hauruhusu mwanamke wa Kiislam kuolewa na mwanamme yeyote asiye Muislam.
Hivi shule ya Kiislam ni ipi? Mimi nafahamu shule za Kiislam ni madrasa tu Tanzania hii.
Labda uliposema shule ya Kiislam ulimaanisha shule ya Waislam?
Sent using Jamii Forums mobile app