Hatma ya ndoa yangu leo usiku imekuwa hatari kwa maisha yangu

Labda kwa kuanza tu niwasalim wote na nawaomba muwe miongoni mwa mtakaookoa nafsi yangu iliyojaa MAUMIVU YASIYO NA KIFANI

NILIANZA KUISHI NA MKE WANGU HUYU 2008 KABLA YA NDOA NA TUKABAHATIKA KUPATA WATOTO WAWILI NA MWAKA 2018 JANUARY TUKAAMUA KUBARIKI NDOA

NA KILICHOKUWA KINACHELEWESHA NDOA ILIKUWA DINI TOFAUTI MIMI NI MKRISTO YEYE NI MWISLAM ILA MWISHO ALIAMUA KUBADILI DINI MWANZONI MWA MWAKA 2009 NA TUKAWA TUNAHUDHURIA IBADA PAMOJA NA WANETU MPAKA January HII NA TUPO MKOA MMOJA LAKINI WILAYA TOFAUTI

POINT YA USHAURI HII HAPA NAOHITAJI KWENU WAUNGWANA
LEO USIKU HUU KANIAMBIA ANARUDIA IMANI YAKE KWA KINA NA ANAHUDHURIA IBADA NA MAADILI YOTE YA IMANI YAKE (Islamic) NA HAKUNA WA KUMRUDISHA NYUMA TENA

ILA PIA ANAKIRI KURUDI KWENYE IMANI YAKE HANA MAANA KWAMBA HANIPENDI ANANIPENDA NA ATAENDELEA KUNIHESHIMU KAMA MUME WAKE NA PIA HATAACHANA NA MIMI LABDA MIMI NITAKAPOAMUA KUMUACHA

NA PIA NAENDELEA KUNIAMBIA AMESHAOMBA TOBA KWA MWENYEZI MUNGU AMSAMEHE MADHAMBI YAKE YOTE ALIYOTENDA KWA KIPINDI CHOTE ALICHIMCHANGANA NABII ISSA NA MUNGU

HAKUCHOKA WALA KUISHIA HAPO ALIENDELEA KUNIAMBIA NIMSAMEHE KWA MAAMUZI HAYO NA MAISHA YAENDELEA KAMA KAWAIDA NA PIA ALIFANYA NDOA KUWEZA KUTURIDHISHA MIMI NA NDUGU ZANGU

JAPO ANASEMA JAMBO HILO ANAAMINI HALIWEZI VUNJA UHUSIANO WETU NA HATA AKIBAKI KATIKA IMANI HII ATAENDELEA KUPRETEND AMBAVYO YEYE HATAKI KUPRITEND NA NILIOGOPA KUKUAMBIA MDA ILA LEO NIMEAMUA KUKUAMBIA TU

NA HAYA YOTE YANATOKEA BAADA YA KUMPELEKA KWENYE SHULE KURISIT MTIHANI WAKE WA KIDATO 4 KATIKA SHULE ZA KISLAM

SASA NAOMBA MNISHAURI NIFANYE NINI KWA KUWA NAONA KAMA MOYO UNATOBOKA SIJAPATA USINGIZI TOKA NILIVYOJARIBU KULALA SAA 2 YA LEO

PILI KIIMANI IKOJE TENA HII NDOA BAADA YA MWENZANGU KUAMUA HIVYO

Je kuna umuhimu wa kuendelea na mipango ya maisha ya pamoja mfano tulikuwa tumenunua viwanja vitatu na kimoja nimeandika jina langu viwili majina ya watoto na pia kiwanja kimojawapo tumeshaanza ujenzi na nilipanga kumalizia nyumba yetu mwezi Wa nne je kuna umuhimu wa kufanya hivyo ??

NB SIKUWEZA KUAMINI YALIYOTOKEA KWA KUWA YEYE ALIBADILI NA KUWA MKISTO BILA KUSHAWISHIWA NA MTU YEYOTE NA KWA KWELI TULIPENDANA NA NAWAPENDA SANA YEYE NA WANANGU
Anarudia mapepo. Ukitaka umkomoe, kila siku sali, piga pambio, ktk Jina la Yesu Kristu kila siku, asubuhi mchana na usiku, lazima atakukimbia kwa sababu mapepo ya hiyo dini yanamfahamu Yesu Kristu, ila inabidi uwe msafi, no pombe, no mchepuko, otherwise utakufa maana mapepo yanajua usafi wa mhusika
 
hapo umestuck,ila kila jambo Lina namna ya utatuzi wake...utoke kwa reverse ama uvutwe kwa mbele

~chanzo cha yote in ile kumpeleka shule;kama bado anasoma hapo mhamishe tena Mara moja na kwa haraka:hapo analishwa sumu itakayowadhuru nyote

~Sikushauri kamwe muachane,HAWA akina HAWA inabidi kuishi nao kwa maarifa.Dini isikuvuruge,kwanza zimeletwa na meli..

*umemgusia kuachana na akakujibuje
 
Jamani waafrika, msiwe wajinga kuendekeza imani za watu wengine....mnachezewa akili tu na kubaguana kisa dini. Angalieni ndugu zenu huko Afrika ya Kati wanavyouana wenyewe kwa wenyewe kisa dini za kuletewa na zisizo na tija yeyote kwetu waafrika. UWOGA=UMASKINI ukiona nafsi yako inakusuta juu ya maamuzi ya mkeo basi muache, achukue 50 zake nawe chukua zako muishi kwa amani!
 
Broo embu ili swala acha2 kuliongelea ndani ya nyumba umeshasikia msimamo wake inatosha na kama amekueleza kistaarabu bila tatizo ni sawa utakimbilia kuvunja iyo ndoa kisa mkeo kabadili dini ila kwa kizazi cha sasa kuja kumpata mke mwaminifu tena ni kazi sana au utakaye elewana naye. Kwa faida ya wanao ni vizuri2 mkaka pamoja meelewane kuusu watoto watakwenda wapi au watafata imani ipi katika malezi yao. Kikubwa tu kama mkeo unaamini ni muaminifu inatosha kuendeleza iyo ndoa yak.

Imani ni mifumo tu ya endeshaji maisha na njia za kumtukuza Mungu isikuumize akili Mshukuru Mungu kwa kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa lako ni kumpelema mwenye shule ya ku reset ya kiislam. Hayo mazingira yamemrudishia mawazo ya kurudi kwenye dini yake.
Halaf pia anasema alibadili dini ili akuridhishe ww na ndugu zako... huoni kama ali ku trick.. kishapata ndoa sasa anarudi alipotoka.

Kuwa nae makin
Labda kwa kuanza tu niwasalim wote na nawaomba muwe miongoni mwa mtakaookoa nafsi yangu iliyojaa MAUMIVU YASIYO NA KIFANI

NILIANZA KUISHI NA MKE WANGU HUYU 2008 KABLA YA NDOA NA TUKABAHATIKA KUPATA WATOTO WAWILI NA MWAKA 2018 JANUARY TUKAAMUA KUBARIKI NDOA

NA KILICHOKUWA KINACHELEWESHA NDOA ILIKUWA DINI TOFAUTI MIMI NI MKRISTO YEYE NI MWISLAM ILA MWISHO ALIAMUA KUBADILI DINI MWANZONI MWA MWAKA 2009 NA TUKAWA TUNAHUDHURIA IBADA PAMOJA NA WANETU MPAKA January HII NA TUPO MKOA MMOJA LAKINI WILAYA TOFAUTI

POINT YA USHAURI HII HAPA NAOHITAJI KWENU WAUNGWANA
LEO USIKU HUU KANIAMBIA ANARUDIA IMANI YAKE KWA KINA NA ANAHUDHURIA IBADA NA MAADILI YOTE YA IMANI YAKE (Islamic) NA HAKUNA WA KUMRUDISHA NYUMA TENA

ILA PIA ANAKIRI KURUDI KWENYE IMANI YAKE HANA MAANA KWAMBA HANIPENDI ANANIPENDA NA ATAENDELEA KUNIHESHIMU KAMA MUME WAKE NA PIA HATAACHANA NA MIMI LABDA MIMI NITAKAPOAMUA KUMUACHA

NA PIA NAENDELEA KUNIAMBIA AMESHAOMBA TOBA KWA MWENYEZI MUNGU AMSAMEHE MADHAMBI YAKE YOTE ALIYOTENDA KWA KIPINDI CHOTE ALICHIMCHANGANA NABII ISSA NA MUNGU

HAKUCHOKA WALA KUISHIA HAPO ALIENDELEA KUNIAMBIA NIMSAMEHE KWA MAAMUZI HAYO NA MAISHA YAENDELEA KAMA KAWAIDA NA PIA ALIFANYA NDOA KUWEZA KUTURIDHISHA MIMI NA NDUGU ZANGU

JAPO ANASEMA JAMBO HILO ANAAMINI HALIWEZI VUNJA UHUSIANO WETU NA HATA AKIBAKI KATIKA IMANI HII ATAENDELEA KUPRETEND AMBAVYO YEYE HATAKI KUPRITEND NA NILIOGOPA KUKUAMBIA MDA ILA LEO NIMEAMUA KUKUAMBIA TU

NA HAYA YOTE YANATOKEA BAADA YA KUMPELEKA KWENYE SHULE KURISIT MTIHANI WAKE WA KIDATO 4 KATIKA SHULE ZA KISLAM

SASA NAOMBA MNISHAURI NIFANYE NINI KWA KUWA NAONA KAMA MOYO UNATOBOKA SIJAPATA USINGIZI TOKA NILIVYOJARIBU KULALA SAA 2 YA LEO

PILI KIIMANI IKOJE TENA HII NDOA BAADA YA MWENZANGU KUAMUA HIVYO

Je kuna umuhimu wa kuendelea na mipango ya maisha ya pamoja mfano tulikuwa tumenunua viwanja vitatu na kimoja nimeandika jina langu viwili majina ya watoto na pia kiwanja kimojawapo tumeshaanza ujenzi na nilipanga kumalizia nyumba yetu mwezi Wa nne je kuna umuhimu wa kufanya hivyo ??

NB SIKUWEZA KUAMINI YALIYOTOKEA KWA KUWA YEYE ALIBADILI NA KUWA MKISTO BILA KUSHAWISHIWA NA MTU YEYOTE NA KWA KWELI TULIPENDANA NA NAWAPENDA SANA YEYE NA WANANGU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kwa kuanza tu niwasalim wote na nawaomba muwe miongoni mwa mtakaookoa nafsi yangu iliyojaa MAUMIVU YASIYO NA KIFANI

NILIANZA KUISHI NA MKE WANGU HUYU 2008 KABLA YA NDOA NA TUKABAHATIKA KUPATA WATOTO WAWILI NA MWAKA 2018 JANUARY TUKAAMUA KUBARIKI NDOA

NA KILICHOKUWA KINACHELEWESHA NDOA ILIKUWA DINI TOFAUTI MIMI NI MKRISTO YEYE NI MWISLAM ILA MWISHO ALIAMUA KUBADILI DINI MWANZONI MWA MWAKA 2009 NA TUKAWA TUNAHUDHURIA IBADA PAMOJA NA WANETU MPAKA January HII NA TUPO MKOA MMOJA LAKINI WILAYA TOFAUTI

POINT YA USHAURI HII HAPA NAOHITAJI KWENU WAUNGWANA
LEO USIKU HUU KANIAMBIA ANARUDIA IMANI YAKE KWA KINA NA ANAHUDHURIA IBADA NA MAADILI YOTE YA IMANI YAKE (Islamic) NA HAKUNA WA KUMRUDISHA NYUMA TENA

ILA PIA ANAKIRI KURUDI KWENYE IMANI YAKE HANA MAANA KWAMBA HANIPENDI ANANIPENDA NA ATAENDELEA KUNIHESHIMU KAMA MUME WAKE NA PIA HATAACHANA NA MIMI LABDA MIMI NITAKAPOAMUA KUMUACHA

NA PIA NAENDELEA KUNIAMBIA AMESHAOMBA TOBA KWA MWENYEZI MUNGU AMSAMEHE MADHAMBI YAKE YOTE ALIYOTENDA KWA KIPINDI CHOTE ALICHIMCHANGANA NABII ISSA NA MUNGU

HAKUCHOKA WALA KUISHIA HAPO ALIENDELEA KUNIAMBIA NIMSAMEHE KWA MAAMUZI HAYO NA MAISHA YAENDELEA KAMA KAWAIDA NA PIA ALIFANYA NDOA KUWEZA KUTURIDHISHA MIMI NA NDUGU ZANGU

JAPO ANASEMA JAMBO HILO ANAAMINI HALIWEZI VUNJA UHUSIANO WETU NA HATA AKIBAKI KATIKA IMANI HII ATAENDELEA KUPRETEND AMBAVYO YEYE HATAKI KUPRITEND NA NILIOGOPA KUKUAMBIA MDA ILA LEO NIMEAMUA KUKUAMBIA TU

NA HAYA YOTE YANATOKEA BAADA YA KUMPELEKA KWENYE SHULE KURISIT MTIHANI WAKE WA KIDATO 4 KATIKA SHULE ZA KISLAM

SASA NAOMBA MNISHAURI NIFANYE NINI KWA KUWA NAONA KAMA MOYO UNATOBOKA SIJAPATA USINGIZI TOKA NILIVYOJARIBU KULALA SAA 2 YA LEO

PILI KIIMANI IKOJE TENA HII NDOA BAADA YA MWENZANGU KUAMUA HIVYO

Je kuna umuhimu wa kuendelea na mipango ya maisha ya pamoja mfano tulikuwa tumenunua viwanja vitatu na kimoja nimeandika jina langu viwili majina ya watoto na pia kiwanja kimojawapo tumeshaanza ujenzi na nilipanga kumalizia nyumba yetu mwezi Wa nne je kuna umuhimu wa kufanya hivyo ??

NB SIKUWEZA KUAMINI YALIYOTOKEA KWA KUWA YEYE ALIBADILI NA KUWA MKISTO BILA KUSHAWISHIWA NA MTU YEYOTE NA KWA KWELI TULIPENDANA NA NAWAPENDA SANA YEYE NA WANANGU

Muache huyo Dada,akaolewe na Muslim wenziwe.
 
"Amepretend muda mrefu" inamaana alikudanganya for very long time. Anaweza ku pretend hata anakupenda kumbe yuko kwingine
Nakuambia amehudhuria kanisani miaka kumi na kubatizwa kabatizwa sasa nashindwa elewa na nimemwuliza uko serious akaniambia hawazi kurudi nyuma coz amepretendi mda mrefu dini ya kweli in uislam pekee hakuna nyinginee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naona fresh tu!! Unajua haya mambo ya Imani mimi ni mkristo nikioa muislam sitataka abadili dini au mimi nibadili dini kila mtu abaki na dini yake iliyo mkuza kiimani.
Hapo mtaishi happy life!! hii mambo sijui njoo kwangu au nije kwako...mta fake life tu
 
Kuwa kama mwanaume Mkuu. Tumia akili. Hiyo si sababu ya kuvunja ndoa
 
Hili siyo tatizo kubwa sana, kibaya hapo ni umroa mke MUONGO. Atakuwa kafanya mengi sana kwa hila za uongo.

Pili kama kweli wewe umeokoka muomvee tu au tena unaweka na nadhiri atakuja analia tena kurudi kwako.

Ataonekana mtu wa kutangatanga sababu ni muongo aliyekubuhu.

Nakushauri:-
1. Pima DNA za wanao.
2. Mwadhibu kwa sababu ya uongo
3. Usimuache tibu hiyo roho ya uongo itatoka.
 
Mbona hili swala dogo sana. Kuoa mtu asiye amini imani yako ni sahihi. Mwache yeye afuate imani yake na ikiwezekana msaidie kadri uwezavyo na uhitaji wake kwako ili afikie malengo yake.

Usiumize kichwa kwa mambo madogo madogo hivi.
 
Hivi nikasema dini hazileti umoja na ni moja ya vyanzo vya migogoro nitakuwa nakosea??

Achana na mambo ya dini Mkuu, dini haina kitu cha maana zaidi ya unafiki. Kwani hao wenye dini sawa mbona kila siku wanaachana na kusalitiana.

Familia bora haijengwi na dini. Tena usirogwe umuache mkeo halafu uende kuoa wale walokole ili muendane kidini. Utajuta.

Mimi Nina ndugu yangu aliolewa na muislam na dini akabadirishwa. Lakini mpaka sasa navyoomgea amerudi kuwa anaenda kanisani. Mme wake hana hata time. Ni miaka 9 sasa tangu aanze kwenda kanisani na sioni kilichopungua wala kuongezeka kwenye ndoa yake.

Mkuu nakushauri Potezea hilo swala na wapeni Watoto haki ya kuchagua dini gani waifuate.

NB: Dini Ni Unafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali tafadhali sanaa nipeni mawazo yenu na uzoefu wenu
Huyo kwa kuendelea kuishi na wewe kama mke na mume hana Uislam kwani Uislam hauruhusu mwanamke wa Kiislam kuolewa na mwanamme yeyote asiye Muislam.

Hivi shule ya Kiislam ni ipi? Mimi nafahamu shule za Kiislam ni madrasa tu Tanzania hii.

Labda uliposema shule ya Kiislam ulimaanisha shule ya Waislam?
 
take note.

mke hasomeshwi, mabadiliko hayo uliyoyaona ni dalili za mabadiliko makubwa zaidi mbeleni hata kufikia kuachana ikitokea kafanikiwa kufaulu na hatimaye kufika chuo na kupata kazi.

kama kaweza kuona kuwa alifanya makosa kwenye kubadili dini just kwa kurisiti form four tegemea baada ya kufika chuo atakuambia pia alifanya makosa kwenye kuolewa na wewe.

action.

kama source ya matatizo ni baada ya kumpeleka shule,

msimamishe masomo yake mara moja na mtafutie shughuli nyingine ya kufanya.

na huo uwe ndo msimamo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unakuja huku kuomba msaada... Nenda kwa mlezi wako Wa kiroho kamwambie habari hizi yeye ndiye atakayekwambia kama ndoa ipo au haipo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom