"Hats Off" Rais Samia Suluhu hii ni moja ya Hotuba za kuwekwa kwenye rekodi

Muju4

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Posts
5,489
Reaction score
7,446
Wanajukwaa habari zenu,

Ni siku nyingine baada ya mapumziko marefu ya Pasaka, kama tunavyofahamu leo kulikuwa na zoezi la kuapishwa Makatibu na Manaibu Katibu wa wizara mbali mbali, pamoja na wakuu wa mashirika na taasisi mbalimbali.

Baada ya zoezi la uapisho zilifuata salamu kutoka kwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na baadae ikafuatia HOTUBA ya Mh. Rais, hotuba hii imekuwa ni kusimumua sana kwasababu imejikita katika kutoa dira ya Mh. Rais katika kutatua matatizo mbali mbali ikiwa ni:-

Kusisitiza matumizi ya AKILI badala ya "MISULI" nafikiri hapa Mh. Rais alimaanisha MIGUVU na hasa kwa kuendelea kuwasisitiza TRA kuhakikisha wanakusanya kodi bila ya kuwaumiza walipa kodi.

Rais sasa ameonesha njia katika namna ya kukabiliana na tatizo la Covid 19 kisayansi akisisitiza kuwa Tanzania sio kisiwa, kwa hili tunamshukuru sana kwasababu ni wazi sasa tunaenda kubadili taswira yetu KIMATAIFA kwenye kukabiliana na changamoto hii inayoikabili Tanzania.

Uwekezaji, hapa kwakweli amezungumza UKWELI mtupu na ni vyema watu wenye dhamana katika suala hili kuhakikisha wanafanyia kazi kwasababu hawa wawekezaji ndio ambao watasaidia katika kukuza ajira na kuipunguzia mzigo mzito serikali ya kuajiri. Hapa ni muhimu kuondoa urasimu ili kuweza kurudisha imani kwa wawekezaji si vizuri kusema Private sector haikupewa uzito inaostahili hapo nyuma lakini ni vyema kuanzia sasa tukawa na kiu ya kuvutia wawekezaji kuja kuwekeza Tanzania.

Uhuru wa kwa vyombo vya habari, huu ni mwanzo mzuri kwasababu kukiwa na uhuru katika vyombo vya habari hii itampa nafasi ya kuweza kufahamu namna watendaji wake wanavyofanya kazi, wanasema Vyombo vya habari ni "Mhimili wa nne" katika serikali kwasababu ni wazi itakuwa ni rahisi kwake Rais kufahamu kwa uwazi mambo ambayo ingekuwa ni vigumu kwake kupata taarifa kwa wakati.

Kupitiwa upya kwa mitaala ya elimu, hapa ni kweli tunahitaji elimu ambayo itakuwa na msaada kwa vijana wengi wa Tanzania kwasababu elimu tuliyonayo sio siri hamuandai kijana kujiari bali kuwa muajiriwa ni kweli hapa tunahitaji mabadiliko ambayo yataenda kuleta suluhisho katika elimu ya Tanzania.

Kwakweli ni mambo mengi na ya umuhimu aliyoyaongelea kuweza kuayaandika hapa yote si rahisi sana ila ni hotuba yenye matumaini makubwa na kama watendaji watakuwa wamemsikiliza kwa umakini na kuyafanyia kazi basi tunaweza kuanza enzi mpya kwa mafanikio makubwa sana.

Niwatakie heri tunapoenda mapumziko ya Karume day.

Asanteni sana.
 
  • Kusisitiza matumizi ya AKILI badala ya "MISULI" nafikiri hapa Mh. Rais alimaanisha MIGUVU na hasa kwa kuendelea kuwasisitiza TRA kuhakikisha wanakusanya kodi bila ya kuwaumiza walipa kodi.

  • Rais sasa ameonesha njia katika namna ya kukabiliana na tatizo la Covid 19 kisayansi akisisitiza kuwa Tanzania sio kisiwa, kwa hili tunamshukuru sana kwasababu ni wazi sasa tunaenda kubadili taswira yetu KIMATAIFA kwenye kukabiliana na changamoto hii inayoikabili Tanzania.

  • Uwekezaji, hapa kwakweli amezungumza UKWELI mtupu na ni vyema watu wenye dhamana katika suala hili kuhakikisha wanafanyia kazi kwasababu hawa wawekezaji ndio ambao watasaidia katika kukuza ajira na kuipunguzia mzigo mzito serikali ya kuajiri. Hapa ni muhimu kuondoa urasimu ili kuweza kurudisha imani kwa wawekezaji si vizuri kusema Private sector haikupewa uzito inaostahili hapo nyuma lakini ni vyema kuanzia sasa tukawa na kiu ya kuvutia wawekezaji kuja kuwekeza Tanzania.​

  • Uhuru wa kwa vyombo vya habari, huu ni mwanzo mzuri kwasababu kukiwa na uhuru katika vyombo vya habari hii itampa nafasi ya kuweza kufahamu namna watendaji wake wanavyofanya kazi, wanasema Vyombo vya habari ni "Mhimili wa nne" katika serikali kwasababu ni wazi itakuwa ni rahisi kwake Rais kufahamu kwa uwazi mambo ambayo ingekuwa ni vigumu kwake kupata taarifa kwa wakati.

  • Kupitiwa upya kwa mitaala ya elimu, hapa ni kweli tunahitaji elimu ambayo itakuwa na msaada kwa vijana wengi wa Tanzania kwasababu elimu tuliyonayo sio siri hamuandai kijana kujiari bali kuwa muajiriwa ni kweli hapa tunahitaji mabadiliko ambayo yataenda kuleta suluhisho katika elimu ya Tanzania.

Kwakweli ni mambo mengi na ya umuhimu aliyoyaongelea kuweza kuayaandika hapa yote si rahisi sana ila ni hotuba yenye matumaini makubwa na kama watendaji watakuwa wamemsikiliza kwa umakini na kuyafanyia kazi basi tunaweza kuanza enzi mpya kwa mafanikio makubwa sana.

Niwatakie heri tunapoenda mapumziko ya Karume day.

Asanteni sana.
Kama Tanzania ingekuwa ni simu tungesema mama kabonyeza command ya FACTORY RESET.

Yaani MAUJINGA yote ya Magufuli anayafukia kwa lugha laini bila chuki, husda wala matusi.
 
Wanajukwaa habari zenu,

Ni siku nyingine baada ya mapumziko marefu ya Pasaka, kama tunavyofahamu leo kulikuwa na zoezi la kuapishwa Makatibu na Manaibu Katibu wa wizara mbali mbali, pamoja na wakuu wa mashirika na taasisi mbalimbali.

Baada ya zoezi la uapisho zilifuata salamu kutoka kwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na baadae ikafuatia HOTUBA ya Mh. Rais, hotuba hii imekuwa ni kusimumua sana kwasababu imejikita katika kutoa dira ya Mh. Rais katika kutatua matatizo mbali mbali ikiwa ni:-

Kusisitiza matumizi ya AKILI badala ya "MISULI" nafikiri hapa Mh. Rais alimaanisha MIGUVU na hasa kwa kuendelea kuwasisitiza TRA kuhakikisha wanakusanya kodi bila ya kuwaumiza walipa kodi.

Rais sasa ameonesha njia katika namna ya kukabiliana na tatizo la Covid 19 kisayansi akisisitiza kuwa Tanzania sio kisiwa, kwa hili tunamshukuru sana kwasababu ni wazi sasa tunaenda kubadili taswira yetu KIMATAIFA kwenye kukabiliana na changamoto hii inayoikabili Tanzania.

Uwekezaji, hapa kwakweli amezungumza UKWELI mtupu na ni vyema watu wenye dhamana katika suala hili kuhakikisha wanafanyia kazi kwasababu hawa wawekezaji ndio ambao watasaidia katika kukuza ajira na kuipunguzia mzigo mzito serikali ya kuajiri. Hapa ni muhimu kuondoa urasimu ili kuweza kurudisha imani kwa wawekezaji si vizuri kusema Private sector haikupewa uzito inaostahili hapo nyuma lakini ni vyema kuanzia sasa tukawa na kiu ya kuvutia wawekezaji kuja kuwekeza Tanzania.
Uhuru wa kwa vyombo vya habari, huu ni mwanzo mzuri kwasababu kukiwa na uhuru katika vyombo vya habari hii itampa nafasi ya kuweza kufahamu namna watendaji wake wanavyofanya kazi, wanasema Vyombo vya habari ni "Mhimili wa nne" katika serikali kwasababu ni wazi itakuwa ni rahisi kwake Rais kufahamu kwa uwazi mambo ambayo ingekuwa ni vigumu kwake kupata taarifa kwa wakati.

Kupitiwa upya kwa mitaala ya elimu, hapa ni kweli tunahitaji elimu ambayo itakuwa na msaada kwa vijana wengi wa Tanzania kwasababu elimu tuliyonayo sio siri hamuandai kijana kujiari bali kuwa muajiriwa ni kweli hapa tunahitaji mabadiliko ambayo yataenda kuleta suluhisho katika elimu ya Tanzania.
Kwakweli ni mambo mengi na ya umuhimu aliyoyaongelea kuweza kuayaandika hapa yote si rahisi sana ila ni hotuba yenye matumaini makubwa na kama watendaji watakuwa wamemsikiliza kwa umakini na kuyafanyia kazi basi tunaweza kuanza enzi mpya kwa mafanikio makubwa sana.

Niwatakie heri tunapoenda mapumziko ya Karume day.

Asanteni sana.

Mama SSH ameanza vizuri sana.

Wakimzingua na yeye atawazingua.

Bango moja linaenda na maji na DED au RC.
 
Kama Tanzania ingekuwa ni simu tungesema mama kaonyeza command ya FACTORY RESET.

Yaani MAUJINGA yote Magufuli anayafukia kwa lugha laini bila chuki, husda wala matusi.
Kabisaaa [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Uzuri wa mama ni kama ni nesi vile anavyomuhudumia mgonjwa kwa mara ya kwanza baada ya kufika hospital
 
Ila rais yoyote huanzaga vizuri sana. Ndio maana kina zitto wamejifunza kitu, hawakurupuki kusifia ila wanamcheki kwanza...
Huyu ni kumuombea ile timu isimuingilie...
Mkuu hata kama ila ameonesha Dira kwenye UHURU NA HAKI na mimi ni muumini mkubwa wa kutaka uhuru na haki ya kujieleza.
 
Leo kaongea vizuri Sana Huyo ndio RAIS wetu

Sio yule Dr NZABAYANGA NTIBANZOKIZA anaongea Kama yeye ndio mwenye serikali .

Halafu anaigaiga mambo ya jiwe ya "nataka.....nataka..."

Sisi "hatutaki......"

Mama anasema "NAOMBA" kwakweli wazazi hebu fundisheni watoto unyenyekevu hata kama unampa mwanao kila kitu LUGHA peke yake tuu inauwezo wa kurudisha hali ya Mtu aliyechoka.
 
Leo kaongea vizuri Sana Huyo ndio RAIS wetu

Sio yule Dr NZABAYANGA NTIBANZOKIZA anaongea Kama yeye ndio mwenye serikali .

Halafu anaigaiga mambo ya jiwe ya "nataka.....nataka..."

Sisi "hatutaki......"
VP bado ka ungosha hakajamuhisha...

Taratibu atarudi.
 
Back
Top Bottom