Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nyumbani kwako huwa unatumia demokrasia kwamba watu wale nini au kilichopo??Mkuu hata kama ila ameonesha Dira kwenye UHURU NA HAKI na mimi ni muumini mkubwa wa kutaka uhuru na haki ya kujieleza.
Mama anafurahisha sana , Mungu amlinde na wanafiq.Wanajukwaa habari zenu,
Ni siku nyingine baada ya mapumziko marefu ya Pasaka, kama tunavyofahamu leo kulikuwa na zoezi la kuapishwa Makatibu na Manaibu Katibu wa wizara mbali mbali, pamoja na wakuu wa mashirika na taasisi mbalimbali.
Baada ya zoezi la uapisho zilifuata salamu kutoka kwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na baadae ikafuatia HOTUBA ya Mh. Rais, hotuba hii imekuwa ni kusimumua sana kwasababu imejikita katika kutoa dira ya Mh. Rais katika kutatua matatizo mbali mbali ikiwa ni:-
Kusisitiza matumizi ya AKILI badala ya "MISULI" nafikiri hapa Mh. Rais alimaanisha MIGUVU na hasa kwa kuendelea kuwasisitiza TRA kuhakikisha wanakusanya kodi bila ya kuwaumiza walipa kodi.
Rais sasa ameonesha njia katika namna ya kukabiliana na tatizo la Covid 19 kisayansi akisisitiza kuwa Tanzania sio kisiwa, kwa hili tunamshukuru sana kwasababu ni wazi sasa tunaenda kubadili taswira yetu KIMATAIFA kwenye kukabiliana na changamoto hii inayoikabili Tanzania.
Uwekezaji, hapa kwakweli amezungumza UKWELI mtupu na ni vyema watu wenye dhamana katika suala hili kuhakikisha wanafanyia kazi kwasababu hawa wawekezaji ndio ambao watasaidia katika kukuza ajira na kuipunguzia mzigo mzito serikali ya kuajiri. Hapa ni muhimu kuondoa urasimu ili kuweza kurudisha imani kwa wawekezaji si vizuri kusema Private sector haikupewa uzito inaostahili hapo nyuma lakini ni vyema kuanzia sasa tukawa na kiu ya kuvutia wawekezaji kuja kuwekeza Tanzania.
Uhuru wa kwa vyombo vya habari, huu ni mwanzo mzuri kwasababu kukiwa na uhuru katika vyombo vya habari hii itampa nafasi ya kuweza kufahamu namna watendaji wake wanavyofanya kazi, wanasema Vyombo vya habari ni "Mhimili wa nne" katika serikali kwasababu ni wazi itakuwa ni rahisi kwake Rais kufahamu kwa uwazi mambo ambayo ingekuwa ni vigumu kwake kupata taarifa kwa wakati.
Kupitiwa upya kwa mitaala ya elimu, hapa ni kweli tunahitaji elimu ambayo itakuwa na msaada kwa vijana wengi wa Tanzania kwasababu elimu tuliyonayo sio siri hamuandai kijana kujiari bali kuwa muajiriwa ni kweli hapa tunahitaji mabadiliko ambayo yataenda kuleta suluhisho katika elimu ya Tanzania.
Kwakweli ni mambo mengi na ya umuhimu aliyoyaongelea kuweza kuayaandika hapa yote si rahisi sana ila ni hotuba yenye matumaini makubwa na kama watendaji watakuwa wamemsikiliza kwa umakini na kuyafanyia kazi basi tunaweza kuanza enzi mpya kwa mafanikio makubwa sana.
Niwatakie heri tunapoenda mapumziko ya Karume day.
Asanteni sana.
sipoUpo!
Atarudi kwa utukufu siku ikifika.Hvi CHADEMA hawajatoa tamko kwamba UTUNDU LISSU anarudi lini bongo? Au bado wanaogopa kivuli cha JPM? Nasubiria kwa hamu sana hilo tamko.
Unaelewa maana ya Udictator? Je mtoto wako huwa unamuuliza kwamba anataka aende shule au hataki??Hakika Mkuu ilimradi kipo kwenye uwezo wangu lakini sio kudictate "fanya hiki hautaki basi".
Uungwana doesn't cost anything.
Haya yote yanaonesha aliyekuwepo kabla alikuwa na walakini mkubwa sanaWanajukwaa habari zenu,
Ni siku nyingine baada ya mapumziko marefu ya Pasaka, kama tunavyofahamu leo kulikuwa na zoezi la kuapishwa Makatibu na Manaibu Katibu wa wizara mbali mbali, pamoja na wakuu wa mashirika na taasisi mbalimbali.
Baada ya zoezi la uapisho zilifuata salamu kutoka kwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na baadae ikafuatia HOTUBA ya Mh. Rais, hotuba hii imekuwa ni kusimumua sana kwasababu imejikita katika kutoa dira ya Mh. Rais katika kutatua matatizo mbali mbali ikiwa ni:-
Kusisitiza matumizi ya AKILI badala ya "MISULI" nafikiri hapa Mh. Rais alimaanisha MIGUVU na hasa kwa kuendelea kuwasisitiza TRA kuhakikisha wanakusanya kodi bila ya kuwaumiza walipa kodi.
Rais sasa ameonesha njia katika namna ya kukabiliana na tatizo la Covid 19 kisayansi akisisitiza kuwa Tanzania sio kisiwa, kwa hili tunamshukuru sana kwasababu ni wazi sasa tunaenda kubadili taswira yetu KIMATAIFA kwenye kukabiliana na changamoto hii inayoikabili Tanzania.
Uwekezaji, hapa kwakweli amezungumza UKWELI mtupu na ni vyema watu wenye dhamana katika suala hili kuhakikisha wanafanyia kazi kwasababu hawa wawekezaji ndio ambao watasaidia katika kukuza ajira na kuipunguzia mzigo mzito serikali ya kuajiri. Hapa ni muhimu kuondoa urasimu ili kuweza kurudisha imani kwa wawekezaji si vizuri kusema Private sector haikupewa uzito inaostahili hapo nyuma lakini ni vyema kuanzia sasa tukawa na kiu ya kuvutia wawekezaji kuja kuwekeza Tanzania.
Uhuru wa kwa vyombo vya habari, huu ni mwanzo mzuri kwasababu kukiwa na uhuru katika vyombo vya habari hii itampa nafasi ya kuweza kufahamu namna watendaji wake wanavyofanya kazi, wanasema Vyombo vya habari ni "Mhimili wa nne" katika serikali kwasababu ni wazi itakuwa ni rahisi kwake Rais kufahamu kwa uwazi mambo ambayo ingekuwa ni vigumu kwake kupata taarifa kwa wakati.
Kupitiwa upya kwa mitaala ya elimu, hapa ni kweli tunahitaji elimu ambayo itakuwa na msaada kwa vijana wengi wa Tanzania kwasababu elimu tuliyonayo sio siri hamuandai kijana kujiari bali kuwa muajiriwa ni kweli hapa tunahitaji mabadiliko ambayo yataenda kuleta suluhisho katika elimu ya Tanzania.
Kwakweli ni mambo mengi na ya umuhimu aliyoyaongelea kuweza kuayaandika hapa yote si rahisi sana ila ni hotuba yenye matumaini makubwa na kama watendaji watakuwa wamemsikiliza kwa umakini na kuyafanyia kazi basi tunaweza kuanza enzi mpya kwa mafanikio makubwa sana.
Niwatakie heri tunapoenda mapumziko ya Karume day.
Asanteni sana.
Wewe hayo yako hebu tujikite kwenye mada, mtoto kama unamuelekeza vizuri manufaa ya shule na unamtengenezea mazingira mazuri atakuwa anakuambia asubuhi na mapema umuandae aende shule.Unaelewa maana ya Udictator? Je mtoto wako huwa unamuuliza kwamba anataka aende shule au hataki??
Hapana, anayekuja hatakiwi kuwaacha wakae katika speed ile kwa kuwasifu, kikubwa ni kuwachallenge ili wajione kumbe bado, msichokielewa ni nini? Mama anachofanya ni kuongeza volume ya kikichopo.Haya yote yanaonesha aliyekuwepo kabla alikuwa na walakini mkubwa sana
umesahau ya bando na mitandao yetu mkuu!Wanajukwaa habari zenu,
Ni siku nyingine baada ya mapumziko marefu ya Pasaka, kama tunavyofahamu leo kulikuwa na zoezi la kuapishwa Makatibu na Manaibu Katibu wa wizara mbali mbali, pamoja na wakuu wa mashirika na taasisi mbalimbali.
Baada ya zoezi la uapisho zilifuata salamu kutoka kwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na baadae ikafuatia HOTUBA ya Mh. Rais, hotuba hii imekuwa ni kusimumua sana kwasababu imejikita katika kutoa dira ya Mh. Rais katika kutatua matatizo mbali mbali ikiwa ni:-
Kusisitiza matumizi ya AKILI badala ya "MISULI" nafikiri hapa Mh. Rais alimaanisha MIGUVU na hasa kwa kuendelea kuwasisitiza TRA kuhakikisha wanakusanya kodi bila ya kuwaumiza walipa kodi.
Rais sasa ameonesha njia katika namna ya kukabiliana na tatizo la Covid 19 kisayansi akisisitiza kuwa Tanzania sio kisiwa, kwa hili tunamshukuru sana kwasababu ni wazi sasa tunaenda kubadili taswira yetu KIMATAIFA kwenye kukabiliana na changamoto hii inayoikabili Tanzania.
Uwekezaji, hapa kwakweli amezungumza UKWELI mtupu na ni vyema watu wenye dhamana katika suala hili kuhakikisha wanafanyia kazi kwasababu hawa wawekezaji ndio ambao watasaidia katika kukuza ajira na kuipunguzia mzigo mzito serikali ya kuajiri. Hapa ni muhimu kuondoa urasimu ili kuweza kurudisha imani kwa wawekezaji si vizuri kusema Private sector haikupewa uzito inaostahili hapo nyuma lakini ni vyema kuanzia sasa tukawa na kiu ya kuvutia wawekezaji kuja kuwekeza Tanzania.
Uhuru wa kwa vyombo vya habari, huu ni mwanzo mzuri kwasababu kukiwa na uhuru katika vyombo vya habari hii itampa nafasi ya kuweza kufahamu namna watendaji wake wanavyofanya kazi, wanasema Vyombo vya habari ni "Mhimili wa nne" katika serikali kwasababu ni wazi itakuwa ni rahisi kwake Rais kufahamu kwa uwazi mambo ambayo ingekuwa ni vigumu kwake kupata taarifa kwa wakati.
Kupitiwa upya kwa mitaala ya elimu, hapa ni kweli tunahitaji elimu ambayo itakuwa na msaada kwa vijana wengi wa Tanzania kwasababu elimu tuliyonayo sio siri hamuandai kijana kujiari bali kuwa muajiriwa ni kweli hapa tunahitaji mabadiliko ambayo yataenda kuleta suluhisho katika elimu ya Tanzania.
Kwakweli ni mambo mengi na ya umuhimu aliyoyaongelea kuweza kuayaandika hapa yote si rahisi sana ila ni hotuba yenye matumaini makubwa na kama watendaji watakuwa wamemsikiliza kwa umakini na kuyafanyia kazi basi tunaweza kuanza enzi mpya kwa mafanikio makubwa sana.
Niwatakie heri tunapoenda mapumziko ya Karume day.
Asanteni sana.
My point is i support mama sana, kwa mengi. Najaribu kukueleza kuwa kama ni dictatorship hata nyumbani ipo, kila mahali ipo, hata sometimes kazini kwako ipo, ila ni ile ya kubring changesWewe hayo yako hebu tujikite kwenye mada, mtoto kama unamuelekeza vizuri manufaa ya shule na unamtengenezea mazingira mazuri atakuwa anakuambia asubuhi na mapema umuandae aende shule.
Wawekezaji hawahitaji unpredictability behaviour na pia hatuwezi kwenda wenyewe bali tunahitaji kwenda na Dunia nzima.
Kabisa Mkuu analeta TUMAINI YA TANZANIA YA KESHOMama akiendelea hivihivi kadi yangu ya CHAUMA naichoma moto
Anaongea yani hutaki hata amalize
Tuzidi kumweka kwa maombi anaonekana ana nia ya dhati ya kufufua private sector ili ajira zirudi na hii itaongeza mzunguko wa fedha mtaani!
Mungu akupe afya njema mama